Kikao Cha Kamati Kuu, kwenye Habari ya Maridhiano, Mbowe akiri alifanya kosa kubwa

Kuna haja ya kutengana na matapeli hawa wa kisiasa na kutowaamini daima.
 
Anayepaswa kulaumiwa ni TL si Mbowe.
 
Ccm ni kama quaterpin ya baiskeli yani, inaingia kwa nyundo na itatoka kwa nyundo, sijui kwa nini Mbowe halielewi hili? Mbona sio rocket science hii
 
Kwa hivyo uchaguzi utakuwa huru akishaondoka Mbowe?
Ninaizungumzia Chadema Mkuu, Uchaguzi ni suala la Kitaifa siyo Kichama..

Sasa, Mbowe atoke tupate mawazo mapya ndani ya Chama. Kisha tuelekee kwenye mambo ya Kitaifa..
 
4R zizikwe rasmi leo..ulikuwa ni usanii wa kiwango cha SGR.
 
Ccm ni kama quaterpin ya baiskeli yani, inaingia kwa nyundo na itatoka kwa nyundo, sijui kwa nini Mbowe halielewi hili? Mbona sio rocket science hii
Watoto wa afu mbili hawawezi kujua KONTAPIN inavyo fanana ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ