toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
I know ila how are we going to fix vitu kama hizi... Unataka kuniambia they cant be fixed? Mkuu ambiguity inatoka wapi tuanzie hapo? Ili tujue pakuanzia ili iwe mwanzo mzuri...Wahasibu wanafahamu mkuu. Yaani mwingine inawezekana document wali misplace, au inatokea mwenye document alisafiri. Yaani ukifuatilia ndiyo maana report ya CAG haiwezi tumika mahakamani kabisa kumfunga mtu, sababu kubwa ni hizo na yeye anatoa opinion tu basi. So kuwa mpole. Na kwa serikalini kuna vitu vingi unaweza kuta pia wengine wapo framed kwa sababu hawakutoa rushwa etc.
Mkuu jitahid kunielewesha nielewe...Wahasibu wanafahamu mkuu. Yaani mwingine inawezekana document wali misplace, au inatokea mwenye document alisafiri. Yaani ukifuatilia ndiyo maana report ya CAG haiwezi tumika mahakamani kabisa kumfunga mtu, sababu kubwa ni hizo na yeye anatoa opinion tu basi. So kuwa mpole. Na kwa serikalini kuna vitu vingi unaweza kuta pia wengine wapo framed kwa sababu hawakutoa rushwa etc.
Iko hivi bosi. Serikali yetu inaongozwa na mifumo, sera, sheria, taratibu etc katika utendaji kazi na hatimaye repoti. Linapokuja suala la ukaguzi kinachoangakia je kama ni sera, sheria, utaratibu, mifumo ya kimaamuzi ilifuatwa. Chukulia tu mfano kwenye taasisi fulani unakuta mtia sahihi ya malipo fulani kikomo chake ni mil 50, ikizidi hapo labda anatakiwa atie sahihi mkuu wa taasisi na huo unaweza kuwa utaratibu upo, ila unakuta alitia sahihi huyo asiyeruhusiwa na CAG akija atasema utaratibu haukufuatwa. Mfano mwingine, unakuta labda serikali imepeleka hela kwa ajili ya ujenzi wa kitu fulani halafu wakabadili matumizi bila kikao cha bodi husika maana yake CAG akija hapo atasema kuna matumizi mabaya ya hela bil 5 etc. Wakati mwingine wakaguzi wanaomba documenti labda zimepotea au wahusika hawakuleta receipt na CAG asipoipata hiyo receipt tayari hiyo ni hela inahesabika haijulikani ilipo. Kwa ujumla serikalini kuna vitu vingi, tusikimbilie kulaumuI know ila how are we going to fix vitu kama hizi... Unataka kuniambia they cant be fixed? Mkuu ambiguity inatoka wapi tuanzie hapo? Ili tujue pakuanzia ili iwe mwanzo mzuri...
Si CC wameisha mfunga pakaa kengeleNani sasa wa kumfunga paka kengele?
Kwa hiyo mpaka Kamati kuu iseme?Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:
1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.
Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Kwani Kuna mtu karajea na rpoti ya CAG?Kama ni kweli itakuwa vizuri sana.
Ila kama ni maneno tu, CCM ijihadhari sana.
Watanzania wana akili sana.Wanaelewa kila kitu.
Ingekua hivyo hii nchi isingekua hivi ilivyo sasa.maana hao ccm wako toka mkoloni.Uwajibikaji, ufuatiliaji, usimamizi ni misingi ya Chama Cha Mapinduzi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
ccm hii au nyingine , labla ile ya JPM ,iliyowapeleka kina yule boss wa IPTL na mwenzieKikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:
1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.
Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Hahahaha hamna kitu CCM haipo siku izi kimekuwa kikundi Cha machawa mawazo ya mwenyekiti ndo sisiemuKikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:
1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.
Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Ujinga mtupuSamia (Raisi / Mkuu wa Nchi na Serikali) kaletewa Taarifa na Vyombo vyake, PCCB na CAG.
Samia (Mwenyekiti wa CCM) Kaitisha Kikao kuishauri Serikali kuwachukulia Hatua wote walitajwa Kwa Ufisadi kwenye Report zilizowakilishwa Kwa Samia ( Raisi / Mkuu wa Nchi na Serikali)