Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

WATAPANDA KIZIMBANI AU VYEO?
 
Kwani Kuna mtu karajea na rpoti ya CAG?
Mkuu wa nchi atoe presidential decree hao wote waliotajwa kuhusika katika ubdhirifu wa mabilioni ya walipa kodi wafungwe maisha , this is very possible kama sheria ya kuwashughulikia ina mapungufu haswa waliotajwa kwenye repoti ya CAG ....
 
Kwanini doc zipotee?? Kuna watumishi waliajiriwa kwa kazi hiyo ya kupoteza doc? aacha kutetea uhozo.
 
Na iende kuwa hivyo kwa wote waliohusika bila kulindana kwa matamko yasio na tija. Otherwise upigaji uendelee tuu !!
 
Namba 3, nimeipenda kuna baadhi ya wakubwa ambao hawamsadii vzr Namba1, badala yake vyeo na nafasi zao wanazitumia kuwaonea waliochini kabisa! hii sio Sawa.
 
Nchi ili kuinyoosha inahitajika kiongozi mwenye uthubutu wa Sokoine ama JPM ili kurudisha nidhamu katika utumishi wa umma. Angalizo tu ni kuwa tusimuangalie JPM katika upande wa mapungufu yake, bali kile alichokisimamia kwa haki.

Kuorodhesha madudu ni kitu kimoja, lakini kuwachukulia wahusika hatua kali za kisheria ikiwemo kuwafailisi mali walizozichuma kwa njia za kifisadi ni njia nyingine. Kwani hili litakuwa ni funzo nzuri kwa wengine wenye tamaa ya ufisadi.

Kupiga kelele tu bila kuchukua hatua zinazo onekana, ni sawa kuzidi kulikarabati kaburi la marehemu kwa nakshi za thamani, huku ukiiacha familia yake ikifa kwa kiu na njaa.
 
Asante kwa taarifa
====
Ukichimama nchale ,ukikimbia nchale!!!
 
Kumbe Chama na Serikali boss ni yule yule,ni sawasawa na pande mbili ya shiling.Tutasubiri Sana kupata mrejesho wa hatua zitakazochukuliwa.ni kitu kimoja hizi taasisi.wanatuperemba wa tz
 
CCM ni kimbilio la Majizi na ni CHAKA lao la kujificha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kwa hiyo samia kaitaka serikali kueachukulia hatua mafisadi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Aisee hichi ni kituko cha mwaka….Samia kaitisha kikao cha kamati kuu kuitaka serikali kuwachukulia hatua walio husika au kutajwa na CAG kwa ubadhilifu wa mali!

Kupata vichekesho hivi bonyeza #Tanzania…..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunasubiri tuone !!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…