Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
🤣😂 Kwani kikao cha kwanza kukaliwa na hao mashog,a baada ya kipigo kutoka Iran?Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
kikao hicho hakiachagi mtu salama.Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito sana kinaendelea muda huu.
Tuombe Mungu atuvushe salama
Mkuu wa shin bet Ronan Bar
Mkuu wa Mossad David Barnea,
Waziri wa ulinzi Yoav Galant
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi
Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Kaka shikamooo, Mtu wa maana kabisa,🤣🤣🤣🤣Kuna watu waga wanalia sana wanasahau furaha yenyewe wako nayo usiku wa jana na Leo.
Ama hakika kosa la Jana sio tuu watehrani Bali hata sisimizi za Irani hazipaswi msamaha
Kuna watu waga wanalia sana wanasahau furaha yenyewe wako nayo usiku wa jana na Leo.
Ama hakika kosa la Jana sio tuu watehrani Bali hata sisimizi za Irani hazipaswi msamaha
Kaka shikamooo, Mtu wa maana kabisa,🤣🤣🤣🤣
Wasubirie kikao kimalizike ndipo watajua hicho kikao kinaumuhimu Gani mbwa wale