Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

TOKA MAKTABA :

Tanganyika Law Society (TLS) na Tanzania Public Bar Association (TPBA) wameandaa 'makubaliano' yaani Memoradum of Understanding MoU katika maeneo kadhaa


View: https://m.youtube.com/watch?v=lPNh23mZWXQ
Boniface Mwabukusi rais wa TLS afunguka makubwa usuluhishi wa migogoro katika uwekezaji
 
Daaaah huyu mzee nilikuwa namkubali sana. Sasa kadri ya umri unavyozidi kwenda angekaa pembeni tu. Anakoelekea atatukanwa tu mitandaoni
 
Yes, JK Yupo sahihi sana.
nadhan vibaka na matepeli wa siasa tu ndio leo wanaona sheria za uchuguzi ni mbaya mno, hasa baada ya kujikuta hawana ajira kwa muda mrefu sana na mambo yanawawia vigumu kufanya comeback 🐒
Kmmk!
 
Daaaah huyu mzee nilikuwa namkubali sana. Sasa kadri ya umri unavyozidi kwenda angekaa pembeni tu. Anakoelekea atatukanwa tu mitandaoni
JK anajali matusi ya misukule? We kwl ni bwege. Unaona sifa kumtukana mzee km yule, we mwanaharamu una laana
 
Huyu babu alaaniwe yeye na uzao wake wote, amechangia pakubwa sn nchi yetu kuwa masikini na yeye na ukoo wake kuishi maisha ya anasa bila kujali masikini wa nchi hii.
We mwanaharamu uzao wako ulishalaaniwa ndio maana uko hivyo. Mbwa koko tu ww
 
Atuambie ule upuuzi wa Serikali za mitaa kwanini aliunyamazia? ana masilahi gani na yale mauaji ya Wagombea wa Upinzani?
Upuuzi ni wa mamako kuruhusu we kuzaliwa. 2024 mlipigwa kihalali, watanzania siyo wajinga wachague nyumbu kuwaongoza.
 
Kikwete pia ni
 
Huyu mzee huwa namheshimu sana .............ila anakoelekea ile heshima yangu kwake nitaipereka sehemu nyingine.................maana huwezi kuongea kama huna hofu ya mungu au haipo siku utakayo jutia..........mbona binadamu sisi tunakuwa mazuzu wakubwa kiasi hiki?? Au ni mali ndizo zinazo tuchanganya wakati hatutoishi nazo milele au kuzikwa nazo eeh?? TUMUOGOPE BASI HATA MUNGU TU NA SI VINGINEVYO.................DUNIA TUTAPITA NA KUIACHA NA MALI ZAKE NA MAMBO YAKE..........
 
Huyu babu alaaniwe yeye na uzao wake wote, amechangia pakubwa sn nchi yetu kuwa masikini na yeye na ukoo wake kuishi maisha ya anasa bila kujali masikini wa nchi hii.
Muda si mrefu mtaanza kumuonea huruma huyo, utatamani usingeyaongea haya
 
mweshimiwa yuko sahihi kabisa

tatizo la wanachadema wengi ni laghaika na maneno ya vijiweni ambayo kiualisia ayapo
 
JK anajali matusi ya misukule? We kwl ni bwege. Unaona sifa kumtukana mzee km yule, we mwanaharamu una laana
Joined 2015, hopefully you're matured enough, kumbe hata kusoma hujui umejaza kamasi tu kichwani. You're a waste of sperm, bora mzee wako angekulia nyeto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…