Nimekuelewa vzr mkuu! Uko sahihiHuo msemo una maana kubwa sana kwa mwenye kuuelewa, kwa ufupi maana ya huo msemo ni kuwa mtu mzuri anafariki, hafi, kwa maana legacy yake haifi, inaendelea kubaki hai.
Legacy ya mtu siyo majengo au mali alizoacha, ni mema yepi aliyoyaacha ambayo yanadumu.
Lugha zina utamu wake.
Angekuwa mwema asingekata vichwa vya binadamu wenziwe na kuvitia katika jokofu. Yule mama wa kiizrael( 90 minutes at Entebe Mary, Kichwa cha rpc wa west lake region " kagera Afande Pope 1971)Iddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Viongozi wa dini wanakuomba umsamehe "mkosaji" unawakatalia?Usinambie kuwa sasa hivi ni Rais wa malaika.
Aah porojo za alinacha.Viongozi wa dini wanakuomba umsamehe "mkosaji" unawakatalia?
Haya sasa, mdai wako umemuacha duniani.
Alikuwa ni Idd Amin, Tena Alhaj. TumekuelewaIddi Amin alikuwa ni mtu mwema sana, usisikilize propaganda za kujazwa ujinga.
Moja ya matatizo makubwa tuliyonayo nchini kwa sasa ni KIKWETE...Kikwete hakumuelezea kwa kirefu Mkapa.
..Na hakumuelezea kwa kirefu Magufuli.
Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Dhambi imeanza kuwala taratibu wahusikaKatika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
M2 na mdg wake sio marafiki jamaa alikuwa moslem akabadili din km kipara anavotaka kufanyaUrafiki haulazimishwi Membe amekuwa bestfriend wa Kikwete toka 1990's.
Magufuli hakuwa rafiki yake Kikwete alikuwa mwanasiasa mwenzake tu
Yaani mtu atumie akili yake kumuandika kichaa jiwe?Katika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Wazuri HawafiKikwete ameumia mwenzake kufa.
Wazuri hawafiYaani mtu atumie akili yake kumuandika kichaa jiwe?
Nae atakua kakosa akili.
Alikuwa rafiki wa Mufti na waislam waliojengewa msikiti mzuri Kinondoni. ?Bila kuwasahau Cardinal Pengo na Raila Odinga.Hivi mtu anawezaje kuwa na urafiki na bwana yule?
Wewe mbona umeandika Aya mbili tuKatika Mkeka wako nimetafakari mara mbili mbili hasa pale Ulipoandika nanukuu...."Mimi (Wewe) na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti mlipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila mkapeana moyo".... mwisho wa Kukunukuu.
Binafsi kama GENTAMYCINE imenibidi nianze kutafuta kama kuna Mkeka wako wowote ule uliuandika pale Rais wa Awamu ya Tano Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipofariki dunia tarehe 17 Machi, 2021 ila sijaupata hadi hivi sasa.
Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK.
Musiba alikua rafiki yakeHata Idd Amin Dada alikuwa na marafiki itakuwa JPM kwa lipi akose rafiki?
Hapa sasa unaleta uchokoziAlikuwa rafiki wa Mufti na waislam waliojengewa msikiti mzuri Kinondoni. ?Bila kuwasahau Cardinal Pengo na Raila Odinga.