SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mabilioni ya DP WorldWatch_Hundred is the famale version of JIWE.
Mikakati yote aliyoifanya JIWE ,Watch_Hundred alikuwa naye ni mmoja wa Planner ndiyo maana "MAKALAI" yote yalioyounga mkono juhudi kipindi cha JIWE ,Sir100 amewa-retain.
Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa(Afande Sele) ,JIWE aliwaletea njaa maadui zake kisha akawawekee "sahani ya ubwabwa" wakaunga mkono juhudi hapo ndipo walipoanza kuwamaliza.
Sir100 kupitia Abdul naye anasambaza mabilioni.
..uongozi wa Chadema una nafasi yake ktk kukizorotesha chama.
..Raisi na Dola wana mchango wao ktk dhuluma dhidi ya vyama vya siasa, ikiwemo Chadema.
..mjadala ulioko mbele yetu ni hoja ya Robert Heriel Mtibeli akimsifia Rais Samia kwa kubomoa demokrasia, na kuisambaratisha Chadema.
Wew nawe unakazana sana kuchapisha uku uhoni kuwa hamna chenuTunahifadhi kila uzi kuhusu Chadema
Hapa umetumia nini kufikiri mwanagenzi?Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
Hao waliotangulia hawakumjulia Mbowe kuwa kwenye vipande vya Fedha vingetosha kabisa kuiangusha CHADEMA kupitia kwa Mfanyabiashara Freeman Mbowe, Sa100 yeye hiyo Siri kaifahamu na ameweza kuitumia vyemaHakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
π―%π..tatizo kubwa zaidi ni Wasomi wa Kitanzania, waandishi mahiri kabisa, wanapoamini kwamba Maraisi wetu wanapaswa kusifiwa wanapotumia vyombo vya dola kuhujumu demokrasia na mifumo ya uchaguzi.
..Na tukienda mbali kidogo, tujaribu kuangalia nchi nyingine zilipoongozwa na viongozi wanawake kama India, wakati wa Indira Ghandi, au Uingereza, wakati wa Margareth Thatcher. Je, ni mambo gani kina mama hao walisifiwa nayo?
..Hivi kweli sifa ya kudhulumu haki ni jambo la kumsifia mwanamke wa Kitanzania, tena ambaye ni kiongozi?
Okeee wamepewa bilioni ngapi ngapiUnajua nguvu ya RUPIA wewe, mama anamwaga tu RUPIA wanasalitiana wao kwa wao.
Samia ni Profesa wa siasa na mama wa Uchumi wa kiliberali.Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!
Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.
Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.
Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.
Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!
Haya!
We ni muongo na bonge la mnafiki wa kiwango Cha lami.Hakuna anayeamini!

Mwaka huu Mama Abdul anarudi Kizimkazi,.Hakuna anayeamini!