Kikwete na Magufuli walishindwa kuingusha CHADEMA lakini Rais Samia ndani ya miaka minne ameshamaliza anachofanya ni kuinyonyoa manyoya

Hakuna anayeamini!

Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.

Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!

Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.

Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.

Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.

Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!

Haya!
Mama mjanja ameangalia hulka ya viongozi wa CHADEMA ukaanza na kipengele cha kabila, kuna kabila fulani ukilionyesha noti akili zote zinahama naona mama akapitia hapo
 
Samia ni Profesa wa siasa na mama wa Uchumi wa kiliberali.
Sema profesa wa kugawa pesa na kuzitumia hovyo, kahonga wapinzani hadi wamemywea, kagawa pesa kwa wachezaji hadi badi...anagawa tu pesa za umma hovyo, the worst we've ever had.
 
Amewanyoosha,wewe hutaki pesa kwani? 😂😂
 
Kusema Kikwete alitumia njia "peaceful " na JPM alitumia mabavu kuikabili chadema.

Hii inaonesha hauna kumbukumbu vizuri,

Hao Marais wote wametumia mabavu kwa viwango tofauti tuu,
Wakati wa JK mabavu yalitumika.( mfano tuu, mabomu Arusha, Mwandishi akiuwawa Iringa.

Hata Huyu wa sasa nae mabavu anatumia sana.
 
Hakuna anayeamini!

Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.

Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!

Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.

Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.

Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.

Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!

Haya!
Hivi kuua vyama vya upinzani ni umwamba au ujuha?Unaowasema walishindwa unadhani ni kwanini ikiwa vyote alivyonavyo Samia na wao walikuwa navyo?pesa,dola,nguvu ya ki propaganda walikuwa navyo busara zao na ushauri sahihi huenda vilisaidia kutotokea kama haya yanayotokea.
 
Hakuna anayeamini!

Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.

Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri hadharani anaenda kufuta upinzani kabla ya 2020 lakini alipata upinzani Mkali Sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
Akashindwa!

Akaingia Samia, mwanamke ambaye kikawaida kulingana na jamii zetu mtu yeyote angeweza kumdharau.

Lakini Samia yeye nafikiri alisoma Mchezo wa Kikwete na Magufuli. Kikwete alitumia Njia peaceful kuikabili CHADEMA huku Magufuli akitumia Mabavu. Samia yeye style yake ni kudokoa huku kidogo huku kidogo yaani nguvu kidogo akili kidogo.

Uhakika uliopo ni kuwa CHADEMA imeshakatwa kichwa, Wachache wanajua ishaanguka. CCM wametulia kama sio wao, wananyonyoa manyoya tuu.

Yaani CHADEMA iliyoshindwa na wanaume Leo ndio hii Mwanamke kaipiga. Aiseeh!

Haya!
Mama huyu haoni aibu kutoa rushwa hata hadharani nawaza pia hata kufika kwake hapo! Ndio maana hana uchungu wowote kwa lolote, si uhai wa watu, wala mali za nchi
 
Kusema Kikwete alitumia njia "peaceful " na JPM alitumia mabavu kuikabili chadema.

Hii inaonesha hauna kumbukumbu vizuri,

Hao Marais wote wametumia mabavu kwa viwango tofauti tuu,
Wakati wa JK mabavu yalitumika.( mfano tuu, mabomu Arusha, Mwandishi akiuwawa Iringa.

Hata Huyu wa sasa nae mabavu anatumia sana.

..nimemsikia Afande Jumanne Muliro akisema shambulizi la bomu ktk mkutano wa Chadema Arusha wakati wa utawala wa JK lilikuwa tukio la KIGAIDI.

..Muliro anadai magaidi walishambulia mkutano wa Chadema kwasababu waliamini PROPAGANDA kwa chama hicho ni cha madhehebu fulani.
 
Back
Top Bottom