Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

Ikipatikana katiba mpya tofauti na iliyopo, nipe faida 10 angalau za hiyo katiba tofauti na iliyopo.
 
Moja ya mambo ambayo simweli msoga king hadi leo hili ni moja wapo.

Sina kinyogo huyu yaani mi namkubali tu kiana ila nimejizuia kumfikiria sana maana nitamuona mchimbachuvi

Ila sio kama yule jamaa stone the madness
 
Hakuna rais wa hovyo aliyepata kuwepo kama kikwete. Ni kama hakuwahi enda shule kabisa....nchi hii ndiyo kipindi ambacho iliibwa sana pesa....sana mijizi ilijiimalisha. Sasa maisha mazuri na sisi wengine tunakula keki ya taifa...
 
Mad King (mr stone tangawizi) na msoga king kila mtu ana blunders zake.

Ila MAD KING alikuwa ni shida
 
Jiheshimu mkuu, usipende kuonekana mjinga. Humu janmvini kila mmoja anajua wew ni mpumbavu, samahani kwa hili. Hata kama unalipwa basi tumia akili kama wenzio.
Mimi nmekupa ushauri tu mkuu,

Kwamba kwa vile yule jiwe alikuwa anakubutua vizuri, basi usiwe na stress za kumtaja kwa hasira hata kwenye mijadala isiyomhusu!

Sisi tupo wasaidizi wake tutabutua vizuri tu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Sawa, nimekushauri tu uwe kama wenzio hata kama unalipwa. Ila siyo lazima kufata ushauri wangu.
 
Hakuna rais wa hovyo aliyepata kuwepo kama kikwete. Ni kama hakuwahi enda shule kabisa....nchi hii ndiyo kipindi ambacho iliibwa sana pesa....sana mijizi ilijiimalisha. Sasa maisha mazuri na sisi wengine tunakula keki ya taifa...
1.5Trillions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…