Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

Hata kule Zimbabwe kuna ass kissers wa Mugabe nao walikuwa wakiwadhihaki Tsvangirai na wenziwe hivi hivi. Mugabe yu wapi leo?
 
Acha huyo tuu, Mawazo alitishwa akaona uzushi akauwawa mchana kweupe na wahusika wengine wako bungeni hadi leo. Lissu alitishwa akasema hawakujali akashambuliwa mchana kweupe na kama Mungu asingekataa Leo ingekuwa historia na wapanga shambulio wapo na wengine wanaishi kwa kodi zetu kwa raha mustarehe. Nk nk.
Kisha hawa wajinga toka CCM wanabeza vitisho ili wanaotishwa wasijihami wauwawe.


Kwa ustawi wa nchi yetu tunatakiwa kushughulika na wahalifu mmojammoja sio chama, dini wala kabila.

Yanayoongelewa na yaliyotokea kwa chadema yametokea kwa CCM na vyama vingine pia ila kikubwa ni kutoa ushirikiano kwa vyombo husika kumaliza matatizo hayo

Tumeona wana CCM wengi wakiuwawa na atujasikia ccm wakikituhumu chama cha chadema bali tumeona viongozi wakisema waliofanya hayo matukio watashughulikiwa.

Ukomavu wa kisiasa ni pamoja na kubeba mambo hatari kama haya kwa style ambayo tutajenga amani yetu zaidi ya kuibomoa

www.mwananchi.co.tz

Kada wa CCM auawa kwa kupigwa risasi Kibiti

Kibiti. Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani hapa, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake.
www.mwananchi.co.tz
www.mwananchi.co.tz
mtanzania.co.tz

KADA MWINGINE WA CCM AUAWA RUFIJI | Mtanzania


mtanzania.co.tz
mtanzania.co.tz

Kada wa CCM adaiwa kuuawa kwenye vurugu

MTU mmoja amefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa ambao wanadaiwa kuwa ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kutokea vurugu za kisiasa katika mji wa Tunduma mkoani Songwe.
www.ippmedia.com
www.ippmedia.com
theworldnews.net

Mauaji Kada wa CCM Njombe, JPM Aagiza…

Mauaji Kada wa CCM Njombe, JPM Aagiza… September 28, 2020 by Global Publishers RAIS wa Tanzania na mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),&nb
theworldnews.net
theworldnews.net

Tukianza kunyoosheana vidole kwa vyama tutagundua kila chama kina maumivu ya kupoteza mtu wao na haitasaidia wala haitajenga utaifa wetu
Je Tundu Lissu hakupigwa risasi? Je hao wahalifu mpaka leo wametafutwa? Tusiwe vichwa wazi
We jinga kweli kwani unapata faida gani ccm wakiendelea kutesa wananchi?
Kwa akili yako huoni threat ya Lema kwa utawala kwani ni ndogo.
Lema bado anauwezo wa kuendelea kuifanya Chadema imara kanda ya kaskazini, na magu alitaka ife na kashindwa.
You get the point?
Bado ya kunusurika kwa Mwakyembe, Magufuli, kifo cha Prof Mwaikusa, Dr Sengondo Mvungi na wengine

Tufike mahala tupunguze kuchocheana chuki tukifikiria itasaidia kufanikisha tunachokita. Tunaweza kujiona kwa sasa tunajenga kumbe tunazidi kubomoa.
 
Wakubali matokea feki,cooked results why?

Wakubali dhulma,mauaji na mateso kwa wapiga Kura wao why?
Trump pia kaibiwa kura, kapeleka kesi yake mahakamani bila kuhamasisha maandamano yasiyo na kikomo.
 
Hayo unayosema umekaririshwa, hunan ushahidi wowote. Hakuna mwenye ushahidi wa maana ndiyo maana hakuna aliyepeleka ushahidi NEC, mnazunguka na kura feki za photocopy.! Shame on Chadema and ACT
Kwa hiyo kwa akili yako matokeo ya uchafuzi huu yalikuwa sahihi? Kama hakuwa na uwezo wa kufikisha kura hizo figisu kwa mawakala zilikuwa za nini? Kura feki kwenye mabegi za nini? Kukataa kubandika matokeo kwa nini?
Ngoja ninyamaze! Kubishana na maccm people might not notice the difference, who is thunayosema
 
Lema katawala Arusha miaka kumi akiwa salama kabisa sasa iweje leo kapoteza jimbo ndo aanze sakwa kutishiwa anatishwa na nani wakati hana lolote Arusha?
Kwani kifo kinakuchukua miaka 10 AU siku moja tu
 
Kwani tunajadili ya Tanzania au tunajadili ya USA
Mbona walioshindwa uchaguzi wanakimbilia balozi za nchi ya ulaya na sio balozi za nchi ya Africa, ilihali yeye mwenyewe ni muafrika?
 
Mbona walioshindwa uchaguzi wanakimbilia balozi za nchi ya ulaya na sio balozi za nchi ya Africa, ilihali yeye mwenyewe ni muafrika?
Hoja mfu kabisa

Je, unafikiri ni kwanini kiinchi chako cha Tanzania kinapitisha vibakuli vya kuomba msaada kwa mabeberu?
 
Jamani ee, miaka mi5 sio mingi. nina imani mtakuja hapa baada ya miaka mi3 kuja kulia lia hapa kuwa maisha ni magumu. nyie shabikieni tu upinzani kuuliwa kwa hila ila malipo mtayapata hapa hapa Tanzania!
 
Huwa naangalia tarehe ya mtoa mada kujiunga na JamiiForums. Baada ya hapo sihangaiki na hoja yake hususani ikiwa na mrengo wa namna hii!
 
Vizuri hawajachoka kujaribu na wataendelea kujaribu,waulize wajeshi watunga shabaha aka snippers hawa hawakufanikiwa kwa siku moja ,walijarbu sana sana na mwishowe walifanikiwa kuaminiwa kama snippers.
 
Hoja mfu kabisa

Je, unafikiri ni kwanini kiinchi chako cha Tanzania kinapitisha vibakuli vya kuomba msaada kwa mabeberu?
Usiidharau nchi yako kwa sababu ni taifa dogo hapa duniani.

Mbona hata hao mabeberu wanaombaga mikopo na wana madeni kama nchi zilizoendelea?
 
Usiidharau nchi yako kwa sababu ni taifa dogo hapa duniani.
Mbona hata hao mabeberu wanaombaga mikopo na wana madeni kama nchi zilizoendelea??
Hiyo misaada wanapewaga na Tz?

Naidharau nchi yangu kwasababu inaongozwa na chama bedhuli.
 
Hiyo misaada wanapewaga na Tz?

Naidharau nchi yangu kwasababu inaongozwa na chama bedhuli.
Ingekua vizuri ungewauliza wanaokopa wamepewa na nani hiyo mikopo.

Nakushauri usiidharau nchi yako kwa sababu yamtazamo wako binafsi. Kila nchi na utawala una mapungufu yake hapa chini ya uso wa dunia.

Chadema ikiingia madarakani migogoro ya kisiasa itakwisha??
 
Back
Top Bottom