Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha huyo tuu, Mawazo alitishwa akaona uzushi akauwawa mchana kweupe na wahusika wengine wako bungeni hadi leo. Lissu alitishwa akasema hawakujali akashambuliwa mchana kweupe na kama Mungu asingekataa Leo ingekuwa historia na wapanga shambulio wapo na wengine wanaishi kwa kodi zetu kwa raha mustarehe. Nk nk.
Kisha hawa wajinga toka CCM wanabeza vitisho ili wanaotishwa wasijihami wauwawe.
Je Tundu Lissu hakupigwa risasi? Je hao wahalifu mpaka leo wametafutwa? Tusiwe vichwa wazi
We jinga kweli kwani unapata faida gani ccm wakiendelea kutesa wananchi?
Bado ya kunusurika kwa Mwakyembe, Magufuli, kifo cha Prof Mwaikusa, Dr Sengondo Mvungi na wengineKwa akili yako huoni threat ya Lema kwa utawala kwani ni ndogo.
Lema bado anauwezo wa kuendelea kuifanya Chadema imara kanda ya kaskazini, na magu alitaka ife na kashindwa.
You get the point?
Trump pia kaibiwa kura, kapeleka kesi yake mahakamani bila kuhamasisha maandamano yasiyo na kikomo.Wakubali matokea feki,cooked results why?
Wakubali dhulma,mauaji na mateso kwa wapiga Kura wao why?
Kwani tunajadili ya Tanzania au tunajadili ya USATrump pia kaibiwa kura, kapeleka kesi yake mahakamani bila kuhamasisha maandamano yasiyo na kikomo.
Kwa hiyo kwa akili yako matokeo ya uchafuzi huu yalikuwa sahihi? Kama hakuwa na uwezo wa kufikisha kura hizo figisu kwa mawakala zilikuwa za nini? Kura feki kwenye mabegi za nini? Kukataa kubandika matokeo kwa nini?
Ngoja ninyamaze! Kubishana na maccm people might not notice the difference, who is thunayosema
Kwani kifo kinakuchukua miaka 10 AU siku moja tuLema katawala Arusha miaka kumi akiwa salama kabisa sasa iweje leo kapoteza jimbo ndo aanze sakwa kutishiwa anatishwa na nani wakati hana lolote Arusha?
Huko kwenu watu wanatumia badoo kueneza mambo ya cdm?na hata Badoo
Mbona walioshindwa uchaguzi wanakimbilia balozi za nchi ya ulaya na sio balozi za nchi ya Africa, ilihali yeye mwenyewe ni muafrika?Kwani tunajadili ya Tanzania au tunajadili ya USA
Hoja mfu kabisaMbona walioshindwa uchaguzi wanakimbilia balozi za nchi ya ulaya na sio balozi za nchi ya Africa, ilihali yeye mwenyewe ni muafrika?
Njoo na wewe ulale kama unakimbia kesi na madeni ya watu.We mbona unalala kwa bashiru?
Mvua imeanza acheni tume.Kikubwa kumwomba Mungu tusidumbukie huko.
Wakubwa huwa wanatafuta kakosa kadogo tu...unaskia Tanzania hivi Tanzania vile.... na wakiona kuna watu barabarani hata 100 tu nchi tunaipoteza.
Utakuta wewe nae umeklisha matako chiniBora ipoteee tukose wote
Usiidharau nchi yako kwa sababu ni taifa dogo hapa duniani.Hoja mfu kabisa
Je, unafikiri ni kwanini kiinchi chako cha Tanzania kinapitisha vibakuli vya kuomba msaada kwa mabeberu?
Hiyo misaada wanapewaga na Tz?Usiidharau nchi yako kwa sababu ni taifa dogo hapa duniani.
Mbona hata hao mabeberu wanaombaga mikopo na wana madeni kama nchi zilizoendelea??
Ingekua vizuri ungewauliza wanaokopa wamepewa na nani hiyo mikopo.Hiyo misaada wanapewaga na Tz?
Naidharau nchi yangu kwasababu inaongozwa na chama bedhuli.