Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

tatizo ni kwamba japo tunataka wanaume warefu saivi hawapatikani πŸ˜‚ waliopo wengi sasahivi ni wafupi tu ndo wanaopatikana kwahiyo tunaishi na hao hao wafupi
Kumbe hamna ujanja inabidi muwe na sisi tuu
 
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Usiwaamini sana wanawake, wanasema pia wanapenda wanaume weusi, wakitaka kuzaa wanatafuta wanaume weupe. Utasikia mtoto apate rangi.
 
Si mrefu tu pia wanataka awe black pia...ila hawa viumbe ni changamoto sanaa...umri ukienda sanaa wanaanza kuomba yeyote anaepumua....na hapo ndo mwanzo wa kuchezewa
 
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Ii jamaa itakuwa imekasirishwa na ule uzi wa waluguru.

Alpha 1....Suspect below sea level. Do you copy?
 
Ajabu yake sasa, wafupi huwa wanakuwa na hela kuliko warefu, jambo linalowapa wanawake mtihani mkubwa sana. Hasa wale wanawake ma gold diggers.

Anaishia tu kusema, mpenzi wangu ndo yule, usimuone mfupi ana hela balaa. Hapo unajua tayari ufupi hapendi.
 
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Wanaishiaga huku
 
Attachments

  • IMG-20220810-WA0046.jpg
    49.1 KB · Views: 16
Mimi zamani nilikuwa sijioni mfupi, nilipokutana na African Americans, nilijiona pimbi tu. wakati nikiendelea na maisha, watoto wangu wa kuwazaa sura wanafanana na mimi ila kimo naona wananizidi mmoja baada ya mwingine.
 
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Tafuta hela jombaa, hata uwe kimo cha stuli ukiwa na pesa utaonekana super handsome tall [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…