Edson Kamya
Member
- Feb 20, 2026
- 62
- 115
Karibu Mwanza nikufanyie dental check up.Ndio ukweli
Mtu anakwambia si angalau uzae umri unaenda,lakini mwisho wa siku malezi ni juu yako na Maisha ni yako hata ukibaki single parent.
Watu wafanye mambo Kwa mipango na utayari na sio presha toka Kwa jamii
Unauliza makofi polisi wkt una bange mfukoni.Kumbe kuna zenye chumvi na sukari sio broπ
Swali linalofuata kwanini hujampataKujibu sijampata wa kufanana nami unashindwaje
Dental check up?Karibu Mwanza nikufanyie dental check up.
π₯΄π₯΄ Sawa.ππ Nipishe
Atulie tu, walimwengu ndo tulivyo, hasa hasa hapa Africa uchawi ni mwingi sana.Ungemshauri nini ingekuwa wewe!
Japo haihusiani na mada yetu. Lkn bado nakukaribisha.Dental check up?
Asante mkuuJapo haihusiani na mada yetu. Lkn bado nakukaribisha.
MUNGU kwa wakati wake atatimiza ahadi zake kwako, kwa kadiri ya mapenzi YAKE.Sijui ni mie ama Niko sensitive sana?
Nnapokutana nao katika maongezi nikipigwa Hilo swali najikuta na-blush huku ndani naumia,mchangayiko na aibu na huzuni.Natoa majibu ya hapana bado.wakiendelea najikuta nashindwa hata kujieleza napata kigugumizi.
Shida sio kupata mchumba,shida ni njia zimetofautiana,njia anayopitia mwingine haiwezi kuwa sawa na anayopitia mwingine.Jambo linaweza kuwa rahisi Kwa mwingine lakini upande wa mwingine likawa tofauti.Jamii yetu imeadapt kama ndio njia sahihi impasayo kupitia Kila mtu Kwa wakati fulani,pale utaposhindwa kuipita kwa wakati inageuka maumivu.
Binti uko over 30 huna hata mchumba,huna mtoto wanabaki eehπ
Na je ikiwa mtu ataamua Kwa maamuzi yake kubaki hivyo ni kosa?
Kwa upande wa wengine mapungufu yanachangia,ndio tuna mapungufu ya hapa na pale kama changamoto za kiafya,kimwili zinazopelekea kukosa mwenza.Dhahama na magumu utayokuwa unayapitia mwenyewe na Ile hisia unaipata mwenyewe lakini wengine hawawezi kuuhisi huo mzigo unaoupitia,utasikia "jikubali mbona wapo wengi tu wanaingia kwenye ndoa,Wana familia? Wanakushangaa
Shida ni hawajui ni rejection ngapi unapitia,hawahisi mzigo wa maumivu unaobeba.
Hakuna anaependa kukosa kitu,Kila mtu anatamani kukipata on time,lakini kuweka kama utamaduni mtu kuwa na kitu Fulani katika wakati fulani mi naona ni kuumiza hisia na moyo wa mtu Ambae kwake ni ngumu kupata.
Yangu ni hayo Kwa Leoπ₯Ή
Kwanza alikuwa hasomi maana alikuwa na miwili tupo naye tu mitaani tangu amalize kidato cha 4 na hata alipo ondoka hakuna ondoka kwa ishu ya masomo.Aah mkuu sio wote wanakuwaga warembo bana, wengine wakikuwa wakajipiga soap soap ndio vijana wanajaa! Lakini umepauka na vaselini lako mweusi tii huoni mtu serious zaidi ya wafunua sketi na usipowagundua unaonjwa sana!
dah pole sana! Lakini mkuu vitu vingine mnalalamika tu bure kuna wengine wanaongea hivi lakini unakuta alikuwa wa kusoma, sasa mkishaanza kudandiana masomoni kwa lengo la kuoana hamjajua hatma zenu si ndio chanzo cha kulaumiana na masingo maza kuongezeka mtaani? Halafu wnegi wenu mkivumiliwa kwenye shida mnakuwaga na dharau kibao mkijipata mnaanza kutafuta mnaoendana nao! Tunaijua hii.. mkipauka mnataka mwanamke fulani, mkishika vihela sasaππΎ
Halafu sio kila kukataliwa ndio sababu zake hizo, saingine Mungu anakuepushia mabalaa we unaforce tu unahisi huna pesa ndiomaana hutakiwi hujui huyo mke mngekuwa wapi sasa hivi! Ushukuru tu umepata mke na mtoto sasa, unajuaje kama huyo dem wako angekufaa kuwa mke? Tatizo lenu unataka ukimtongoza mwanamke hata kama hana hisia na ww akukubali ili kesho usije kuleta hizo habari sijui alikukataaga! Mambo ya kawaida hayo mkuuπ
Amina.na iwe hivyoMUNGU kwa wakati wake atatimiza ahadi zake kwako, kwa kadiri ya mapenzi YAKE.
Woii!! Mimi nikajua zote ziko sawaππ½ββοΈUnauliza makofi polisi wkt una bange mfukoni.
Kabisa!Atulie tu, walimwengu ndo tulivyo, hasa hasa hapa Africa uchawi ni mwingi sana.
Acha u Lofa hata mchele mmoja Wali unatoka tafauti alaaahWoii!! Mimi nikajua zote ziko sawaππ½ββοΈ
Yeah babe, nimekumis πKabisa!
Hahahahahaa nimecheka kinyama mpaka nimedondoka chini ktk kiti, unamfukuzia mwanamke zaidi ya mwaka? Kuna jamaa hata simu au jumbe fupi zake alikuwa hajibu na akitaka kumkaza simu moja tu bila maelezo mengi.Haaa ndo zenu nyinyi huwa kipindi mpo kwenye kilele cha uzuri wenu huwa mnafuatwa na wanaume wa maana mnawakataa tena kwa nyodo kisa wamekaa kishamba sio mabishoo,hawana hela lakini umri ukisha enda hao ulio kula nao ujana wote wamesha kukinai hawakuitaji ndo unaanza kuwatafuta hao wavaa mashati ya vitenge uliowakataa huko nyuma waje wakuoe ππππππila hizi Dunia.
Mm yalisha nikuta mm Kuna demu nilimfukuzia zaidi ya mwaka na nusu tena lengo likiwa ni kumuoa kabisa daah demu Kila nikajaribu anachoma ,sasa alipo ona usumbufu umezidi akaniita sehemu tukutane aisee nilijuta kwenda, demu alinitolea shombo jamani daah nilirudi geto
macho yote yamejaa ukungu sioni vizuri ilinichukua zaidi ya mwaka Yale maneno kufutika kwenye kichwa changu maana yalikuwa ni maneno yaliyo jaa dharau,kejeli,na Kila suna ya matusi.
Baadae tukapotezana na sijui
πππππππBaba yangu akaniuliza "Tunaweza kuongelea suala la kuoa?".
Nikasema hatuwezi.
shida yako kubwa iko hapa kwenye haya maelezo yakoNi kweli labda mtu wa kukutana nae tu
Sasa unakuta ni Mzee wako anaekujua since udogoni,kakulea
Unasikia wenzio wameolewa wamezaa wewe vipi?
Ooh basi na utoto pia umri huo wanatongozwa sana huwezi kumjua nani mkweli nani tapeli!Kwanza alikuwa hasomi maana alikuwa na miwili tupo naye tu mitaani tangu amalize kidato cha 4 na hata alipo ondoka hakuna ondoka kwa ishu ya masomo.
Alafu tatizo sio kukataliwa tatizo ni kumtolea mtu maneno ambayo yanakufanya ujione wa hovyo kabisa ndani ya dunia hii,kwa sababu yeye si mwanamje wa kwanza kunikatalia kwenye suala la utongozaji.
Hapo ni either una pesa au kitu anacholenga kutoka kwako, huenda umekuwa aina ya mwanaume anayemtaka sasa!Alafu kama hakuwa na hisia na mm mbona sasa hivi yupo ananisumbua anataka mapenzi na mm au sasa hivi hisia dhidi tangu ndo zimekuja au ni kipi kimebadilika kwake?
Sahihi kabisa! Basi ichukulie kama chachu!Kuhusu yeye kuwa mke mwema kwangu Kuna msemo unasema mungu hakupi ukipendacho bali anakupa unacho sitahili.