Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

Mpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....
chadema wanapambana na ccm siyo polisi acha kujitoa ufahamu mbona hata unazidiwa akili na mwanangu wa awali
 
Mbona umewaonea Fisi? Fisi anachukua nyama mdomoni kwa chui
Hawa ni kunguru
Kama ni umoja wangeondoka nae na kumpeleka kwake ila walibaki kupiga kelele tu na kutawanyika

Tunajijua vizuri sana
Hawa hawa ndio waliogopa Wannajeshi wakiwa na vifagio barabarani 😄 🤣
 
Tuendelee kushabikia soccer, siasa ni upuuzi tu.
 
Mpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....
We mnyw ni keyboard warrior
 
Ama kweli mtu hawezi kumiliki kipara kisha akahesabika anamiliki akili at the same time.
Kabisa kipara yupo field anapambana lissu atoke wewe uliye na akili umeshika simu unaandika na uoga kibao...
 
Mjinga, kama ni hivyo Lisu hapendwi hakubaliki. Mabomu ya nini? Acheni kuhangaika na lissu wajing nyie




Mjinga ni yule anayeandika kutumia simu bila kuwa mstari wa mbele kumsaidia lissu tena ujinga wake ulivyo mwingi mpaka una mwagika atajibu!
Mjinga sana ni yule anayehubiri amani na kuchukia haki
 
Kabisa kipara yupo field anapambana lissu atoke wewe uliye na akili umeshika simu unaandika na uoga kibao...
Kuna mahali nimesema napambana Lissu atoke?

Mbona mashitaka yenyewe tu hayana uhalisia atatoka hata bila mfuasi wake mmoja kumpigania.

Au hujui Lissu ni nguli wa sheria na amekuwa akiigaragaza jamhuri kila mara?

Ifahamike sio kila mwenye mtazamo tofauti na CCM basi ni mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…