Kila siku nasema Lissu anawategemea watu wasionekana wala kumuunga mkono wanamjaza upepo upendo zero

Huu ndio ukweli.Lakini asiachiwe,mpaka atie akili.
 
Ila wanaoiba pesa za kodi! Kuhujumu miradi ya wananchi,kutafuna fedha za mashirika ya umma,kusafiri safari za nje zisizokuwa na tija,wanaoteka,kutesa,na kuua raia hao wote ni wanjanja na wenye akili.
Kafunguwe kesi mahakamani,kama umeibiwa.
 
Reactions: Tui
Hilo ulijue wewe!
 
Kwa hiyo kibibi jitu anatishwa na nini mpaka aagize akamatwe? Kama hana watu nyuma yake kibibi anaogopa nini?
 
Kwa hiyo kibibi jitu anatishwa na nini mpaka aagize akamatwe? Kama hana watu nyuma yake kibibi anaogopa nini?
JItokeze na wewe,uone kilichompata yeye.Mwataka kutuvurugia amani,halafu muende mliko acha familia zenu.Mwalimu Nyerere,hakuwachekea kina Kambona,Alikimbia nchi akaenda Ungereza,kumbe alikuwa anataka kutuharibia amani ya nchi.
 
Hii nchi ina ******* wengi sana,usenge ukizidia hata haki huioni.Kwa sababu wameshazoea kugeuka basi hata jambo likigeuzwa waziwazi wao hushehekea.Kama taifa tunatia aibu sana.
 
JItokeze na wewe,uone kilichompata yeye.Mwataka kutuvurugia amani,halafu muende mliko acha familia zenu.Mwalimu Nyerere,hakuwachekea kina Kambona,Alikimbia nchi akaenda Ungereza,kumbe alikuwa anataka kutuharibia amani ya nchi.
Unamfananisha Nyerere na huyu kibibi jitu? Uwe na adabu na ficha upumbavu wako. Nyerere aliuza nchi kwa waarabu? Una amani gani wewe wakati nchi imejaa vijana kwa maelfu wasio na ajira? Ngoja kuna siku utagezwa samaki na hao vijana waliokosa mwelekeo ndiyo utasota kama nyoka. Ukiitwa idiot ni sawa kabisa.
 
Wewe hujui kama Nyerere aliwapa uwaziri wa fedha wahindi,Waziri wa kwanza wa fedha alikuwa muhindi Jamal,na mawaziri kibao wahindi,na mpaka muarabu Salilm Ahmed Salim,akawa waziri mkuu.Mhindi Alnour Kassam,alikuwa waziri wa biashara.
 
Wewe hujui kama Nyerere aliwapa uwaziri wa fedha wahindi,Waziri wa kwanza wa fedha alikuwa mjindi Jamal,na mawaziri kibao wahindi,na mpaka muarabu Salil Ahmed Salim,akawa waziri mkuu.
Wewe ndiyo maana nasema ni mjinga na lofa. Unaelewa nilichoandika? Kwani kina Jamal na Salim hawakuwa watanzania? Tena walikuwa wazalendo kuliko vibaraka kama wewe na hicho kibibi.
 
Leo karagazwa yeye.
 
Wewe ndiyo maana nasema ni mjinga na lofa. Unaelewa nilichoandika? Kwani kina Jamal na Salim hawakuwa watanzania? Tena walikuwa wazalendo kuliko vibaraka kama wewe na hicho kibibi.
Kama walikuwa Watanzania,mbona hawa wahindi walizikwa nje ya Tanzania.
 
Tuseme ukweli , tutamuamini mtu ana passport ya mabeberu ? Wanae wako ughaibuni ?
 
Dunia kwa sasa inahangaika na vita ya biashara kati ya USA na nchi moja moja.

Nyinyi kaeni katika key boards mnamdanganya Lissu kuwa mnamuunga mkono. Nendeni Kenya mkajifunze namna ya kiongozi wa kisiasa anavyoungwa mkono.

Nchi hii kwa mfano tangu asubuhi leo watu wanajadili ushindi wa Simba kuingia nusu fainali; wanajadili ndoa ya Manara na mkewe, wanajadilidi vita ya Zuchu na Ritha kumgombea Diamond. Halafu nyinyi mmekaa kwenye key board mnajidanganya mtazuia uchaguzi.

Haya anzeni sasa kumpigania atoke jela kwa hiyo nguvu ya umma wanafiki nyinyi.

Yaani mnategemea dunia ndiyo imtoe jela Lissu.

Lissu atalazimika kuzungumza na Serikali kama Mbowe mliyemkejeli.

Dumia nzima katika siasa wapinzani huwa wanazungumza na serikali iliyopo madarakani huku wakiapply pressure lakini kujidanganya eti wapinzani wanaweza kuingia kibabe madarakani bila vita dhidi ya serikali yenye majeshi ni kujidanganya, tena kwa jamii kama ya watanzania ambao sifa yao kuu ni uoga, kutojali kuwa obsessed na mpira, umbeya wa mapenzi na muziki ni ujuha wa kiwango cha juu.

CHADEMA watakapolazimika kujadiliana na serikali watafanya hivyo kiunyonge na kwa aibu na CCM itakuwa,na upper hand kwa sababu wameharibu wenyewe kwa kiburi cha kipumbavu.
 
Uko sahihi. Huo umma ambao huwa antamba anao umeshindwa kuzuia asikamatwe, utawezaje kuzuia uchaguzi usifanyike? Hata huyo wakili wake wa kimataifa ambaye huwa anamtegemea kamwe hatakuja Tanzania kumtetea kwenye hiyo kesi yake ya uhaini ambayo kama itathibitika mahakamani bila kuacha shaka adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Ninamaanisha yule Robert Amsterdam.
 
Mpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....
Lijinga lingine hili hapa limeandika na kujijibu lenyewe tena la kwanza kabisa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…