Akili Boksi sana wewe kwahiyo ulitaka wafanye fujo siyo ili muuwe vizuri?.hivi ukiwa ccm lazima uwe mpumbavu wa kiwango hiki kumbeMpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....
Dikteta uchwara yumo ndani ananyea debeCCC hoi been taabani, pumzi imekata imebidi waombe msaada wa polisi, tulieni dozi iwaingie
Baada ya zile risasi Sasa kunyongwa mpaka kufaaaa.Uko sahihi. Huo umma ambao huwa antamba anao umeshindwa kuzuia asikamatwe, utawezaje kuzuia uchaguzi usifanyike? Hata huyo wakili wake wa kimataifa ambaye huwa anamtegemea kamwe hatakuja Tanzania kumtetea kwenye hiyo kesi yake ya uhaini ambayo kama itathibitika mahakamani bila kuacha shaka adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Ninamaanisha yule Robert Amsterdam.
Makamu mwenyekiti wao, Heche, kakiri kuwa wameshamuarifu wakili wao wa kimataifa, Bw. Robert Amsterdam ambaye tayari ameshaanza kuishughulikia kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kimataifa.wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Umeanza kumjua Lissu 2024 nadhaniwale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania haswa hiki kizazi cha X na instargram wapenda umbea asitegemee kupata sapoti jitu lina account kumi linaandika lenyewe na kujijibu...
mfano aliona jana kama ni mtu wa kutumia akili ajue wananchi hawapo kupambana na polisi wapo kusikiliza anacho sema heri atangaze sera kuliko kutaka kuwatumia wafanye fujo...pole kwake..naliomba jeshi la polisi litumie hekima tu limuachie tumeshajua hawako pamoja nae...tangu jana wao wanaandika tu Facebook,Jamiiforum,X na mitandao mingineyo hawana msaada wala purukushani waoga kama mafisi...
Naona matapeli mmejipanga kuwatega wananchi walete angalau fujo kidogo tuu ili Jaji mitungi aweze kupata mwanya wa kukifuta CDM. Chadema na wananchi hawawezi kutegwa kirahisi namna hiyo. Wacha mambo yaebde pole pole.Mpaka muda huu hajatoka hata mmoja wana kazi ya kuripoti Lissu kakamatwa...Lissu atasafirishwa..tutakinukisha tokeni mkakinukishe ndio mnaweza zuia uchaguzi mavi ya kenge....
SImjui nimemfahamu leo 2024 mbali kote huko!Umeanza kumjua Lissu 2024 nadhani
Ibaki hivyo kamanda...Naona matapeli mmejipanga kuwatega wananchi walete angalau fujo kidogo tuu ili Jaji mitungi aweze kupata mwanya wa kukifuta CDM. Chadema na wananchi hawawezi kutegwa kirahisi namna hiyo. Wacha mambo yaebde pole pole.
Aha ha ha ha story za bob amsterdam zimeibuka tena yule no tapeli wa kimataifa 2020 ali-trend sana kuwa ameishtaki serikali mahakama ya kimataifa!Makamu mwenyekiti wao, Heche, kakiri kuwa wameshamuarifu wakili wao wa kimataifa, Bw. Robert Amsterdam ambaye tayari ameshaanza kuishughulikia kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kimataifa.
Ama kweli hawa watu ni vibaraka wa wazungu lakini wtatujua sisi ni taifa huru na tutawashughulia hawa vibaraka wao kwa mjibu wa sheria zetu na tayari huyo Heche ameshakamatwa.
View: https://youtu.be/0GQX-fi848U?si=3CfdOOo_hh_Jw_Hx
SawaIbaki hivyo kamanda...
NRNE ndio imekufikisha hapa!!!Uchwara ni mama yako mzazi mbuzi wewe inaonekana umezaliwa bila bismirahi
Baada ya hapo ikawaje?N
Walileta ndio hadi wakapigwa virungu na mabomu au clip hujaona?
Umeongea vizuri sana kwa Ole Sosopi, lakini sitashangaa kuona unamsema vibaya Paul Makonda! Ahahahahaha!!Sosopi nilimtangulia madarasa mawili. Ni mmasai typical wale wa kuvaa mashuka. Almanusra apige sifuri form 4. Nikashangaa kuja kumwona ni mwanasiasa mkubwa huko CHADEMA. Nadhani Sosopi ni mfano mzuri wa kuwa kufeli mtihani sio kufeli maisha. Pia wazazi/walezi wawasaidie watoto kwenye vipaji vyao. Sio lazima wote tuwe madaktari au wahandisi.
Lisu pia aliwatunishia misuli kuwa hamuwezi nikamata kawambieni waliowatuma hakamatwi mtu hapa .Patachimbika.Wacha wamtie adhabu kwanza ndio wamuachilie! Eti Ole Sosopi anawaambia Polisi kwamba mkimkamata hapa wananchi watakasirika na kuleta vurugu? Nikashangaa na kujiuliza kama Ole Sosopi ni Mtanzania au Mchina!?
Mi naomba asipelekwe kupimw wakasema ni mgonjwa wa akili! Wacha wamshughulikie kwanza!Lisu pia aliwatunishia misuli kuwa hamuwezi nikamata kawambieni waliowatuma hakamatwi mtu hapa .Patachimbika.
Kumbe mkwara mbuzi tu wa mdomoni
Vijana wadogo tu wa polisi wakamwambia oya usituzengue na hawa vibaka wako wa mkutanoni unaowategemea .Hazikupita dakika wakawajambisha cheche hao mashabiki wake waliofurika mkutanoni wakakimbia kama wehu huko na huko huku wakijamba cheche
Polisi Wakaondoka na Lisu kama wanaondoka na kuku wa mdondo.Lisu Kalowa Jasho wakati hakukuwa na joto na akawa mpole kama ananyolewa saluni ujeuri wote kwisha akapanda gari ya polisi mwenyewe akitii bila shuruti
Chezea polisi wewe
Polisi are not his equal sio saizi ya Lisu wala Timu Lisu wadogo sana kama piriton mbele ya Polisi
Makonda ni mwanasiasa mzuri ila nidhamu sifuri na ni katili.Umeongea vizuri sana kwa Ole Sosopi, lakini sitashangaa kuona unamsema vibaya Paul Makonda! Ahahahahaha!!
Wamemsaidiaje Lissu?Umesema nini watu wasioonekana?! Shuhudia mwenyewe👇
View: https://youtu.be/EiGuBhJmetw?si=d3PUcoZQbXuhvlTY
Wewe kwenye ID yako umeweka kibaraka wa nani?Ama kweli hawa watu ni vibaraka wa wazungu