hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibuKikwete atueleze je udini unaingiaje katika kupinga mkataba wa bandari? Na je ni dini gani itanufaika na huu mkataba wa DPW na TPA?
Tunataka tuelezwe uzuri au ubaya wa mkataba huu na siyo kujificha nyuma ya kichaka cha siasa na dini!
Huyo anataka kujigeuza Baba wa taifa baada ya kumaliza wale wawili gafla gafla,ngoja tuone mwisho wake unakaribiaKama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda kwenye kibweta na kuanza kuwananga wanasiasa. Leo hivyo hivyo ya kesho yanafurahisha.
Papa anatisha sana!hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
TEC wamepinga kwa hoja na kuainisha vifungu wasivyokibaliana navyo, udini unaingiaje hapo? Kwamba maaskofu hawaruhusiwi kutoa mawazo yao juu ya mambo ya kitaifa?hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
Na kesho mwingine atakuwa Kanisani!Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda kwenye kibweta na kuanza kuwananga wanasiasa. Leo hivyo hivyo ya kesho yanafurahisha.
Halafu unakuta wanahubiri na kukataza wengine kufanya siasa huko makanisani, wako madarakani kwa kupora chaguzi, na hao viongozi wa dini wanaowapa nafasi hao viongozi walioko madarakani kwa wizi wa kura Wanajua kabisa wako madarakani kwa kunajisi chaguzi.Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda kwenye kibweta na kuanza kuwananga wanasiasa. Leo hivyo hivyo ya kesho yanafurahisha.
Wewe acha zako hizo, ni wapi Profesa Asad alitoa facts au majibu ya vipengele vinavyolalamikiwa!? Yeye aliishia kutoa conclusion huku akisema tuwasikilize wanasheria wa uwekezaji tu huku akisahau kwamba yeye katoa maoni (kwanza bila facts) lakini kasikilizwa.hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
Kugomea mikataba ya kihuni kunaondoa amani, ila kupora chaguzi za nchi hakuondoi amani! Acheni utapeli wa kijinga. Kila chaguzi tunaona wapinzani wanabambikiwa kesi, wanafanyiwa ukatili wa wazi, wanaporwa ushindi wao, na hawana uhakika wa kutendewa haki huko mahakamani, hiyo haiondoi amani, ila viongozi wakitaka kuuza rasilimali za nchi na watu wakagomea hiyo itaondoa amani!hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
Tulia Ackson na Bunge lake wanaunga mkono mkataba... Kuna aliyemsema ana udini?hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
Kwa hiyo wanyamaze ili mkataba wa kijinga upite?!hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
Huyo Pohamba ni wale maslahi CCM.Tulia Ackson na Bunge lake wanaunga mkono mkataba... Kuna aliyemsema ana udini?
Kwanini umemchagua Prof Assad kuweka udini?
Kinachoniuma Mimi alishindwa kulileta ktk awamu yake. Kwa nini amsukumizie Saa100 ili alikamilishe?!Kikwete ndiye DPW mwenyewe. Mzee huyu haridhiki. Mwambieni atulie alee wajukuu.
JK ni mroho sana na MNAFIKI.Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda kwenye kibweta na kuanza kuwananga wanasiasa. Leo hivyo hivyo ya kesho yanafurahisha.
Asadi alishambuliwa kwa sababu aliongea kienyeji sana yahani kama sio msomi. Tatizo sisi waisilamu tunapotetea huu mkataba wa bandari, hatuchambui vifungu vilivyopo kwenye mkataba vinavyolalamikiwa na hata hatuugusi kabisa huo mkataba wenyewe. Tunautetea mkataba kibubusa sana na kujitia aibu tuhilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
Nyerere hakuwa mwanasiasa ila alikiwa kiongozi usimfananishe na vitu vya kijinga na Nyerere hata sanamu yake inahitaji marekekebisho na matunzo kila miezi mieiliKama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda kwenye kibweta na kuanza kuwananga wanasiasa. Leo hivyo hivyo ya kesho yanafurahisha.