Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu

Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,

sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,

kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba

Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo

kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa

Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii

the same kwa
Assad aliambiwa yeye ni mtu wa mahesabu maswala ya sheria alisomea wapi?
 
Assad aliambiwa yeye ni mtu wa mahesabu maswala ya sheria alisomea wapi?
Mbowe kasomea wapi masuala ya Sheria?

Mdude ana elimu ya Sheria na uzoefu wa mikataba ?


Pungezeni Unafiki, angepinga Mkataba mngekumbuka kama yeye ni Mchumi?

Halafu usichojua ni kuwa sio kila Mwanasheria ana taaluma ya kujadili Mkataba! wapo wengine ni ma gwiji wa Sheria za Mirathi, jinai n.k
 
Sijawahi kuelewa mchango wa dini katika nchi yetu
 
Back
Top Bottom