Kuna baadhi ya waumini wana sihii kua watiifu kwa viongozi wao wa siasa hata kama sio mfuasi wa hiyo dini, hiyo ni sehemu ya waajibu wao.
Yesu alipoulizwa na mitume wake kwamba ni amri ipi kuu kuliko zote, Yesu aliwajibu ni UPENDO tu Hawa maaskofu ni wafuasi wa Yesu kweli una eneza chuki kweli kwa kujificha kwa mgongo wa dini. Ukaidi na dharau kwa viongozi wetu wajuu hutaza vita vya kidini na vita vya kidini havina mshindi, kama Raisi mstaafu JK alivyo onya
wakati wa utawala wa Raisi Magufuli mashehe hawakuwa na usumbufu wowote kwa Raisi kwasbb walijua ni wajibu wao kumtii kiongozi wa kisiasa, maaskofu wa kanisa katoliki, ni watu hatari kwa ustawi wa binadamu, ni wabinafsi, wabaguzi, wachochezi wa chuki, wanagawa wananchi.
wanapandikiza chuki mbaya sana tena sana, sahivi watu wa madhehebu mengine wataanza kuwachukia wakatoliki, Kumbukeni kwamba RC nchi nzima hawafiki hata 20% ya raia wote, watanzania tuna ishi kwa kutegemeana ni mesikitika sana hawa watu ni hatari kwa kweli, acheni ushabiki madhara ya vita za udini ni makubwa kuliko ya bandari hata kama ni kweli inagawa kwa bure.