Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Hilo ndilo jibu, waislamu hawapendi Rais muislamu akipingwa, Alipokuwa anapigwa madongo mwendazake na wakristo wenzake wenye misimamo tofauti na yeye, hakuna muislamu aliyemtetea. Sasa inakuwaje Maaskofu kupinga vipendere tata vya mkataba mnaleta misimamo ya kidini sababu tu aliyepingwa ni muislamu?!!!TEC wamepinga kwa hoja na kuainisha vifungu wasivyokibaliana navyo, udini unaingiaje hapo? Kwamba maaskofu hawaruhusiwi kutoa mawazo yao juu ya mambo ya kitaifa?
Je huu mkataba unanufaisha waislam ndiyo sababu wanautetea? Au waislam hawapendi Rais muislamu akipingwa?
Umeusoma ule Waraka wenu ? Labda kama huna akili timamu. Ule Waraka umeonyesha wazi dini imeingia kwenye siasa.Kikwete atueleze je udini unaingiaje katika kupinga mkataba wa bandari? Na je ni dini gani itanufaika na huu mkataba wa DPW na TPA?
Tunataka tuelezwe uzuri au ubaya wa mkataba huu na siyo kujificha nyuma ya kichaka cha siasa na dini!
Udini unaingia pale ambapo Maaskofu walipo andika uongo ya kwamba Wananchi wamupinga huo mkataba.TEC wamepinga kwa hoja na kuainisha vifungu wasivyokibaliana navyo, udini unaingiaje hapo? Kwamba maaskofu hawaruhusiwi kutoa mawazo yao juu ya mambo ya kitaifa?
Je huu mkataba unanufaisha waislam ndiyo sababu wanautetea? Au waislam hawapendi Rais muislamu akipingwa?
Bwana , hawa watu fani yao ni kuheza ngoma si haya mambo yanayo involve higher mental facultiesKikwete atueleze je udini unaingiaje katika kupinga mkataba wa bandari? Na je ni dini gani itanufaika na huu mkataba wa DPW na TPA?
Tunataka tuelezwe uzuri au ubaya wa mkataba huu na siyo kujificha nyuma ya kichaka cha siasa na dini!
Dah baada ya kufanya nini!Huyo anataka kujigeuza Baba wa taifa baada ya kumaliza wale wawili gafla gafla,ngoja tuone mwisho wake unakaribia
Wao wakiutetea hawatetei vifungu vya mkataba bali wanamtetea aliyesaini kwa dini yake.Asadi alishambuliwa kwa sababu aliongea kienyeji sana yahani kama sio msomi. Tatizo sisi waisilamu tunapotetea huu mkataba wa bandari, hatuchambui vifungu vilivyopo kwenye mkataba vinavyolalamikiwa na hata hatuugusi kabisa huo mkataba wenyewe. Tunautetea mkataba kibubusa sana na kujitia aibu tu
Kwa hiyo unataka maaskofu wawe mbumbumbu kama walivyo mashehe ambao elimu dunia kwao ni ndoto!Umeusoma ule Waraka wenu ? Labda kama huna akili timamu. Ule Waraka umeonyesha wazi dini imeingia kwenye siasa.
Waraka umeanza baada ya andiko ukanukuu vipengele vya katiba, hii imeonyesha wazi kwanza Ukatoliki hauna misingi madhubuti ndio maana ni mwepesi kuingia kwenye siasa. Sasa tutawauliza ni dini gani imefundisha Demokrasia na mafundisho gani ya mitume yamesema mamlaka ya serikali inatoka kwa Wananchi ?
Sasa mpaka hapo bado hujaona kwamba dini yenu imeingizwa kwenye siasa ? Kingine matendo ya Maaskofu hufanywa na Wanasiasa na Wanaharakati.
Mitume hawakuwa na matamko Wala huu upuuzi, wao walikuwa wanafata misingi na muongozo walio pewa na Mola muumba.
Wee unaishi wapi ambako wananchi hawana taarifa ya mkataba huu wa kifisadi? Kama wananchi hawapingi kwa nini Chongolo na Kinana wakiambatana na mawaziri wanazunguka nchi nzima kushawishi wananchi wakubaliane na serikali kuunga mkono ufisadi?Udini unaingia pale ambapo Maaskofu walipo andika uongo ya kwamba Wananchi wamupinga huo mkataba.
Tuonyeshe ni wapi Wananchi wamupinga huo mkataba ? Swali wanapingaje kitu ambacho hawajakiona Wala hawakuhusishwa ?
Zaidi wengine hawana habari na huo mkataba, bali wapo wengine wamesikia habari za mkataba toka kwa Wanasiasa, watu ambao si wa kweli na hawana sifa ya kuaminiwa. Leo wanakuwa hivi kesho wanakuwa vile.
Maaskofu waache kutuwekea maneno mdomoni, wasione kwamba akili zao ndio akili za watu wote, au waumini wao ndio watu wote, wanatakiwa wajue ya kuwa Kuna watu Wana akili timamu kuwazidi wao.
Kwahiyo mashehe ndio wana uhalali wa kutusemea.Udini unaingia pale ambapo Maaskofu walipo andika uongo ya kwamba Wananchi wamupinga huo mkataba.
Tuonyeshe ni wapi Wananchi wamupinga huo mkataba ? Swali wanapingaje kitu ambacho hawajakiona Wala hawakuhusishwa ?
Zaidi wengine hawana habari na huo mkataba, bali wapo wengine wamesikia habari za mkataba toka kwa Wanasiasa, watu ambao si wa kweli na hawana sifa ya kuaminiwa. Leo wanakuwa hivi kesho wanakuwa vile.
Maaskofu waache kutuwekea maneno mdomoni, wasione kwamba akili zao ndio akili za watu wote, au waumini wao ndio watu wote, wanatakiwa wajue ya kuwa Kuna watu Wana akili timamu kuwazidi wao.
DP World watajenga misikiti kila kitongoji.Kikwete atueleze je udini unaingiaje katika kupinga mkataba wa bandari? Na je ni dini gani itanufaika na huu mkataba wa DPW na TPA?
Tunataka tuelezwe uzuri au ubaya wa mkataba huu na siyo kujificha nyuma ya kichaka cha siasa na dini!
Jifunze kujenga hoja na kukosoa hoja. Waraka wenu umeonyesha ni kwa namna gani Ukatoliki hauna misingi, inakuwaje wanarejea katiba kama msingi wa hoja yao ? Sasa hapo ndipo utaona umbumbu wa Maaskofu yaani hawana tofauti na Wanaharakati na Wanasiasa.Kwa hiyo unataka maaskofu wawe mbumbumbu kama walivyo mashehe ambao elimu dunia kwao ni ndoto!
Kwa kuwa mashehe ni mbumbumbu hata demokrasia hawaijui ndiyo sababu wameamua kuunga mkono serikali kwa ufisadi huu?
Je waislam wana maslahi gani na huu mkataba? Na je ni waislam wote wanaukubali mkataba huu?
Na mwisho je maaskofu siyo raia na hawana haki ya kuihoji serikali?
Wapi nimesema hayo ? Kwanza elewa ninacho kiandika hapa.Kwahiyo mashehe ndio wana uhalali wa kutusemea.
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sanaKwa hiyo unataka maaskofu wawe mbumbumbu kama walivyo mashehe ambao elimu dunia kwao ni ndoto!
Kwa kuwa mashehe ni mbumbumbu hata demokrasia hawaijui ndiyo sababu wameamua kuunga mkono serikali kwa ufisadi huu?
Je waislam wana maslahi gani na huu mkataba? Na je ni waislam wote wanaukubali mkataba huu?
Na mwisho je maaskofu siyo raia na hawana haki ya kuihoji serikali?
Kusoma na kupata PhD za theology zina maana gani kama huwezi kutambua madhara ya religious civil war, wa fuasi wako hao wanao toa sadaka utawapata tena, na watafika kwenye hizo ibada, ubinafsi ni kitu kibaya sana nyie wssomi wa some wa theology ueni ego zenu mtuachie Amani ya nchi.Kuna baadhi ya waumini wana sihii kua watiifu kwa viongozi wao wa siasa hata kama sio mfuasi wa hiyo dini, hiyo ni sehemu ya waajibu wao.
Yesu alipoulizwa na mitume wake kwamba ni amri ipi kuu kuliko zote, Yesu aliwajibu ni UPENDO tu Hawa maaskofu ni wafuasi wa Yesu kweli una eneza chuki kweli kwa kujificha kwa mgongo wa dini. Ukaidi na dharau kwa viongozi wetu wajuu hutaza vita vya kidini na vita vya kidini havina mshindi, kama Raisi mstaafu JK alivyo onya
wakati wa utawala wa Raisi Magufuli mashehe hawakuwa na usumbufu wowote kwa Raisi kwasbb walijua ni wajibu wao kumtii kiongozi wa kisiasa, maaskofu wa kanisa katoliki, ni watu hatari kwa ustawi wa binadamu, ni wabinafsi, wabaguzi, wachochezi wa chuki, wanagawa wananchi.
wanapandikiza chuki mbaya sana tena sana, sahivi watu wa madhehebu mengine wataanza kuwachukia wakatoliki, Kumbukeni kwamba RC nchi nzima hawafiki hata 20% ya raia wote, watanzania tuna ishi kwa kutegemeana ni mesikitika sana hawa watu ni hatari kwa kweli, acheni ushabiki madhara ya vita za udini ni makubwa kuliko ya bandari hata kama ni kweli inagawa kwa bure.