Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Huyu ni shehe au sio shehe.Wapi nimesema hayo ? Kwanza elewa ninacho kiandika hapa.
Mimi masheikh zangu hawajaongelea suala hilo la Bandari, na kama ikitokea Kuna haja ya kumkosoa kiongozi au kuhoji, Hawa hoji kwenye majukwaa au misikitini, bali wanaandika barua iende kwake au wanamfata kwa Siri, akikubali kukosolewa ni jambo jema kwake, asipokubali basi wajibu wao wanakuwa wameufata na kuutimiza.
Ila masheikh zetu sisi wametumihiza juu ya kuwapinga wale wote wenye kuchochea uvunjifu wa amani, na tusiwasikilize kama wafanyavyo Maaskofu, huu ni uchochezi na wanaonyesha ni kwa namna gani Wana akili ndogo na Wana mihemko. Ukiangalia tu huo Waraka, una makosa madogo ya kiuandishi halafu mnakuja kutuambia ni wasomi na watu makini, wakati Waraka unaonyesha Wana pupa na chuki za kijinga.
Unafurahia bandari kwenda kisa anayeuza ni mwislam mwenzako na anayenunua ni mwislam mwenzako, hatari.Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
Yaani ni ajabu sana kwa kweli jk kakosea sanaTEC wamepinga kwa hoja na kuainisha vifungu wasivyokibaliana navyo, udini unaingiaje hapo? Kwamba maaskofu hawaruhusiwi kutoa mawazo yao juu ya mambo ya kitaifa?
Je huu mkataba unanufaisha waislam ndiyo sababu wanautetea? Au waislam hawapendi Rais muislamu akipingwa?
Huyo Sheikh kwa uhakika wake. Masheikh lazima wafate mafundisho sahihi ya Mtume.Huyu ni shehe au sio shehe.
Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi. Je kanisa...www.jamiiforums.com
Walioanzisha utetezi wa dini kwenye mkataba huu ni CCM, sijui walitaka kumtisha nani na kwa faida ya nani?hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
Nahitimisha kusema hivi hawapendi raisi muislamu kupingwaTEC wamepinga kwa hoja na kuainisha vifungu wasivyokibaliana navyo, udini unaingiaje hapo? Kwamba maaskofu hawaruhusiwi kutoa mawazo yao juu ya mambo ya kitaifa?
Je huu mkataba unanufaisha waislam ndiyo sababu wanautetea? Au waislam hawapendi Rais muislamu akipingwa?
Dini na siasa unazitenga vipi? Tuchukulie walioleta dini walijitenga na siasa? Kwa upande wa Waislamu, Mtume Muhammad alipigana vita vingi vya Badr, Uhud, Khandak na Hunayn, je alichanganya dini na siasa? Kwa Wakristo Yesu alikemea maovu ya watawala mpaka akasulubiwa, je alichanganya dini na siasa? Kwa kifupi dini na siasa unazitenga vipi?Dini na siasa vyote mlaji wao ni mwananchi unavitenganishaje?
Kazi kweli kweliKikwete atueleze je udini unaingiaje katika kupinga mkataba wa bandari? Na je ni dini gani itanufaika na huu mkataba wa DPW na TPA?
Tunataka tuelezwe uzuri au ubaya wa mkataba huu na siyo kujificha nyuma ya kichaka cha siasa na dini!
Ngoja tuone KKKT walikuwa mstari wa mbele sana kutoa waraka nyingi kipindi cha JPM sijui maoni yatakuwa yapi katika kumpokea Hangaya mimbariniNa kesho mwingine atakuwa Kanisani!
Ebo! Kwa hiyo ulitaka katika kuhoji wasitumie katiba kama reference! Hujui katiba ndiyo mwongozo uliokubalika katika kuendesha siasa na utawala wa nchi hii!Jifunze kujenga hoja na kukosoa hoja. Waraka wenu umeonyesha ni kwa namna gani Ukatoliki hauna misingi, inakuwaje wanarejea katiba kama msingi wa hoja yao ? Sasa hapo ndipo utaona umbumbu wa Maaskofu yaani hawana tofauti na Wanaharakati na Wanasiasa.
Ukija wakati wa kuwazungumzia Masheikh tutawazungumzia, masheikh wangu Mimi hukuti wakifanya hivi, sababu wao wanafata misingi ya uislamu na kuna taratibu ambazo alizielekeza Mtume wetu namna ya kuwakosoa Viongozi hasa wale viongozi madhalimu. Hili ukifika wakati wake tutaliweka wazi. Hapa tunawaongelea viongozi wenu ambao hawana misingi sahihi ya kuegemea katika jambo lao, zaidi ya kufata upepo wa Wanasiasa na kuandika mambo ya uongo na uzandiki.
Masheikh wangu Mimi wameandika vitabu na vitabu kuikosoa Demokrasia na kuonyesha ya kuwa Demokrasia ni ushetani, ila ukiwasoma viongozi wenu ambao hawafati mafundisho ya Yesu utawaona wanaipigia chapuo Demokrasia na kunukuu ibara katika katika ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Wana tofauti gani na Wanasiasa na Wanaharakati ? Huoni wanaiiingiza dini kwenye siasa na kuonyesha dini yenu haijakamilika ?
Wapi Yesu alifundisha Demokrasia na kuiunga mkono ? Hata wakiona Paulo wapi wakifanya haya wanayo fanya Maaskofu ? Halafu mnajiita wasomi ?
Waislamu sisi hasa Mimi na masheikh hatuna mpango wa kuujua huo mkataba, ila tunakemea wale wachochezi wenye kuwakosea heshima viongozi na kuwatukana, hakuna mitume ambao waliwatukana viongozi wao hata kama walikuwa waovu hakuna mitume ambao walikuwa wachochezi na waongo ?!
Haki wanayo, swali wanahoji kwa misingi gani na kwa njia gani ? Dini yenu haijatoa mafundisho ya namna gani uhoji ? Basi kama haijafundisha siyo dini ya kufata. Yesu aliwafundisha nini juu ya kuhoji au kuwakosoa Viongozi ?
Huna hoja!Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
Sahihi kabisa unajua maana ya kufata dini ? Maana lazima utumie misingi ya dini yako kama muongozo katika kuyaendea mambo. Maana yake kutumia katiba kama marejeo wewe unakuwa hufati dini sababu katiba no matokeo ya maoni ya watu ambayo yana mapungufu mno.Ebo! Kwa hiyo ulitaka katika kuhoji wasitumie katiba kama reference! Hujui katiba ndiyo mwongozo uliokubalika katika kuendesha siasa na utawala wa nchi hii!
Maoni yako ni mazuri Sana lakini wakati CCM inajifungamanisha na Dini hamkusema.hilo jibu halihitaji JK, hata Mimi nitakujibu
Prof Assad kaunga Mkono Mkataba kashambuliwa Mdini,
sasa hivi kila Mtu akipinga Mkataba anaonekana Mkristo na kila anaeunga Mkono anaonekana Muislam,
kwanza inaua Principle za uhuru wa kujieleza kiasi kwamba Mkristo ataona shida sana kuunga Mkono Mkataba hata kama kwa nafsi yake na Taaluma yake ataona inafaa kwa kuwa anaonekana anapingana na Imani yake na Mwislam nae atajihisi jama kulitumikia Kanisa akipinga Mkataba
Kuvuruga Amani ya Nchi ni jambo rahisi sana sana na huwa inaondoka kimchezo mchezo
kuna watu wanadhani ni mchakato wa miaka na miongo kadhaa
Tuendelee kunyanyapaa Viongozi wanaopandikiza Chuki na mifarakano kwny Jamii
the same kwa
Kikwete ni mtu asiyejali chocho ndo maana alingia mikataba ya hovyo hovyo ,halafu anataka mpaka karne hii tuendele na haiyo na iana hiyo ya mikataba kwa kuwa yeye na wajukuu. Wake wana uhakika wa maishaKikwete atueleze je udini unaingiaje katika kupinga mkataba wa bandari? Na je ni dini gani itanufaika na huu mkataba wa DPW na TPA?
Tunataka tuelezwe uzuri au ubaya wa mkataba huu na siyo kujificha nyuma ya kichaka cha siasa na dini!
Sasa kama maaskofu wamerejea katiba katika hoja zao ni vipi mnabwabwaja kuwa wameingiza dini katika siasa?Sahihi kabisa unajua maana ya kufata dini ? Maana lazima utumie misingi ya dini yako kama muongozo katika kuyaendea mambo. Maana yake kutumia katiba kama marejeo wewe unakuwa hufati dini sababu katiba no matokeo ya maoni ya watu ambayo yana mapungufu mno.
Usiwe unakurupuka kijana, tumia akili kuhoji mambo.
Umekubalika na kina nani ? Kwanini Kuna dini ? Maana ya dini ni nini ?
Kwahiyo nyinyi Wakristo muongozo wenu ni Katiba au Biblia ?
Ndio maana nasema hivi Maaskofu akili ndogo sana.
Kikwete ni mtu wa hovyo sana anajali tumbo lake tu!Kikwete ni mtu asiyejali chocho ndo maana alingia mikataba ya hovyo hovyo ,halafu anataka mpaka karne hii tuendele na haiyo na iana hiyo ya mikataba kwa kuwa yeye na wajukuu. Wake wana uhakika wa maisha
Wenye hoja ni hao Dp world ndio maana serikali imeamua kuwapa hiyo Bandari kuwekezaHuna hoja!
Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda kwenye kibweta na kuanza kuwananga wanasiasa. Leo hivyo hivyo ya kesho yanafurahisha.