Kilichomkuta zuchu ndio tofauti ya wanyakyusa na makabila mengine

Upinzani ufanye kama watu wa Mbeya watu wagome kufanya biashara na machawa wa CCM.

Wakifanya hivyo nchi nzima Kutapunguza upuuzi wa uchawa, impact yake itakuwa kubwa kuliko maandamano.
 
Kwani ilikuwaje kuwaje mpaka akazomewa?
 
Wanyakyusa ni wajasiri ssna.

Damu ile achana nayo
 
Nakubaliana na maudhui ya mada.
Wengi wanashindwa kuwaelewa wanyakyusa.
Ukimdharau umepata adui.

Mwakyembe mwenyewe aliwadharau wapiga kura wake kuwa eti yeye amesoma na ana degree nne ikiwemo ya uzamivu, na amefundisha vyuo vingi hata nje ya nchi.
Wale wakulima wakamwambia "ndagha baba"
Na wakampiga chini kisawaswa hata kama aliwajengea barabara!
Hao ndio wanyakyusa ninao wafahamu, ila ukiomba radhi yaishe, haraka sana wanasamehe.
 
Umemtoa mfano wa wahehe kumsusia mtu biashara baada ya kujiona star wakati anafungua hiyo biashara. Na kwamba hiyo inakuanesha wahehe wana roho mbaya.

Sikia, wahehe hawatakagi kabisa dharau, ndio maana ya ile kauli ya "ndimgaya sida"

Mhehe ukijifanya wewe ni spesho sana anakupuuza kisha anaendelea na mishe zake.

Kuhusu wanyakyusa, labda huwajui kwakuwa wewe mwenyewe ni mnyakyusa, ila hilo kabila ni washenzi, wakabila na wana roho mbaya sana.

Kwanza wanapenda sana kusengenya na kusingizia, pili mkiwa sehemu mnyakyusa anapenda awe juu ya wengine, ukimzidi atakupiga majungu hadi ukome huku akijificha kwenye kichaka cha mwanamaombi sana.

Kingine ukioa mnyakyusa utakiona cha moto. Chunguza wanawake wengi wa kinyakyusa ama ameachika au single mother.
 
Huwajui wanyakyusa wewe!

Kaangalie ofisi yenye wanyakyusa walau 2 tu, hata kama ni Kanisani lazima iwe na majungu sana
 
Hakuna kabila la huku kusini lenye roho mbaya kama mhehe na mbena , sijui shida ni nini kwa kweli kwenye kazi zangu Huwa siajili mhehe, mbena Sina fundi, sina dereva, sina muuza duka Toka hayo makabila nawajua mno na hapa njombe wamejaa naijua shida Yao ,Nimezaliwa nimekua nao , why not sijataja mkinga msangu nk nawajua hawa fika
 
Wewe ndio mwenye roho mbaya sasa!

Mhehe hatakagi ujinga wa kumnyenyekea mtu.

Sasa kwakuwa nyie wanyakyusa mnapenda kuabudiwa na kutaka kuwa juu ya kila mtu ndio maana unaona Wahehe wana roho mbaya sababu hawawezi ku entertain huo ujinga.

Nyie hata wanawake zenu naweza wenyewe tu maana wanapenda kuwa watawala
 
Acha visingizio,hao unaowataja hawana tabia ya kumnyenyekea mtu,yani suala la kumwabudu mtu kwao halipo hata kidogo,hao wanyakyusa ndio wanatabia za kinafki na kushobokea watu,wabena na wahehe hawana huo ujinga,nawafaham wote wahehe,wabena na wanyakyusa,wanyaki ni watu wakujiona wapo juu ya wengine na kupenda kuabudu watu au kuabudiwa,hicho kitu ndio tofaut kabisa na wahehe na wabena
 
Nna jamaa zangu wanyakyusa kibao,wameoa dada zao wanyakyusa,kinachoendelea mpaka wao wenyewe wanashauri mtu asioe kabila lao,wanyakyusa kwenye unyenyekevu hawapo ila unafiki na superiority complex,wabena na wahehe ni watu wanamind their own business,nafikiri hicho ndio kinachomuuma jamaa kuona hapewi attention na hao watu wala hawaabudu watu
 
Bila kusahau nyanda za juu kusini wanyakyusa ndio wanaoongoza Kwa ukabila na kuvimba,jambo zuri wanyakyusa hamna hela nyie ni tantalila nyingi,mngetuzidi maisha aiseh tusingekunywa maji,hii mada aliyeleta mtoa mada ni mwendelezo wao wa ubaguzi na kusengenya watu.
 
Endelea kuajiri wanyakyusa ambao huwa wanaridhika mapema na hela ndogondogo hao wengne wanaotaka hela nyingi wafanye biashara zao sio kuajiliwa kishambashamba
 
Kama alimpigia kampeni mama alichemsha... Huko mapaka mke wa Rais (Mama Salma) ashapigwa mawe [emoji23][emoji23][emoji23], waende Lindi na Mtwara huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani alienda kwa kampeni za ccm au alienda kwa niaba ya mke wa pididi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…