Kilichomkuta zuchu ndio tofauti ya wanyakyusa na makabila mengine

Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale mzee alipowaonyesha dharau walimbadilkia mno hadi alipotoka jombe na kwenda kuwaomba msamaha na pale alipowaomba msamaha walikuwa wanampa ushirikiano sana na upendo. Ni kawaida ndugu atoke mbeya kuja kuwasalimu kisa tu akisikia ulikuwa unaumwa na ulilazwa, panakutokea shida wanaichukua kama Yao kabisa. hili ni tofauti Sana na watu wa iringa hapa nawasema wahehe na wabena ( sijui waliumbwa na roho gani hawa watu hawana shukurani na Wana roho mbaya sana,ndio nimeishi nao jombe na kukua nao hawa jamaa anaweza weka kisasi kwa tukuio la kijinga hata miaka 20, umsaidie vip hawana appreciation, kama unaowafahamu vyema wahehe na wabena weka ushahidi hapa. Nimewahi kutana na kisa Cha mfanyabiashara wamesusia biashara yake kisa amewahi kuwaonyesha dharau mwanzoni alipojiona ni star alipofungua biashara. Nazani zuchu hakuelewa ni wazi mbeya Samia na CCM hawana mvuto huko na Ile kuwaita wahuni nazani ndio kimefanya waharibu nb binafsi sijapenda walichomfanyia mtoto mdogo wa kike
Ni kweli

Walichofanya ni ushamba tu
 
We fala acha kuzungumzia makabila ya watu basi, hayo mambo yenu ya wanyakyusa haujaulizwa,hao wahehe na wabena hawapendi dharau hata kidogo ndiomaana wanareact hivyo,nyie wanyakyusa mnatuzidi sifa tu ila hamna jambo lolote la maana mtakalotuzidi,na haka kambeya kenu tutakatawala kiuchumi kwenye Kila sekta,fala mmoja wewe
 
😀😀duh kumekucha.
 
Kampigia kampeni maza 🤣
amejichanganya hapo, huwezi changanya siasa na burudani hajui waliojitokeza ni wafuasi wa vyama vyote hata wale vijana wachadema waliochezea virungu walikuwepo unataka uawaambie mama mitano tena walielewe? machungu ya kijana aliyepotelea mikononi mwa watekaji na umauti ukamkuta hayajaisha lazima ukutane na hiyo kadhia
 
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale mzee alipowaonyesha dharau walimbadilkia mno hadi alipotoka jombe na kwenda kuwaomba msamaha na pale alipowaomba msamaha walikuwa wanampa ushirikiano sana na upendo. Ni kawaida ndugu atoke mbeya kuja kuwasalimu kisa tu akisikia ulikuwa unaumwa na ulilazwa, panakutokea shida wanaichukua kama Yao kabisa. hili ni tofauti Sana na watu wa iringa hapa nawasema wahehe na wabena ( sijui waliumbwa na roho gani hawa watu hawana shukurani na Wana roho mbaya sana,ndio nimeishi nao jombe na kukua nao hawa jamaa anaweza weka kisasi kwa tukuio la kijinga hata miaka 20, umsaidie vip hawana appreciation, kama unaowafahamu vyema wahehe na wabena weka ushahidi hapa. Nimewahi kutana na kisa Cha mfanyabiashara wamesusia biashara yake kisa amewahi kuwaonyesha dharau mwanzoni alipojiona ni star alipofungua biashara. Nazani zuchu hakuelewa ni wazi mbeya Samia na CCM hawana mvuto huko na Ile kuwaita wahuni nazani ndio kimefanya waharibu nb binafsi sijapenda walichomfanyia mtoto mdogo wa kike
Walikuwa wanamtaka mke wa p diddy
 
Wasanii sasa watakoma kuropokaropoka mambo ya uchawa wakiwa majukwaani, wasifikiri vijana wote TZ ni machawa kama walivyo wao.

Pole Zuchu, pekeka ujumbe kwa Piddy.
 
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale mzee alipowaonyesha dharau walimbadilkia mno hadi alipotoka jombe na kwenda kuwaomba msamaha na pale alipowaomba msamaha walikuwa wanampa ushirikiano sana na upendo. Ni kawaida ndugu atoke mbeya kuja kuwasalimu kisa tu akisikia ulikuwa unaumwa na ulilazwa, panakutokea shida wanaichukua kama Yao kabisa. hili ni tofauti Sana na watu wa iringa hapa nawasema wahehe na wabena ( sijui waliumbwa na roho gani hawa watu hawana shukurani na Wana roho mbaya sana,ndio nimeishi nao jombe na kukua nao hawa jamaa anaweza weka kisasi kwa tukuio la kijinga hata miaka 20, umsaidie vip hawana appreciation, kama unaowafahamu vyema wahehe na wabena weka ushahidi hapa. Nimewahi kutana na kisa Cha mfanyabiashara wamesusia biashara yake kisa amewahi kuwaonyesha dharau mwanzoni alipojiona ni star alipofungua biashara. Nazani zuchu hakuelewa ni wazi mbeya Samia na CCM hawana mvuto huko na Ile kuwaita wahuni nazani ndio kimefanya waharibu nb binafsi sijapenda walichomfanyia mtoto mdogo wa kike
Wasukuma walijiona wajanja kushabikia CDM. Kanda ya ziwa ikawa kama Mbeyo ya sasa. Baadae wakasanuka. Sugu ndio mjanja wenu!

Endeleeni kulala mkuu. Hamtotoa Mwenyekiti au mbunge wa kuteuliwa ndani ya Cdm.
 
Ukiacha habari za unyakyusa. WCB Wanazingua kuchanganya biashara yao na CCM.

Hatukatai, boss anaweza kua na chama chake pendwa, lkn watu wamelipia kuja kuona burudani tena wa Vyama vyote, Ww unafika jukwaani unaanza mitano tena, sijui mama, sijui tulia wtf iz wrong with you!

Mbona wakiitwa kwenye matamasha ya Tulia, wana hudhuria na kupewa support full. Hawajiulizi kwann kwenye hili?

Mbaya zaidi mtoto wa kike akapanic na kuleta kiburi zaidi kutaka kubishana na alike kitu ambacho ni usenge, bale ilitakiwa asome upepo na abadirike kuufuata hata kwa kusema chadema oyeee ya kinafki angesepa na kile kijiji

Hii trick ya pili JPM mwenyewe aliitumia, siku walimzuia barabarani na kumlazimisha kusema peoples....., akagoma goma lkn mwishoe alisema peoples.... cloud yote ikatulia na kumsikiliza na kumruhusu apite
 
Nakonekt dots hapa naona kuhusu wala 'wuuu, wuuu' umewasema hivo. Nimeiona hyo, dada na kaka wamenuniana ingawa dada alimsaidia kaka atoke jela kwa kesi mbaya sana. Kwny msiba unaomuhusu dada, kaka zake hawataki kwenda mbaka watumiwe gari liwafate privately. Wuu wuu
 
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale mzee alipowaonyesha dharau walimbadilkia mno hadi alipotoka jombe na kwenda kuwaomba msamaha na pale alipowaomba msamaha walikuwa wanampa ushirikiano sana na upendo. Ni kawaida ndugu atoke mbeya kuja kuwasalimu kisa tu akisikia ulikuwa unaumwa na ulilazwa, panakutokea shida wanaichukua kama Yao kabisa. hili ni tofauti Sana na watu wa iringa hapa nawasema wahehe na wabena ( sijui waliumbwa na roho gani hawa watu hawana shukurani na Wana roho mbaya sana,ndio nimeishi nao jombe na kukua nao hawa jamaa anaweza weka kisasi kwa tukuio la kijinga hata miaka 20, umsaidie vip hawana appreciation, kama unaowafahamu vyema wahehe na wabena weka ushahidi hapa. Nimewahi kutana na kisa Cha mfanyabiashara wamesusia biashara yake kisa amewahi kuwaonyesha dharau mwanzoni alipojiona ni star alipofungua biashara. Nazani zuchu hakuelewa ni wazi mbeya Samia na CCM hawana mvuto huko na Ile kuwaita wahuni nazani ndio kimefanya waharibu nb binafsi sijapenda walichomfanyia mtoto mdogo wa kike
Nakuunga mkono hapo kwenye Wahehe na Wabena,ni watu wamalipizi sana,ukiwakosea ni lazima akuonyeshe kuwa yeye ni nani,halafu wakiwa na maposition ndio utamjua,dharau kama zote yeye akiamini kwa kufanya vile ndio utajua yeye yuko juu zaidi yako.Wanyakyusa nawajua wao ukiwachafua ni papo kwa papo ila ni wepesi sana kuachilia kama ukijishusa...
 
Back
Top Bottom