Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

Kakopy kopy na kuunga unga tu
Unaona niliyojibu Kwa mtu

 
Mkuu
Ushausoma uzi original wa mayalla??
Ndiyo ule wa Tiss kutesa watu ?
 
haya buana!
wenye baba zenu malodi!
mie niliishia kuwa chipukizi,na zile bunduki zetu za mbao!
ila naona tangu juzi kuna watu mnatanguliza mpira mbele ya pasco ili aubutue!mwenyewe kastuka,kaweka jezi yake begani,kifua wazi na miluzi mingi huyoo anatoka!
 
Nilichoambulia hapo kuwa umethibitisha Pascal Mayalla ni mtumishi wa TISS
 
Kila nikisoma maandishi hayo juu nakumbuka pia yaliyomkuta babu yangu ambaye alipata majanga kwa Oder ya Mwalimu Nyerere kuwa lazima ataifishwe.
Blackbold: Hili neno limenifanya niwe mgeni wa kiswahili. Mkuu, ebu fafanua, inawezekanaje binadamu akataifishwa?
 
Pascal tangu aitwe na bunge yuko kimya sana hadi anatupa hofu.Pascal njoo hadharani humu tujue kama uko salama
 
Mkuu andiko lako ni nzuri na lenye kusisimua lakini andiko lako limekosa mantiki......

Labda tu ungeweka wazi kuwa kulingana na mtiririko wa hayo matukio uliyoyaoanisha ulikuwa unalenga nini.....!!?
Amepigapiga chenga tu. Lengo ni kumtaja Mulokozi
 
Watu wa kando ya ziwa wote wapo Hugo mkuu
Muwe na uhakika. Mnavyochuna watu ngozi huwa ni ibada huko Mbeya?Ndiyo ninyi mnawaambiaga watoto wenu wasioe au kuolewa na hasa watu wa Mara wakati ninyi ni katili kwelikweli. Na tumeishi nanyi tunawajua. Acheni ubaguzi na ukabila wanyamanyafu!!
 
Pamoja na kwamba TANU ,CCM kuyafanya hayo sijawahi kuwaza kujiunga upinzani japo mimi siyo CCM,

Upinzani haujaimarika sana mpaka kutushawishi kujiunga.
Sasa nani akuimarishie upinzani wewe tu uje kujiunga?
 
Reactions: etb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…