Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

Mkuu ni kumwelewa tu hivyo hivyo maana yeye hana taaluma ya uandishi wa habari, kiukweli mimi nimemuelewa yuko vizuri kwa maana ya hata waandishi wanafunzi watajifunza kupitia bandiko kama hizi kwamba hapa palitakiwa pawe hivi yeye mwenyewe mwanafunzi atalirekebisha kwa kusoma.
 
Kipo karibu na shule ya Agakhan Primary na lile kanisa kubwa la kilokole jina nimesahau kidogo.
Ni City Center Upanga la aliyekuwa Mchungaji kiongozi baadaye akateuliwa na hayati Magufuli kuwa Mkurugenzi wa Usalama taifa DG kwa sasa ni Balozi nchini Namibia naye si mwingine bali ni Dk. Modestus Francis Kipilimba.
 

"Kilichonitokea kituo"​

 

Haya ndo mambo ya wa Tanzania haya, kwa kweli swala la nguvu za kiume Tanzania halitaisha
 
Ni City Center Upanga la aliyekuwa Mchungaji kiongozi baadaye akateuliwa na hayati Magufuli kuwa DG kwa sasa ni Balozi nchini Namibia naye si mwingine bali ni Dk. Modestus Francis Kipilimba.
Asante..
 
Kwahiyo askari wanalinda vichaka badala ya raia?
 
Long time! Maeneo hapo Shekilango,saa sita usiku,nilavuka barabara ili nipande bus la Mbezi,nina kibegi na kina Ipad,nikaona jamaa wawili nao wakavuka na kunifuata,nikahisi hawa sio watu wema,nikaongeza mwendo,nao wakaongeza,nikatimua mbio wakaunga,jamaa wa daradara wanaona mchezo wakipiga kelele kimbia wewe kimbia,mbele kuna daradara ikaja ikasimama mbele yangu nikajitupa haraka,jamaa alirusha panga likagonga mlango๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€....nikapona.
 
Huyu jamaa nimeanza story kisha nikastop kuendelea baada ya kusema anaenda feri saa nne usiku.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Pole
 
Mkuu shekilango ucku mpaka wale boda boda wa kituo cha mwendokasi ni wakwapuaji hasa wakiona mtu yupo tungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ