Kilimanjaro: Mwalimu agomea kuhama, vitu vyake vyatolewa nje Siha

Kwa maaelezo aliyatia na ukimsikiliza hapo mkuu wake na mkurugenzi kazi wanayo huyo ni mbishi haswa alafu amejipachika na ulezi wa watoto au wanafunzi wa kiisilamu shuleni..oya hiyo ni jamii ya kina sheik mwaipopo hatari kabisa.
Mkuu usiingize suala la udini kwenye ukiukwaji wa haki za mtu. Naye ana haki ya kusikilizwa. Kwanini walijaza walimu kwenye shule hiyo baada ya kuzidi ndipo wanamteua yeye ahame na si mwalimu mwingine? Huo ni uonevu dhahiri.
 
Mkuu sio kila shule inapokea walimu na kamati huwa Ina choose walimu random what if walimu wapya ni sayansi utawatoa na kumuacha huyu wa historia abaki?

Let's think critically kulikuwa hamna sababu maalum za kukataa uhamisho, na kila unapofikiria ameonewa fikiria muda aliopewa tangu mwaka Jana atoe sababu za kukataa kuhama na hakuna sababu iliyoonekana.

Kwahiyo mkuu point yako iweke vizuri huwezi toa mwalimu mpya kwasababu hujui amebobea kwenye somo gani na kumuamisha tu.
 
Mkuu inaonekana walimu wa historia ndio wamezidi humo shuleni. Obviously, walimu wapya waliokuja na kupelekea mrundikano ni wa historia. Je, wakati wanawarundika kwanini hawakukumbuka kuwapeleka kwenye hiyo shule yenye upungufu? Pointi yangu ni hiyo mkuu.
 
Hii kali!
 
Huyu amebembelezwa Toka mwaka Jana mwezi wa kumi na moja sasa kama ameshahamishwa anaendelea kung'ang'ania kwanini kukaa kwenye shule ambayo sio yake?
Kwanini wamchague yeye ndiye ahame na si walimu wengine? Huoni kuwa huo ni ubaguzi na uonevu usiomithirika?
 
Unaweza ukaona ni sawa lakini embu fikiria why not him?

What is so special asitolewe yeye? Je unatakwimu za ugawaji wa walimu kwenye shule za Wilaya husika. Shule nyingi zilikuwa zinapokea walimu wawili au watatu what if? Kati ya hao walimu hamna wa historia kwenye shule aliyohamishiwa huyu mwalimu?

Bado sioni sababu maalum za kujitetea jamaa anatakiwa kutii mamlaka ya mwajiri wake na kutokuwa na utovu wa nidhamu.
 
Kumbe ni figisu? Alafu ata hii picha imepigwa kikuda, sina shaka hii picha ilipigwa na huyo Mwalimu Mkuu, kwanini akae angle hii wakati anachukua picha? hakuona position nyingine? Hii picha ina uadui ndani yake, tupo pamoja na Mwalimu. Kama ni ndoo hizo tunapanga 3×4 inabaki moja. Godoro inawekwa kwa juu apo. Done! Roho mbaya haina maana yoyote, mwamba alishajua hapo kuna mambo ya kiwaki nfio maana akaona hata haina haja kujaza mavitu wakati kuna dalili zote za transit %#&£*£&'hfsj@!
 
Kuna mtu anawatetea wadhalimu eti kwamba mwalimu huyo alihama bila kutoa sababu. Kumbe sababu za msingi anazo halafu hawo wauaji wanataka kumhamishia eneo hatarishi kwa nguvu? Hii haikubaliki duniani wala mbinguni.
 
Sababu gani za kiusalama mkuu? Huko dahani mbona watu wengine wanaishi vizuri ni sababu zisizo na mashiko hizo. Akiambiwa atoe sababu za kiusalama zinazomkwamisha atasema ni kitu gani?

Yaani mtu anatafuta shortcut kukataa kutii mamlaka kwasababu zake binafsi. Hivi inaingia akili hujawahi kanyaga kwenye kituo ulichohamishiwa hata siku moja na bado unakimbia kusema kuna sababu za kiusalama.
 
Kumbe ni figisu? Alafu ata hii picha imepigwa kikuda, sina shaka hii picha ilipigwa na huyo Mwalimu Mkuu, kwanini akae angle hii wakati anachukua picha? hakuona position nyingine? Maisha ya Transit ndoo 4×4 unaweka usingizi juu, inabaki ndoo 1. Maisha yanaendelea, kazi za kuajiriwa za kingese sana.
 
Kuna mtu anawatetea wadhalimu eti kwamba mwalimu huyo alihama bila kutoa sababu. Kumbe sababu za msingi anazo halafu hawo wauaji wanataka kumhamishia eneo hatarishi kwa nguvu? Hii haikubaliki duniani wala mbinguni.

Sababu gani za kiusalama mkuu? Huko dahani mbona watu wengine wanaishi vizuri ni sababu zisizo na mashiko hizo. Akiambiwa atoe sababu za kiusalama zinazomkwamisha atasema ni kitu gani?

Yaani mtu anatafuta shortcut kukataa kutii mamlaka kwasababu zake binafsi. Hivi inaingia akili hujawahi kanyaga kwenye kituo ulichohamishiwa hata siku moja na bado unakimbia kusema kuna sababu za kiusalama.
 
Mkuu wewe ama ni mgumu wa kuelewa au unakataa kuelewa kwa makusudi. Nimekuuliza: Wakati walimu wanazidi kwenye hiyo shule mamlaka zilikuwa wapi? Kwani yeye alijipeleka mwenyewe kwenye hiyo shule? Na wakati wanapokea walimu wapya wa HISTORIA na kupelekea walimu wa HISTORIA kuzidi walikuwa na maana gani? Ina maana walikusudia kurundika walimu wa HISTORIA kwenye shule hiyo ili wazidi kisha iwe sababu ya kumhamisha yeye? Huoni kuwa hizo njama ni ovu na hazikubaliki mkuu?

Walimu wapya wa HISTORIA waliozidishwa kwa makusudi walipaswa kupelekwa kwenye shule zenye upungufu, sio wasubiri walimu wazidi ndipo wamhamishe yeye kimizengwe kwenda kwenye shule isiyokuwa na nyumba ya kuishi. This is totally inhumane and unfair mkuu.
 
Wanamuonea sana huyo mwalimu. Wanataka kumtoa kwa nguvu na kumuingiza mwalimu mwingine kana kwamba yeye hana hadhi ya kukaa humo. Inauma sana na haikubaliki hata kidogo.
Sio sawa lakini ajaribu kuwa muelewa kama kweli wanachomshtumu ni cha kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…