Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

Amani ya Simu "TAMISEMI DODOMA Simu Nu: +255 26 2321667 Nus: +255 26 2322116 Barua pepe game..

Mi wa Sekalun

Maa TAMISEM SLP 1823

TAARIFA KWA UMMA

Ofisi ya Rais -TAMISEMI imma taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikinahusisha mwanafunzi SIFIKA DANIEL RUBEN aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi iliyoka Wilaya ya Samani Kilimanjaro na kupangwa kidato cha tano kwenye shule ya Sekondari Nawa nafasi yake amepewa mwanafunzi mwingine hivyo yeye kukosa haki ya kuendelea na m

Ofisi ya Rais-TAMISEMI imefuatilia taarifa hizo kwa kina kutoka Mlambon Sekondari alikosema mwanafunzi huyo (O'level) mpaka shule ya Sekondari Namwai diyoko Scha mkoani Kilimanjaro alikopangiwa mwanafuzi baryo kuendelea na masomo ya kidato cha tano

Imebainika kuwa binti anayelalamika mitandoni anaitwa Sifaeli Tawel Elirehoma na aliona shule moja

Sika Daniel Rubern. Hata hivyo binti huyo namba yake ya Mtihani ilikuwa ni 8.850/135 alipata

Dis IV: 34 (Zero) na ama masomo ya Sanaa ilihali Sifika Daniel Raben umba yake ya mtihani ni

5.850/136 alisoma masomo ya Sayani na umepata Division 1.10.

Binti anayelalamika mitandaoni alifikishwa shuleni hapo na Wazazi Waler kompoti akiwa hata viambatanisho vyovyote (Result Slip) na alipohojiwa ilibainika kuwa amewadanganya wale wake a jina mpaka matokeo yake na kwa sababu walezi hao walimchukua kama mundi wa nyumbani hawakufahamu ukweli wa tarifa waliopewa na binti huyo

Kufuatia taarifa hii tunapenda kumjulisha umma kuwa hakuna mwanafizi aliyunyang'anywa haki yake ya kuendelea na masomo ya kidato cha tano na taarifa zilizotolewa na binti huyo ni za songo na zipurwe na mwanafunzi Sifika Daniel Ruben codes na masomo yake Nawai Sekondari.

Aidha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed O. Mchengerwa amewataka Wazazi Walezi na wanaharakati kutokusambaza taarifa ambazo hawajajiridhisha na usahihi wake il kepuka kuna haki kwenye jami

Imetolewa na:

Nteghenjwa Hosseah

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-TAMISEMI 25.09.2023

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu nafasi yake inauzwa afu anaenda kuwa hausigel,hayuko serious huyo

Hataki shule
Siyo hayuko siriaz umeshaambiwa Baba yake ni maskini sana na mama yake ni mgonjwa unadhani kwa umri huo angeenda wapi kulalamika?

Hii nchi kila mahali ili jambo lisogee ushikwe mkono au uwe na kitu mkononi sasa hivyo vyote hakuwa navyo angetoboa vipi?ila nichukue nafasi hii kumpongeza mama Gwajima anajitahidi sana kuwa active kwa mambo ya msingi ya kijamii (of course huko ccm naona wote wapiga debe na kujipendekeza lakini huyu mama kiasi anaujua wajibu wake ipasavyo)
 
Kwa hiyo bado unamini dogo kadhulumiwa haki yake?
 
Michezo hii ilikuwepo sana zamani...hadi waziri mmoja alishafanya na alishajitetea sana hapa ...
Mtoto huyu anahitaji msaada zaidi ya huo wa kurudishwa shule maana anatokea familia masikini sana..
Alafu badaye huyo aliyeuziwa jina
Anakuja kuwa kiongozi fulani wa nchi

Ova
 
Huko Hedaru kuna Kiwanda cha kutengeneza Uongo khaaa. Huyu mtoto ni muongo wa karne si mchezo
 
 

Attachments

  • IMG-20230926-WA0070.jpg
    44.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…