mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Kwani asiyejua kuwa kila mkoa hawakosekani watu wa hovyo ni nani?ukiona mkoa wenu unaongelewa kila wakati ujue hiyo tabia imepitiliza,hao wazuri unaowasema labda ni watu 100 kwa 1 kwa uwiano kitu ambacho ni negligible.Mikoa yote inayo watu wa hovyo na wenye ukabila , pia lipo kundi la wachaga hawana shida na mtu zaidi ya upendo .
Wachaga tuna upendo mkubwa hasa kwa mtu wa kuja ,na huwa tunajivunia kukuonyesha upendo ili ujue kabisa sie tupo tofauti na mnavyo tufikiria na kama nikujiweza kibongo bongo tupo vizuri insha Allah, japo hayupo🤔mi si mchaga ila nilipendwa sana uchagani wakawa wananiita Mangi. Niliowakuta kazini wamestaafu lakini bado tunawasiliana nao. Walinifanya nikaijua Kilimanjaro yote
wana kijiji chao kimechangamka kinaitwa KaheWakahe
Wakahe wakienda mjini wanajitambulisha kama wapare
Wewe haujui kitu kuhusu wachaga mwachie LOTH HEMA labda kidogoKwani asiyejua kuwa kila mkoa hawakosekani watu wa hovyo ni nani?ukiona mkoa wenu unaongelewa kila wakati ujue hiyo tabia imepitiliza,hao wazuri unaowasema labda ni watu 100 kwa 1 kwa uwiano kitu ambacho ni negligible.
Kwa nini isitajwe mikoa mingine kama Iringa,Dodoma,Songea na kila siku unatajwa mkoa wenu tu?
Sio sababuhawajasoma
kuna ofisa mmoja mchaga alinipa elfu kumi nikanywe chai wakati nasubiria suala langu lishughulikiwe pale KDC. Wale maofisa wote wachaga walini brand kama Icon kuweza kufanya kazi nzuri katika kituo nilichopangiwa. Wilaya nzima ya Moshi nilionekana ni wa tofauti na wafanyakazi wa aina yangu mpaka nikatunikiwa cheti na fedha kwa ufanisi wa kazi. Kilimanjaro ndio nilipapenda kufanya kazi huko ingawa sikupajua awali. Nilipangiwa Kagera huko Ngara ila baadae nikajikuta nimepangiwa Kilimanjaro, mkoa niliopenda kufanya kazi kutokana na mwamko mkubwa wa kielimu hukoWewe haujui kitu kuhusu wachaga mwachie LOTH HEMA labda kidogo
Maana iliyopo ni wewe kujiolesha kimasihara kwao kama sehemu ya ww kulipa fadhila ya walichowekeza kwako- kama nimekunukuu vyema hapa "utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you".kuji offer kwao ni kutoa huduma safi za kitaaluma, au una maana nyingine ya kuji offer?
Acha udini wewe mjinga! Sehemu yenye waislamu wengi hamna udini wala ukabilaHuko huko Kilimanjaro vipo vijiji vina wakazi wake ni dini fulani wazazi hupenda zaidi watoto wao wafundishwe walimu wa dini yao. Sipati picha huko Pangani, Kilwa, Mafia, Mkuranga hali ikoje kwa mwalimu asiye wa dini ya wenyeji kufundisha watoto wao. Maeneo mengine ya nchi hali ni shwari hakuna ukabila wala udini, walimu ni changanyikeni
Acha uongo wako ww ,watu wa pwani wako kote sio rahisi kuwajua ...Yule Gsm kakuliw hapa Tanga unataka kuongea nn .watu wa ukanda wa pwani majority hawako tough kwenye angle kama uchumi ,elimu n.k wao wamejikita kwenye siasa .
mtu wa pwani anaweza kuuza eneo la urithi aknunue bodaboda
Katikati ya wasukuma wewe utaongea na nàni sasaWatu pekee wanaoweza kuishi na kila mtu ni WASUKUMA tu kwa nchii hii
Wachaga nimeishi nao kaskazini na ukiachana kaskazini hata majirani zetu nyumbani kuna wachaga wengi tu.Wewe haujui kitu kuhusu wachaga mwachie LOTH HEMA labda kidogo
Wachaga nilwahi kuishi nao ni wazuri hao wa hovyo sijawahi kukutana nao ,kuna mmoja tu alinitapeli pesa zangu ...Yote hayo watu wa hovyo ni wachache sana ila ubaya wao unaleta maumivu sana kwa wengine.Wachaga tuna upendo mkubwa hasa kwa mtu wa kuja ,na huwa tunajivunia kukuonyesha upendo ili ujue kabisa sie tupo tofauti na mnavyo tufikiria na kama nikujiweza kibongo bongo tupo vizuri insha Allah, japo hayupo🤔
Karibu moja kaka ukirudi tena nishtue nikupe sehemu ya kukaa bure yenye viwangokuna ofisa mmoja mchaga alinipa elfu kumi nikanywe chai wakati nasubiria suala langu lishughulikiwe pale KDC. Wale maofisa wote wachaga walini brand kama Icon kuweza kufanya kazi nzuri katika kituo nilichopangiwa. Wilaya nzima ya Moshi nilionekana ni wa tofauti na wafanyakazi wa aina yangu mpaka nikatunikiwa cheti na fedha kwa ufanisi wa kazi. Kilimanjaro ndio nilipapenda kufanya kazi huko ingawa sikupajua awali. Nilipangiwa Kagera huko Ngara ila baadae nikajikuta nimepangiwa Kilimanjaro, mkoa niliopenda kufanya kazi kutokana na mwamko mkubwa wa kielimu huko
Kaka unaongea upotoshaji mimi ni mchaga na pia nimezunguka sio habaWachaga nimeishi nao kaskazini na ukiachana kaskazini hata majirani zetu nyumbani kuna wachaga wengi tu.
Wewe utakuwa hujatembea umezaliwa uchagani ukakulia uchagani ndio maana unahisi tabia za kwenu ziko sawa kwa sababu hujui jamii zingine zinaishi vipi huwezi ukauona utofauti.
Mimi Tanzania bara nimeivuruga mzee najua Tamaduni karibia za mikoa yote Tanzania huna cha kunidanganya.
Kwa udini huu sijui wanafunzi wa kiislamu kama wanapata elimu zaidi ya kuwapa masimamgo tu! Hivi waislamu walikufanya nini?kuna maeneo nchi hii ukipangiwa kufundisha huko unakuta wanafunzi ni wa dini fulani, watoto wana dharau balaa wanaona wanafundishwa na kafiri, hawazingatii unachowafundisha
hilo ni kweli hata mimi nakuunga mkono hawa watu ni wachoyo sanaWatu wapwani wabaya sana wanapenda kurogana na awependi kuona Maendeleo ya mtu ndiyo Maana sehemu wanazoishi jamii ya pwani kukuta maendeleo binafsi ya mtu ni ngumu utakuta mtu ana pesa lakini anaishi maisha ya hovyo anaish kwenye Nyumba ya siyo nzuri, Nilishi Zanzibar nilipanga Nyumba zenye familia za Wazanzibar ni wachoyo wanakula bila hata kukalibisha ni tofauti na Wa Mama wa TANZANIA BARA, Wa Mama wa Tanganyika siyo wachoyo wa chakula.
naona unaleta matusi sasa, sitaki kuharibu uzi, vinginevyo ungekula za uso sasa hivi ushike adabu zakoMaana iliyopo ni wewe kujiolesha kimasihara kwao kama sehemu ya ww kulipa fadhila ya walichowekeza kwako- kama nimekunukuu vyema hapa "utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you".
Kama umezunguka na umeshindwa kuona utofauti utakuwa una tatizo mahali.Kaka unaongea upotoshaji mimi ni mchaga na pia nimezunguka sio haba