Sasa mbona wengine wanasema sio Kiwavi na wengine mmeshikilia ni Kiwavi...kipi ni kipi hapa?Huyo ni kiwavi jeshi na hupendelea kushambulia nyasi na mazao aina ya nyasi kama mahindi, mtama na ulezi, na viatilifu inayotumika ni za kunyunyizia kama dusban,karate duduall n.k,ila kuna hii dawa huwa inaitwa profecron inafanya vizuri zaidi. View attachment 642091
Kama wapo katika makundi makubwa na wanashambulia nyasi na mazao ya aina ya nyasi basi hiyo ni tabia muhimu kwa viwavi jeshi.Sasa mbona wengine wanasema sio Kiwavi na wengine mmeshikilia ni Kiwavi...kipi ni kipi hapa?
Maafisa Kilimo wamshangae huyo mdudu!!!,si dhani. Huyo ni jamii ya Viwavi jeshi lkn pia anataka kufanana na wale Maize stalk bore.ANGALIZO.Km ni Kiwavi jeshi basi hapo lazima kifanyike kitu kinachoitwa PRA(Pest Risk Analysis), Ili kujua hali ya Uharibifu na Shughuli hii hufanywa na watu wa kutoka Wizara ya Kilimo,kupitia kitengo cha PHS (Plant Health Services). Lkn wasiliana kwanza na Maafisa Kilimo wako wa Eneo husika wao ndio ndio walipoti Wilayani halafu hao wataripoti Wizarani kuwa kuna Tatizo hilo. Lkn km ni Maize stalk bore tumia dawa za kawaida tu km vile Sumithion, na zingine zinazoua Visumbufu vya aina hiyo.Maafisa kilimo wenyewe wanamshangaa!
Mkuu kisima nicheki kwa 0655374581 naona PM inanizenguaMorogoro, mvomero. Ni direct and single trip tokea chuga kwa bus la K-ltd au Mapenzi ya Mungu mpaka kijiji shamba lilipo.
Route ya Chuga via handeni then Turiani mpaka saa6 unakuwa upo hapa.
Haahahaaaa ukisikia kilimo nyoko ndio mwaka huu, nimetumia kama milioni tatu na nusu kulima hekali 60 nilikua na tractor yangu gharama sana sana nime gharimika kwenye palizi, mbolea na mbegu
Sokoni bei ya kuuza gunia 24000 sasa biashara gani? Nimeamua kutatumia mahindi kama cgakula cha kuku na nguruwe ninao wafuga
Mahindi yako yapo wapi mkuu? jana tu nimekataa offer ya elfu 55 kwa gunia, mahindi yanapanda japo kidigokidogo, huyo middle man alinisumbua sana jana, naskilizia walau ifikie elf 60 au 58 sio mbaya, japo mwaka jana mwishoni nilikata tamaa maanake kwa huku gunia la debe 6 lilikua elf 48(bei ya jumla) ila naona kabei kanaanza kupandapanda.Haahahaaaa ukisikia kilimo nyoko ndio mwaka huu, nimetumia kama milioni tatu na nusu kulima hekali 60 nilikua na tractor yangu gharama sana sana nime gharimika kwenye palizi, mbolea na mbegu
Sokoni bei ya kuuza gunia 24000 sasa biashara gani? Nimeamua kutatumia mahindi kama cgakula cha kuku na nguruwe ninao wafuga
Yap, tupo pamoja mkuu!Kwa Picha uliyopost naona mashina mengine yako vizuri isipokuwa huo mhindi moja....daa watakuja wataalam mkuu vuta subira.
Yeah! Sasa ni nini kinasababisha hali hiyo mkuu!!?kwa miye mkulima wa siku nyingi hua inajitokeza kwa mhindi mmoja au miwili ktk shamba zima hiyo sio tatizo