Kilio cha Walima Vanilla Kagera kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Jambo baya kwa serikali yangu ni bora ziharibike mashambani kuliko kuvusha Uganda eti... mi nashauri mchange nauli muunde kamati ndogo ya kumuona bashe it's seriously issue
Na ndio upumbav Huu ,zao ambalo linahitajika kama vanilla unauzaje Kwa bei ya mbuzi hiyo yakiboya hivyo ? Yaani vanilla uuze 30000? ,Umelogwa ? , Tatizo nchi hii serikali ina urasimu WA kijinga unaokandamiza wakulima mtu utakuta kazalisha hizo vanilla lakini akitaka kuvusha mpakani akauze hapo Uganda au Kenya ambapo wanunuzi wapo wengi na inauzwa Kwa bei kubwa anazuiwa ,trend ni hiyo hiyo hata Kwa mazao kama Kahawa NK , wakulima wanalima Kwa mateso makali ,miundombinu wezeshi Hamna ,pembejeo BEI juu lakini hata mipaka kufunguliwa ili mkulima auze Kwa bei nzuri huko nje Hamna
 
Nilishamtafuta saba. Uenda naye ni tapeli sisi tunazalisha tani 400 lakini hakuna soko
Funga safari nenda Uganda au Kenya kusurvey na kutafuta wanunuzi WA uhakika then Rudi ongea na vishoka WA deals za magendo mipakani hasa hapo Mutukula wakusaidie jinsi ya kuvusha mzigo huo ,then kauze nje
 
Kwa mtazamo wangu nlichokiona
Hapo kuna style ya kuwachosha jamaa wa vanilla ili watu fulani
Wainunue alafu wao ndy wakauze bei juu.....
Hi8 kitu ipo sana tanzania,nchi kuna watu hawapendi kuona watu wanapata hela

Ova
 
Kwa mtazamo wangu nlichokiona
Hapo kuna style ya kuwachosha jamaa wa vanilla ili watu fulani
Wainunue alafu wao ndy wakauze bei juu.....
Hi8 kitu ipo sana tanzania,nchi kuna watu hawapendi kuona watu wanapata hela

Ova
Aisee inauma , ukiangalia wakulima wanavyoteseka nchi hii [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Tuliona Paprica, na Jatrofa na sasa ni Vanila halafu avacado. Mungu saidia

 
Na ukitaka utoboe fanya magendo
Sema ndiyo uwe risk taker

Ova
Mkulima kila kitu anajitegemea yeye, hapewi msaada hata robo, akiivisha apangiwe kampuni la kuuzia, kampuni likiwa halina fedha jibu Ni aidha mkulima akopwe au mazao yaozee shambani, tofauti na hapo afanye magengo, hii haijakaa sawa!

Hapa Rais wetu, Mama Samia ingilia kati suala hili, mkulima apeleke kuuza sehemu anayohis atapata maslahi mapana na sio kupangiana wapi pa kuuza na kwa bei gani!
 
Ukishaona zao linawekewa sijui shirika, hesabuni maumivu
Ndomana mm napendaga kufanyaga mambo magumumagumu najua hakuna mtu akataye jaribu kutia pua
Nchii kufanya biashara upate hela ushaumiza sana kichwa na mwili

Waachie tu hiyo vanilla wanunuz wawe huru wanunuz wajinunulie kwa wakulima waone

Ova
 
Funga safari nenda Uganda au Kenya kusurvey na kutafuta wanunuzi WA uhakika then Rudi ongea na vishoka WA deals za magendo mipakani hasa hapo Mutukula wakusaidie jinsi ya kuvusha mzigo huo ,then kauze nje
Magendo ukirisk lazima utoboe
Tushawaona wangapi wakifanya hiyo
Kuna watu tunawafaham walifanya magendo wakapiga hela hadi sahv wameingia kwenye siasa wnaitwa waheshimiwa
Hii dunia uwanja wa fujo ukifanya kufata mstari hutoboi,utabakia msindikizaji tu kuwatajirisha wengine

Ova
 
Kuna mfumo hautaki watu wawe vzr kiuchumi,waendeleee kuitwa wanyonge

Utasikia mm nko kwa ajili ya wanyonge,
Watu nao kwa kwa kwa kama mazombie

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…