Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Mwenyewe ka-google tu, hana utaalam wowote.
 
Itakua ni wewe mwenyewe, make unajiita sana mtaalam.
 
Mwaka gani kilitokea?
 
Msimpe sifa azizostahili.huyo hata hakujenga airport Dodoma,kajenga Chato.
Hapo ndipo napoona Mwendazake alikuwa na maono akahamishia ofisi zote Dodoma
 
Kimbunga(Hurricane)Jobo kinatokea Madagascar na kitapiga hodi maeneo ya Pwani ya Zanzibar na Daresalaam.Hiyo ni kudra ya Mwenyezi Mungu.Isitoshe ni kutokana na Tabia Nchi (Climate Change).Hao wendawazimu wanaodai kuna mtu kapatia kuhamia Dodoma hajui lolote.Hii Tabia nchi pia inaleta ukame wa ajabu.Ndani ya miaka michache Huko makao makuu kutatokea Ukame ambao haujawahi kutokea nchini,na Ardhi yake kugeuka Jangwa.Viongozi Duniani wanajadiliana kuhusu suala hilo.Sijui kiongozi gani anatuwakilisha.Its very Important.
 
Mimi ningekuwa Daslam hasa eneo la bondeni ningeenda hata Morogoro kesho mpaka kimbunga kipite. kimbunga ni hatari sana.Kama nyumba zilizojengwa kwa viwango bora huko USA, Japan havihimili kimbunga Je hapa Tanzania itakuwaje?

USA wanajenga kwa mbao tu na sometimes kwa Alluminum na viyooo sio kwa matofali kama huku!
Hii kimbunga wala haita haribu chochote katika la Mungu wetu aliyutuvusha kwa corona nk
 
Mkuu vyombo vya habari huwa vinaongeza presha Sana. Mimi sipo kinadharia naongelea kwa uzoefu wa baharini. Hivyo vimbunga baharini vipo Sana na kwa upande wa Pacific ndio balaa.

Ni majina sisi huku Indian Ocean tunaita tropical cyclone, America kaskazini wao huita Hurricane, wengine huita typhoon au cyclone. Hao watalaamu uliowataja wao ndio wapo kinadharia hawajawai kumbana nacho baharini. Mbobezi wa meteorology ya bahari ni Captain Mlesa.

Hizo tropical cyclone zipo hii ingawa imetabiriwa kuwa kubwa. Kwa baharini meli hata tropical cyclone iwe na ukubwa kiasi gani safari uendelea kwa tahadhari kubwa kwa kubadili uelekeo kupishana na kitovu Cha kimbunga.

Dalili nyepesi ya kuwepo kimbunga ni wingu kuwa jeupe na bluu kama manyoya na baharini kuna kuwa na viwimbi vidogo kama matuta mafuta(swell) siku 3 mpaka 7 kabla ya kimbunga kutokea.
 
Mimi ningekuwa Daslam hasa eneo la bondeni ningeenda hata Morogoro kesho mpaka kimbunga kipite. kimbunga ni hatari sana.Kama nyumba zilizojengwa kwa viwango bora huko USA, Japan havihimili kimbunga Je hapa Tanzania itakuwaje?
US nyumba zao huwa ni za mbao, sijajua kwa Japan ila naamini nao pia itakuwa kwa sababu ni sehemu prone kwa matetemeko ya ardhi ya mara kwa mara...
 
Kama nawaona Tanesco watavyo kata umeme kabla hata hilo bogi halijatua...
 
Anatoka bungeni kuja kutafuta nini huko🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…