Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Kwa ilani inasemaje?
 
Sasa kikifika Mtwara si kinaweza kumuua Harmonize? Sasa tutaishije akifa jamani? Taifa litakuaje? ee mungu tusaidie
 
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania TMA yatoa tahadharisha kwa watanzania wote kwa uwezekano wa kimbunga jobo kuwepo Tanzania.
TMA imewataka wananchi kujihadhari na uwezekano wa kimbunga jobo kuanzia April 24 mwaka huu kupiga Tanzani hasa katika mikoa ya pwani.
 

Sawa kama TMA ndio wametoa hiyo taarifa basi haina mashiko maana mitambo yao ni ya kubahatisha kwa kiwango kikubwa tu.
 
Nilitaraji kusikia statement kutoka kwa hawa jamaa ila sijasikia kitu, au hii sio sehemu yao ya kujimwambafai?? Au ndio yale ya account kutumika kupitishia pesa?
Wajitokeze pia ina TANESCO watoe tahadhari, tusizidi kubweteka japo tunasali
 
Salini kama mlivyofanya kwenye Covid-19.
 
Wanasindwa na wenye na Bar at least wanawaandaa wateja wao

 
Yaani ubongo unatetemeka
 
Jamani,hiki kimbunga si kije baada ya Mei mosi? Mbona kinataka kumfanya Samia S.H asitamke yale 'mema' ambayo watumishi wanayasubiri kitambo?
Kwa jinsi kinavyoelezewa kuwa Kimbunga Jobo kitakuja kuna Uwezekano kikaleta MAAFA makubwa mno ya Vifo, Uharibifu na mengineyo hivyo basi Serikali ili Kurejesha hali ya Kawaida kutokana na Uharibifu huo itabidi iachane na Mpango wa Kuwaongeza Mishahara Watumishi wake kwa mwaka labda mpaka mwakani au hata baada ya 2025.
 
Mkuu usitutishe, cha kwetu hakitakua na kasi iyo, japo tunapaswa kuchukua tahadhari.
Tena ndiyo huenda 'Kitatuua' sana Wakazi wa Mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara, Lindi na Kisiwa cha Mafia kuliko hata wale 'Waliofariki' kwa Ugonjwa wa Corona ( Covid-19 )
 
Kuondoka kwa AMRI ya Israeli kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli na kuja kwa Rais Samia ni sawa sawa tumetolewa ICU sasa tunapelekwa Mochwari.
 
Kama nawaona Tanesco watavyo kata umeme kabla hata hilo bogi halijatua...
Na jinsi walivyo Waoga na wanavyotaka Sifa huenda Kesho tarehe 25 April, 2021 Siku ya kutokea Kimbunga Jobo chenyewe wakatukatia 'Umeme' hadi tarehe 25 December, 2021.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…