Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

Mi sio kungwi,
Mkiambiwa ukweli mnaanza kujifanya watabiri wa maisha ya watu, mtu mnasisimka kwa kupakata watoto ijekuwa mtoto wa kambo!! Tena aliye kwenye umri wa balehe? Kesi za ubakaji, ulawiti na ushoga unafanywa na nani kama sio nyie mafedhuli!

Sipo humu kutafuta followers, wala kuungwa mkono ukikerwa sana na comment zangu ignore ipo ni kubofya tu,
 
Wala usifikie huko dada yangu, jumapili leo tuna sogeza masaa tu wala sio kwa ubaya 🙏
 
Mwanaume hawezi kuwa na matamanio na mama yake mzazi tu (ingawa kuna visa vichache vya washirikina ambapo mama na mtoto wananjunjana)...

Mwanamke linda mwanao wa kike...
Ujumbe wao ndio huu, waongee na watoto, wawasikilize na mwisho wawalinde......
 
Duuuh hii hatari,yaani mwanaume udindishe kwa katoto ka miaka miwili au mitatu au mtoto wa kumpakata?
Hii itakua kuna shida sehemu.
 
Duuuh hii hatari,yaani mwanaume udindishe kwa katoto ka miaka miwili au mitatu au mtoto wa kumpakata?
Hii itakua kuna shida sehemu.
Shangaa na wewe eti anatetea ni asili yenu,
uzi uliletwa juzi humu na ID ya mkaka maarufu tu, sina uhakika kama upo au umefutwa
 
Hisia mbaya ni utumwa. Nilisha kaa na single mama ana mtoto wa kike, yule binti alikuwa kama mie ndio baba yake.. na wakati mwingine mtoto anakuja kulala na mie baba wa mchongo ili kupata joto la baba ambalo hakuwai lipata kwa baba yake Og
Shida mkigombana kufikia kuachana kwa ubaya wanakusingizia hata kubaka hawa viumbr tuwe nao makini pia, kuna kesi nyingi za namna hii
 
Pia, kuna wanawake pia kwenye hizi hizi scenario huwa ni wapo kwa kujiegesha uwasaidie kusukuma life la watoto wao ila baadae wanagandisha akili watoto kuwa huyu sio baba yako, wakati kwa maisha ya sasa baba sio kutia na kuzalia bali ni kulea pia.
 
Shangaa na wewe eti anatetea ni asili yenu,
uzi uliletwa juzi humu na ID ya mkaka maarufu tu, sina uhakika kama upo au umefutwa
Hapana bhana,mleta uzi huyo alikua na matatizo yake,siyo kawaida kutamani watoto,kwanza hata kuwaza kutamani,siyo rahisi na wala siyo asili yetu.Hilo suala lisiwe inclusive.
 
Hapana bhana,mleta uzi huyo alikua na matatizo yake,siyo kawaida kutamani watoto,kwanza hata kuwaza kutamani,siyo rahisi na wala siyo asili yetu.Hilo suala lisiwe inclusive.
Huyo niliyekuwa najibishana nae kasema ndo mlivyo mkipata kajoto kwa babu kipara anaamka, ndo nimemkatalia na kumwambia huo ni ufedhuli, akawa mtabiri nimeumizwa na wanaume na sijasamehe bla bla bla bla bla blaaaaaa........
 
Ndio maana tunasema single maza ni laana, haya yote yanaepukika kama wanawake mkiacha tamaa na mapepe na kujitunza mpaka mtakapoolewa rasmi.. usiishie kuwaangalia wanaume tu vile vile jiangalieni na nyie wenyewe.. kabla ya kuzaa hakiikisha uyo mwanaume yupo tayari kubeba majukumu ya malezi, mmetambulishana kwenye familia zenu, mmekubaliana kuishi pamoja na kuzaa mtoto na hata baada ya kuzaa msilete ujinga wa kutaka kumghasi mwanaume na kumfanya mateka wako ukifikiri kwa sababu mmezaa mtoto hawezi kufanya maamuzi magumu.

Singo maza akiniletea shobo kama binti yake analipa me napita na wote wawili. Unakuta singo maza mwenyewe ndio kajala halafu binti paula nisipokula boga na ua lake si nitaonekana boya
 
Wakimbia familia mpo wengi.....

Afu mkuu si nmekuambia nakupenda mbona haunijibu 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…