Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Anae andika hapa yupo dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿Kwenye Hayo Mapepo Basi Hujui Ukanda wa Pwani Na Zanzibar ww
Unadhani Mimi nipo kazulamimba🤣🤣🤣😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anae andika hapa yupo dar es salaam TANZANIA 🇹🇿🇹🇿Kwenye Hayo Mapepo Basi Hujui Ukanda wa Pwani Na Zanzibar ww
Yani mtuwangie alafu msitoleweeHaya yanafanyika hata huko songwe na chunya.Ni nani huwa anawaruhusu hawa wapuuzi? Hivi wakuu wa mikoa na wilaya ambao ndo wakuu wa ulinzi na usalama kazi yao ni nini dhidi ya kuwalinda wananchi hasa kwenye upuuzi kama huu?
Tanzania nchi ya hovyo sana
Watolewe hao wanga. Hawa wanaottetea wasiotelew nao wanyolewe tuMm naona Hilo jambo liendelee....Kule Kuna Imani za kishirikina sanaa....Kuna Vizika wazima...Kuna jamii Kule Huwa hawarudigi kwao.... kwenye mtiani wa form 6 Kuna jamaa mmoja wa Kigoma gafla akaanza kuanguka mapepo miaka 20 iliyo pita...
Yaan alifanya mitiani Kwa mbinde mapepo hayataki asome......
Hii ardhi hii imebeba mengi yaan acha tu.....DUNIA INA MAMBO KAMA WASEMAVYO WATU PORI...
Wanyolewe tu 😂😂😂🤣🤣Watolewe hao wanga. Hawa wanaottetea wasiotelew nao wanyolewe tu
Tuna safari ndefu sana kufikia kujikomboa kiakili!Watu wanateseka sana kwa kufiwa na wapendwa kwenye vifo vya kutatanisha,kwa hao wachawi acha tu kamchape wafanye kazi Yao, uzuri ni kazi wanaifanya mchana kweupe mbele ya watu na hakuna Cha Kuficha na mtu kama ni mchawi kweli anasema bila hata kulazimishwa na anatoa mauchawi yake na anataja yeye mwenyewe na thamani ya uchawi huo ,Mimi naunga mkono ndoo maana zaidi ya asilimia kubwa ya wananchi wanaunga mkono isipokuwa wachawi au familia zao .Niko kigoma ambapo zoezi linafanyika watu Wana furahi sana.
Mkuu zimo zote unasapoti ujinga?Watu wanateseka sana kwa kufiwa na wapendwa kwenye vifo vya kutatanisha,kwa hao wachawi acha tu kamchape wafanye kazi Yao, uzuri ni kazi wanaifanya mchana kweupe mbele ya watu na hakuna Cha Kuficha na mtu kama ni mchawi kweli anasema bila hata kulazimishwa na anatoa mauchawi yake na anataja yeye mwenyewe na thamani ya uchawi huo ,Mimi naunga mkono ndoo maana zaidi ya asilimia kubwa ya wananchi wanaunga mkono isipokuwa wachawi au familia zao .Niko kigoma ambapo zoezi linafanyika watu Wana furahi sana.
Nchi hii ina wajinga wengi sana
Kwa mwendo huu wazawa matajiri wataendelea kuwa wachaga tu milele.
Moshi ama uchagani huyo mganga angechapwa viboko na kila kaya ambayo angeenda kuomba hiyo buku 5.
Mganga wa kienyeji hana nafasi uchagani
unamzungumzia profesa maji marefu yule aliyekuja kuwa mbunge wa Korogwe?Zamani sana nikiwa primary school niliwahi kuona huo ujinga huko Moshi kuna lijamaa lilikuwa linajiita profesa maji marefu linazungukia vijiji eti kutoa uchawi.
Moshi maeneo ya milimani uchagani hawana upuuzi wa kuamini ujinga huo. Moshi chini ukanda wa tambarare vijiji vya kata ya Arusha Chini, Kahe na maeneo jirani wenyeji wake wanahusudu sana imani za kishirikina, kuna watu wa mikoa fulani wamehamia huko kuvua samaki nyumba ya mungu wanaamini sana waganga tapeli, na matapeli hao humiminika huko kuvuna pesa za wajinga wasio na elimuZamani sana nikiwa primary school niliwahi kuona huo ujinga huko Moshi kuna lijamaa lilikuwa linajiita profesa maji marefu linazungukia vijiji eti kutoa uchawi.