Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi


Swali dogo unaandika kitabu hahahaha
 
Soma kitu kinaitwa price controls, just for simplicity is that: price controls are government mandated minimum or maximum for goods and services.
Kwenye uchumi wa soko huria hakupaswi kuwa na price controls.
 
Viazi ndio kubwa tulikuwa tunanunua 10,000-12,000 last two weeks pale mabibo sokoni (Mahakama ya ndizi) Leo ni 17-18,000 bila chenga.

Hangaya anazurura kuvaa ngozi ya chui na kujisifia chuo jike .
 
Kwenye uchumi wa soko huria hakupaswi kuwa na price controls.
Duniani kote kuna price controls mkuu otherwise hizo authorities zifutwe zinafanya fair kwanani sasa? Fair ni kwajili ya stake holders wote involved yani watoa huduma na walaji.
 
Mtu achukie matajiri waache kufanya biashara, atengeneze supply shortage halafu price ziwe stable.

Aje kiongozi mwingine apende matajiri production iongozeke halafu kuwe na price inflation.

Increase in supply reduces prices not vice versa. Hiyo nadharia yako sijui umeikotea wapi.

Maza anaharibu uchumi besides kipindi cha Magufuli nchi aijawahi kuwa na bidhaa adimu hadi kuathiri bei za soko.

Na ujambazi unaokithiri mtasema Magufuli aliwabana sana wahalifu wacha wapumue kidogo, wakichoka kupora watapunguza kuibia watu.Hiyo dhana muipeleke pia kwa kasi ya mateja inayorudi wauza nganda pia wakitosheka wataacha, Magufuli aliwabana sana.
 
Unataka kusema Gharama ya kutuma na kutoa pesa ilivyopanda, imepanda kwasababu ya Demand and supply na sio serikali kuweka tozo?
 
Huna chochote cha kufanya..wananch kama misukule tu..tunafanywa chochote tuu..simple as that...umeme umekatika toka week ianze...unakata unarud...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani kote kuna price controls mkuu otherwise hizo authorities zifutwe zinafanya fair kwanani sasa? Fair ni kwajili ya stake holders involved yani watoa huduma na walaji.
Sio kweli kwamba duniani kote kuna price controls. Regulatory authorities zinahakikisha fair competition kati ya wafanyabiashara, fair competition ni eneo pana sana lakini mfano mmojawapo ni wafanyabiashara wote wanaotakiwa kuwa na mashine za kulipa kodi wanakuwa nazo mfano mwingine ni kwa TCRA kwenye radio, TV kama uliomba leseni ya kurusha maudhui ya muziki tu TCRA lazima wahakikishe unazingatie hilo na sio kurukia kurusha habari za mpira, siasa au nyingine zilizo nje ya leseni yako.

Pia ni ukweli baadhi ya regulatory authorities kama UWEURA zinapaswa kufutwa na nyingi zinapaswa kuunganishwa
 
Na huu umeme je unaokata kila dk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu, kama ungejikita kwenye kwenye kuchambua uhalisia kisha ukatuwekea hizo facts za elimu, sisi tungenufaika na kuelewa ILA kwakuwa umeamua ku-side, point zako zinakuwa na uwalakini.

Mfano dogo, mama kafungua nchi kishamba kabisa, Shinyanga, Kahama na maeneo yafananayo huko, kwasasa wamejaa Kenyans, Rwandans, Comorians etc wananunua mchele kwa kutumia TZS moja kwa moja kwa mkulima kwa kiwango kikubwa, wafanyabiashara wazawa walikuwa wananunua kwa tzs 1,100 kwa kilo, wageni wananunua tzs 1,800 kwa kilo, mkulima atachagua kumuuzia nani? Vipi sasa wananchi wa Dsm wanaosubiria, waliozoea kununua kilo kwa hiyo 1,800? Nchi inapataje faida au fedha za kigeni hapa na especially dollars? KES ni stronger, tunafahamu kama hiyo tzs 1,800 inaweza kununua kilo ya mchele Kenya? Kenya hawawezi ku-package mchele wetu na kuurudisha kwa bei kubwa zaidi?

Mtu mmoja asiye hata na $1bn, unamzungumzia nani labda na kwa uhakika gani? Shimbo alisemekana kumiliki Tzs 3trillion alizozificha SA, Nelson Mandela akitoa siri hiyo, ni wakati wa Liase affairs.

Leo mtu mmoja kwa maslahi ya tumbo lake, anaweza kupandisha bei ya mafuta, mfumuko wa bei hautatokea/haujatokea tayari?

Mtu mmoja aliua usafiri wa rei ili malori yake yafanye kazi, kwa bei yake, bei zitabakia pale pale mtaani? Ni mtu mmoja tu, hahitaji mabilioni, mamlaka tu ya kipumbavu na anaweza kutikisa kila kitu, so kama hizo formula zinasema haiwezekano, nadhani si kwa TZ.
 
Hii ni sawa kuwaambia watu wasubiri ripoti siku 7 wakati livehood yao imeteketea na moto. Hamna mtu wa kusubiri miaka 2 au 3 ili mambo yakae sawa huo ujinga wanafanya wapumbavu kama nyie. Soon hii nchi itaanza ujambazi wa kutisha, mark my words na uchumi wako wa kiuchwara.
 
Hawawezi kusaidia kitu
Kwenye cement yupo jamaa yule mzee wa msoga ambaye kiwanda chake kilifungiwa kwasababu ya kukwepa kodi.

Kwenye magodoro yupo,
Kwenye mafuta ndo hakamatiki huko,
Kwenye vifaa vya ujenzi pia amewekeza
we unadhani ataongea nn au wataongea nn.

Tutaelewana kidogo kidogo.
 
Kwa miaka 6 watanzania waliishi kwa uongo na hofu, takwimu nyingi hazikuwa za kweli sababu tu ni kumfurahisha boss.
Kama hofu na uongo uliweza ku-prevail kwa miaka 6 na kusababisha mimi wa huku chini kutoshuhudia ukatikaji wa umeme wa kipumbavu namna hii katika kipindi kifupi cha miezi 9 tu, ukinipa nafasi, NITACHAGUA UONGO NA HOFU ili niendelee kupata umeme wa uhakika na uungiwaji wa bei rafiki.
 
Hizi ni fitna tu waku dhibitisha hamna, propaganda kwenye uchumi haisaidie, mtu katoa hela kwenye mzunguko kwa kuvamia bureau de change, account za watu, kununua na kujenga viwanja vya ndege visio kua na quick economic returns, gapo ndo mtegemea Mama ndani ya miezi 9 arudishe pesa kwenye mzunguko haraka, lzm ichukue mda angalau miaka miwili kuruhusu natural economic growth.....lasivyo hali itakua mbaya zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…