Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Badala ya kujadili unachofikria let’s concentrate on the facts.Kilatha kama unataka kunipa laki moja mimi siitaki unafanyaje?wa australia sijui kina nani wanalazimisha kutusaidia,kwa nini?kama hawawezi kulipa kodi waache kutusaidia!!!waende wa kajustify wasilipe kodi kwa vile ni charity kama wanaonewa.ikikinzana na sheria zetu they have two options:
1)Pay Tax
OR
2)Pack and Go back to Australia!
We usipotoshe ukweli hata Yesu pamoja na mbwembwe zake zote alilipa kodi na kuhimiza wafuasi wake wapereke haraka kodi kwa Kaisalia. Hapa kuna kitu tena cha kijinga yaani kama ile methali mkuki kwa ngiruwe ila kwa binadamu ni mchungu, yaani kwa watu wa kanisa sawa lakini wa wapeleka sadaka hapana.Something is very wrong somewhere in Tanzania.
Charity works are prohibited.
Investments are prohibited.
Sending money there is prohibited.
Tanzania is doomed.
Mchimbaji mdogo wa madini, una swali jingine!Unafanya biashara gani wewe kitu?
Hao hawafanyi biashara ya kupata faida.. Wanatoa ufadhili kwa watoto wa familia maskini....ili umma tuweze kutoa 'hukumu'ya haki ingekuwa Vema na Haki wakaainisha kodi wanazodaiwa na malimbikizo yake na Kwanini walilimbikiza.
Hapa ugomvi ni kwa sababu hii shule inatoa huduma ya elimu kanda ya kaskazini. Hili lipo wazi. Mengine sijui kodi ni porojo tu. Chuki ya waziwazi.Elimu kwa Watanzania ni jukumu na kazi ya Serikali JMTZ na siyo Mzungu wa sijui Australia, kwani huko kwao hana matatizo ? ...
Nataman wangeijenga TU chattle....ile Hawa watoto wa maskini wasipate shida hizi....[emoji848][emoji848]inatia hasira na huruma.....Hapa ugomvi ni kwa sababu hii shule inatoa huduma ya elimu kanda ya kaskazini. Hili lipo wazi. Mengine sijui kodi ni porojo tu. Chuki ya waziwazi.
Unachokisema jumbe kinakuwa sahihi tu iwapo shule husika inakuwa na category mbili za wanafunzi. Yaani wanalipiwa ada na ufadhili na wale wanaolipiwa ada na wazazi.Ziko Shule ambazo ZIMESAJILIWA kuwa ni za MAYATIMA...
Looh ajabu kubwa zinawachanganya mpaka watoto wanaolipiwa ADA NA WAZAZI...huku Wizara ya elimu ikiendelea kuamini kuwa watoto 100% wanafadhiliwa....
THINK THRICE
Hivi Maua Hawalipi Ada kabisa!?Shule zote za dini including seminary zimeingizwa kwenye mkumbo hii na akauti zao kufungwa. Hasa Moshi na Arusha. St James Seminary, Maua Seminary, USA River na zingine. Ujinga mtupu.