Swali zuri sana na mimi nimeulizia kwa lugha rahisi nione watasemaje?Non profit organization inalipaje kodi.? Kwanza Kodi maana yake nini tuanzie hapo
hawa watu wanachukulia mambo kipumbafu bikla kujua kwamba kuna maisha ya watu yanaathiriwa na kila uamuziNikuulize swali mkuu... Hivi shuguri ya kijamii especially kwenye elimu na afya inayofadhiliwa/ jnayopewa msaada na wahisani inakatwa kodi?
Ukilijibu hili vizuri. Tuangalie kipindi cha awamu za nyuma ilikuwaje na awamu hii Mambo yanaendaje.
Karibu mkuu
Huo msaada au ufadhili watupatie wenyewe tuboreshe shule zetu maana nazo ni bure,kama hawataki walipe kodi zetu au lema awalipie!Busara ipi? Wakati uonevu upo wazi
Kama akili hizi ndizo zinazotuongoza hakika taifa limepotea!!!Elimu kwa Watanzania ni jukumu na kazi ya Serikali JMTZ na siyo Mzungu wa sijui Australia, kwani huko kwao hana matatizo ? ...
Ila hii shule inaonekana ni ya kishua sema wanasingizia wanapata misaada ya wahisani.
Swali la kujiuliza,mbali na hao wanafunzi wanaofadhiliwa na mabeberu,je hao wengine hawalipishwi ada?
Serikali ingepata orodha ya wanaolipa ada na kodi zao zingebase huko pamoja na makato ya lazima ya watumishi,kama,hakuna,anayelipa ada basi hawastahili kulipa kodi,watastahili kulipa kodi za watumishi waliowaajiri tu zinazotokana na mishahara yao na makato mengine ya serikaliMku
Inategemea ni kodi ya nini mkuu,mfano payee lazima ikatwe kwa waajiriwa wa hizo taasisi.Nikuulize swali mkuu... Hivi shuguri ya kijamii especially kwenye elimu na afya inayofadhiliwa/ jnayopewa msaada na wahisani inakatwa kodi?
Ukilijibu hili vizuri. Tuangalie kipindi cha awamu za nyuma ilikuwaje na awamu hii Mambo yanaendaje.
Karibu mkuu
Wewe ni Mpumbavu.Hujui unachosema.Unaongelea kitu ambacho huelewi.Huo msaada au ufadhili watupatie wenyewe tuboreshe shule zetu maana nazo ni bure,kama hawataki walipe kodi zetu au lema awalipie!
ama ni Payee naamini kabisa inazungumzika.Sidhani kama kuna sababu ya kuua mradi mkubwa unaosaidi jamii kwa sababu ya kodi kama PAYEE.Kuna vyanzo vingine vya kodi sioni sababu ya kutokutafuta namna ya kuondoa/kuwafutia hio kodi kwa kuzingatia hali halisi ya huduma wanayotoaInategemea ni kodi ya nini mkuu,mfano payee lazima ikatwe kwa waajiriwa wa hizo taasisi.
Sasa Kama taasisi kwa makusudi ilishindwa kuweka rekodi Sawa ili kodi hiyo ipatikane,itakapobanika ni Wajibu wa taasisi kulipa pamoja na penalty yake.
Sijaona sababu ya kuikingia Kifua hiyo shule Kama hatujapata maelezo ya mdai Kwasababu scenario zipo nyingi za taasisi Kama hiyo kujikuta inadaiwa na TRA
Na wewe Jifanye tu kwani unafikir kujifanya ni kosa.JIFANYE TU.Si ajabu umepanga halafu unajifanya una ghorofa
Kabisa mkuu, haya Mambo yakutofuata utaratibu especially katika maswala ya pesayameshamiri sana awamu hii.hawa watu wanachukulia mambo kipumbafu bikla kujua kwamba kuna maisha ya watu yanaathiriwa na kila uamuzi
Kama sijaelewa nieleweshi ni mjadala tu.Unaweza fafanua zaidi.Ndio kukomaa kwenyeweUmeisoma vizuri post yangu au umekurupuka.
Ninaweza kukufanyaNa wewe Jifanye tu kwani unafikir kujifanya ni kosa.JIFANYE TU.
Karibu Pia.Relax.Maisha sio magumu hivyo.Tujadili mada kwa sasa.The tutatafutana kwa wakati wetuNinaweza kukufanya
Wewe kama unapewa misaada hapo shuleni usituingize kwenye dhiki zak😵ngea na shida zako lazima kodi ilipweWewe ni Mpumbavu.Hujui unachosema.Unaongelea kitu ambacho huelewi.
Kwa taasisi kubwa kama hii Tena inayotoa huduma bure bila faida hao TRA walipaswa watoe maelezo yakutosha kwanini wamefreeze hizo pesa. Lakini kuchukua tu kimya kimya haijengi picha nzuri kwa wadau wa maendeleo nchini.Inategemea ni kodi ya nini mkuu,mfano payee lazima ikatwe kwa waajiriwa wa hizo taasisi.
Sasa Kama taasisi kwa makusudi ilishindwa kuweka rekodi Sawa ili kodi hiyo ipatikane,itakapobanika ni Wajibu wa taasisi kulipa pamoja na penalty yake.
Sijaona sababu ya kuikingia Kifua hiyo shule Kama hatujapata maelezo ya mdai Kwasababu scenario zipo nyingi za taasisi Kama hiyo kujikuta inadaiwa na TRA
TRA watoe ufafanuzi kwa umma.Kabla ya kulaumu au kusikitika lazima tupate aina ua kodi wanazodaiwa
Ikiwa wanadaiwa corporate Tax hapo Watakuwa wameonewa
Kwanza unatakiwa ujue ni kodi zipi wanadaiwa?
Non Profit organization wan with holding taxes wanazokata toka kwa suppliers wanaofanya nao kazi ambao kisheria wakiwa wanawalipa inabidi wazuie asilimia fulani then wapeleke TRA, kuna Paye kodi wanayokata toka kwa Employee wao then wanapeleka TRA,
Kabla ya kulaumu au kusikitika lazima tupate aina ua kodi wanazodaiwa
Ikiwa wanadaiwa corporate Tax hapo Watakuwa wameonewa
Wala haijawa PERIOD....Wewe unaelewa maana ya money laundering?Acha kuongea kitu ambacho hukielewe.Money Laundering ni mamkosa ya kipuuzi ambayo hutumiwa na viongozi wa kisiasa kukomoa maadui wao na kuonyesha chukli zaao.Hakunaga PESA haramu.PERIOD