Mkuu hakuna mahali Nimesema shule ina makosa au ipo sahihi.Ni jambo la kawaida ktk kutoa hukumu lazima usikilizie pande zote mbili.Mkuu kama hujui kitu kaa kimya.Unachefua watu wengi sana.Mimi nawafahamu personally zaidi ya watoto 50 ambao wanapewa elimu nzuri pale st jude acha kuongea urojo.THE school is 100% charitable and free na wanawapa watoto wetu elimu bora kuliko hata serikali yoetu inavoweza.Kama roho iakuuma kwa sababu wanapewa bure basi wewe na shetani ni mapacha
Mkuu,So unafikiri kwamba dhiki zangu sio zako?Ndio maana mtaendelea kubaki nyuma kwa fikra za namna hio.Haya wewe endelea kujipa moyoWewe kama unapewa misaada hapo shuleni usituingize kwenye dhiki zak😵ngea na shida zako lazima kodi ilipwe
Je hao watoto ni masikini kweli?Tupe maisha yao kwa muhtasari hao watoto 50!Mkuu kama hujui kitu kaa kimya.Unachefua watu wengi sana.Mimi nawafahamu personally zaidi ya watoto 50 ambao wanapewa elimu nzuri pale st jude acha kuongea urojo.THE school is 100% charitable and free na wanawapa watoto wetu elimu bora kuliko hata serikali yoetu inavoweza.Kama roho iakuuma kwa sababu wanapewa bure basi wewe na shetani ni mapacha
Ungesoma mada yangu yote ungeelewa nilichomaanisha ni nini. Kwanza sikuwaunga mkono tra kwa hatua waliyochukua lakini nilitaka kujua upande wa pili tra kama walifanya uchunguzi wakajiridhisha wanaosomeshwa ni wanaostahili kwa maana wanatoka familia duni lakini ulikimbilia si kunishambulia bali kuniambia niende chato kwa vitu ambavyo havina mahusianoKaribu Pia.Relax.Maisha sio magumu hivyo.Tujadili mada kwa sasa.The tutatafutana kwa wakati wetu
Ok tunaamu kuamini tunachoamini.Mimi najua kwamba tunahitaji shule nyingi sana kama za ST.Jude ila taifa letu liinuke.Kama wewe huamni basi lazima utakuwa una matatizo yako mengine.Wala haijawa PERIOD....
Ndio ninajua MONEY LAUNDERING...
Wewe pekee ndiye usemaye hakuna PESA HARAMU...
Wewe pekee ndiye usemaye kuwa MONEY LAUNDERING ni zao la hisia za WANASIASA.....
Baki na msimamo wako....
Kwangu pesa haramu zipo...tena katika miamala mingi tu....katika kila hatua za maisha YETU....
Kichaka cha wakwepaji kodi sio lazima wazazi walipe. mhusika anaweza kununua gari la milioni 200 likapita bila ushuru likitambulikana ni msaada tu. Au anaweza kupokea milioni 100 za msaada, 80 akatia mfukoni, 20 ndio zikatumika kwenye taasisi huku risiti zote ukizijumlisha ni 100 na hio 80 inaandikwa imetumika kwenye kusaidia ingawa iliingia mfukoni mwa mtuWazazi wanalipishwa kwani!?
Ndio, naunga mkono hoja. Unakuta mtu anapokea sadaka halafu anajineemesha yeye tu na sio "cause" iliokusudiwa.Kama ni hivyo na sadaka zianze kukatwa kodi
Mkuu,Watanzania wengi ni maskini.Hawa mabwana wanafanya physical means testing,yani wanakuja nyumbani kuona mazingira ya mtoto ila awe na vigezo vya kuwa maskini.Wanawachukua toka shule za serikali on the second year.These people are doing a good job mkuu wakiondokoa.Tutakuwa wajinga sana kwa kiwango chao cha uwekezaji na huduma bora wanazowapa watoto ambao hawaweza kulipa ada za FEZA na ISTJe hao watoto ni masikini kweli?Tupe maisha yao kwa muhtasari hao watoto 50!
Kichaka cha wakwepaji kodi sio lazima wazazi walipe. mhusika anaweza kununua gari la milioni 200 likapita bila ushuru likitambulikana ni msaada tu. Au anaweza kupokea milioni 100 za msaada, 80 akatia mfukoni, 20 ndio zikatumika kwenye taasisi huku risiti zote ukizijumlisha ni 100 na hio 80 inaandikwa imetumika kwenye kusaidia ingawa iliingia mfukoni mwa mtu
Mkuu,HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE
UTANGULIZII
1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi hawa, asilimia 60 ni wasichana.
2. Shule hii inategemea misaada ya wahisani kwa asilimia 100 amabpo aslimia 90 inatoka kwa wahisani wa Australia.
3. Shule ina usajili wa wa shirika lisilo la kiserikali na ina jumla ya shule tatu zilizosajiliwa; Shule ya msingi (Na. AR. 02/7011), Shule ya Sekondari ya Wasichana (Na. S. 5243) and shule ya sekondari ya Bweni wavulana wa O-level na mchanganyiko A-level (Na. S. 4262). Shule ilipewa tamko kuwa ni shule ya ufadhili kupitia cheti S/Na. 53.
4. Shule inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania 300 na wageni waajiriwa nane. Zaidi ya asilimia 60 ya uongozi wa Shule ni watanzania.
5. Shule pia inawasaidia wahitimu 326 kusoma elimu ya juu kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vinginevyo.
6. Tarehe 3 Novemba 2020, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliondoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 500,000,000 kwenye akaunti za Shule.
7. Tarehe 4 Novemba, Mwenyekiti wa Bodi wa wafadhili wa Australia (amabao ndio wanaifadhili bajeti ya mwaka ya shule kwa asilimia 90) aliandika kutujulisha kuwa Bodi haitaweza tena kutuma fedha zozote kwenye shule maana hawawezi kutoa ufadhili kulipa kodi za TRA. Badala yake wanataka kufadhili elimu tu ya wanafunzi wa Kitanzania.
8. Kwa sababu hiyo, St Jude ina uwezo mdogo sana wa kifedha na haiwezi kujiendesha kama kawaida.
9. Bajeti ya shule kwa mwaka 2020 ni Shillingi za Kitanzania 12,682,710,722. Kila mwaka, shule inarudisha bajeti nzima kwenye uchumi wa Tanzania kwa kutumia asilimia 100 ya matumizi ndani ya Nchi. Kwa ufupi jedwali linatoa picha ya matumizi kwa baadhi ya maeneo muhimu sana kama ifuatavyo:
....... see attach for more
What is it to you mbona CCM yenu inakula pesa zenu mnakenua.Acha roho mbaya.Ukweli unabaki kwamba ST Jude ni moja kati mradi bora kabisa tukiuharibu kama taifa kwa sababu ya upuuzi wetu tutakuwa ni wajinga sana.Kichaka cha wakwepaji kodi sio lazima wazazi walipe. mhusika anaweza kununua gari la milioni 200 likapita bila ushuru likitambulikana ni msaada tu. Au anaweza kupokea milioni 100 za msaada, 80 akatia mfukoni, 20 ndio zikatumika kwenye taasisi huku risiti zote ukizijumlisha ni 100 na hio 80 inaandikwa imetumika kwenye kusaidia ingawa iliingia mfukoni mwa mtu
Ok sikujua kama hupendi kwenda Chato.I am just Pissed off kwa tabia ya viongozi wetu.IT is not personalUngesoma mada yangu yote ungeelewa nilichomaanisha ni nini. Kwanza sikuwaunga mkono tra kwa hatua waliyochukua lakini nilitaka kujua upande wa pili tra kama walifanya uchunguzi wakajiridhisha wanaosomeshwa ni wanaostahili kwa maana wanatoka familia duni lakini ulikimbilia si kunishambulia bali kuniambia niende chato kwa vitu ambavyo havina mahusiano
Mbona mishipa ya kichwa imekutoka kuitetea hii shule?Unapata faida gani?Kama unataka kumsaidia mtu,na mwenyewe hataki unafanyaje?Tafuta shule nyingine kawalipie watoto ada usitegeme vya bure.Watu wa Arusha mna shida,Compassion mlijaza watoto wasiokuwa na shida wenye shida mkawaacha.Mna tamaa sana sasa muda umefika kalipeni ada.Mkuu,So unafikiri kwamba dhiki zangu sio zako?Ndio maana mtaendelea kubaki nyuma kwa fikra za namna hio.Haya wewe endelea kujipa moyo
Ziko shule nyingi mno za ufadhili ambazo wanafunzi wanasoma BURE...cha ajabu ndani yake HUFANYA BIASHARA kwa baadhi ya watoto kulipiwa ADA na wazazi na NDUGU...hapa ndio ngoma IANZAPO.....TRA wakitaka CORPORATE TAX watu wanaanza KUPIGA MAKELE.....Ok tunaamu kuamini tunachoamini.Mimi najua kwamba tunahitaji shule nyingi sana kama za ST.Jude ila taifa letu liinuke.Kama wewe huamni basi lazima utakuwa una matatizo yako mengine.
😁🤣Mbona mishipa ya kichwa imekutoka kuitetea hii shule?Unapata faida gani?Kama unataka kumsaidia mtu,na mwenyewe hataki unafanyaje?Tafuta shule nyingine kawalipie watoto ada usitegeme vya bure.Watu wa Arusha mna shida,Compassion mlijaza watoto wasiokuwa na shida wenye shida mkawaacha.Mna tamaa sana sasa muda umefika kalipeni ada.
Wewe jamaa bado akili zako hazijakaa sawa.Cha kufanya ni kukwambia tu kwamba.Kama roho inakuuma wenzako kutendewa wema basi fanya tu kujitambua kwamba wewe ni binamu yake ni Ibilisi.Hayo mengine tuachie watu wa ArushaMbona mishipa ya kichwa imekutoka kuitetea hii shule?Unapata faida gani?Kama unataka kumsaidia mtu,na mwenyewe hataki unafanyaje?Tafuta shule nyingine kawalipie watoto ada usitegeme vya bure.Watu wa Arusha mna shida,Compassion mlijaza watoto wasiokuwa na shida wenye shida mkawaacha.Mna tamaa sana sasa muda umefika kalipeni ada.
Serikali hii imekua onevu sana, baguzi, kandamizi na haisapoti maendeleo yanayogusa wananchi wengi wa hali ya chiniHALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE
UTANGULIZII
1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi hawa, asilimia 60 ni wasichana.
2. Shule hii inategemea misaada ya wahisani kwa asilimia 100 amabpo aslimia 90 inatoka kwa wahisani wa Australia.
3. Shule ina usajili wa wa shirika lisilo la kiserikali na ina jumla ya shule tatu zilizosajiliwa; Shule ya msingi (Na. AR. 02/7011), Shule ya Sekondari ya Wasichana (Na. S. 5243) and shule ya sekondari ya Bweni wavulana wa O-level na mchanganyiko A-level (Na. S. 4262). Shule ilipewa tamko kuwa ni shule ya ufadhili kupitia cheti S/Na. 53.
4. Shule inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania 300 na wageni waajiriwa nane. Zaidi ya asilimia 60 ya uongozi wa Shule ni watanzania.
5. Shule pia inawasaidia wahitimu 326 kusoma elimu ya juu kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vinginevyo.
6. Tarehe 3 Novemba 2020, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliondoa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 500,000,000 kwenye akaunti za Shule.
7. Tarehe 4 Novemba, Mwenyekiti wa Bodi wa wafadhili wa Australia (amabao ndio wanaifadhili bajeti ya mwaka ya shule kwa asilimia 90) aliandika kutujulisha kuwa Bodi haitaweza tena kutuma fedha zozote kwenye shule maana hawawezi kutoa ufadhili kulipa kodi za TRA. Badala yake wanataka kufadhili elimu tu ya wanafunzi wa Kitanzania.
8. Kwa sababu hiyo, St Jude ina uwezo mdogo sana wa kifedha na haiwezi kujiendesha kama kawaida.
9. Bajeti ya shule kwa mwaka 2020 ni Shillingi za Kitanzania 12,682,710,722. Kila mwaka, shule inarudisha bajeti nzima kwenye uchumi wa Tanzania kwa kutumia asilimia 100 ya matumizi ndani ya Nchi. Kwa ufupi jedwali linatoa picha ya matumizi kwa baadhi ya maeneo muhimu sana kama ifuatavyo:
....... see attach for more
Bila shaka wewe ni mnufaika, POVU KAMA LOTE! Tusihukumu bila kusikia upande wa pili TRA/SERIKALI.Wewe ni mbuzi.Kama hujui haya ni maisha ya watu.Kama huwezi changia kwa kutumia ubongo basi bora ukakaa kimya.Hawa watu wanaomba michango ila watotowenu wasome wewe unaleta upumbafu wako.KODI gani katika taasisi ya elimu?KUTOza KODI WATU WANAOTO HUDUMA AMBAZO ZINAPASWA KUTOLEWA NA SERIKALI NI WIZI.period
Hii shule ni Non Profir Business, najiukiza kodi inatokana na nini? Labda kama kuna ane ewa kiundani upande wa pili atujuze maana huu ni mkanganyikoMaelezo mazuri lakini yana mapungufu. Kwa kuwa wameamua kutoa malalamiko yao kwa umma maana yake wameshindwana na serikali, sasa basi, ili umma tuweze kutoa 'hukumu'ya haki ingekuwa Vema na Haki wakaainisha kodi wanazodaiwa na malimbikizo yake na Kwanini walilimbikiza.
Vinginevyo tukianza kuilaumu serikali bila kujua Hoja za pande zote mbili itakuwa tumekosa maarifa na busara