Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Dokta Slaa amesema kuna Tuhuma za Kisiwa Kizima cha Mafia kilichopo Tanganyika kuuzwa kwa Wageni halafu wewe Msafwa Lucas Mwashambwa unamtuhumu Dokta Slaa kuwa ni Mdini?!

Acha Uzezeta Ebo!😡
 
Dokta Slaa amesema kuna Tuhuma za Kisiwa Kizima cha Mafia kilichopo Tanganyika kuuzwa kwa Wageni halafu wewe Msafwa Lucas Mwashambwa unamtuhumu Dokta Slaa kuwa ni Mdini?!

Acha Uzezeta Ebo!😡
Ni mzushi tu. Kwanini hakutafuta ushahidi ili aje aweke? Naomba uniwekee video hata ya Dakika moja tu ya dkt Slaa akikosoa jambo lolote lile katika utawala uliopita.
 
Kwenye suala la udini siyo dr slaa tu wengi wao ni hvyo ukiingia tu utawala wa kiislamu madarakani utasikia porojo nyingi mi namshukuru sana mwalim Nyerere hiki kitu alikiona kingeleta shida watanzania tuache udini
 
Kwa hakika tunapaswa kuacha masuala ya Udini na chuki binafsi na aina yoyote ile ya ubaguzi.
 
Mambo yepi aliyoyazusha yanayoonesha udini?
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Ni mzushi tu. Kwanini hakutafuta ushahidi ili aje aweke? Naomba uniwekee video hata ya Dakika moja tu ya dkt Slaa akikosoa jambo lolote lile katika utawala uliopita.
Alihongwa Ubalozi kama wewe unavyohongagwa Buku Saba za Kitoweo
 
Kumbuka na mchango wake Kwa serikali, kumbuka alivyochange Gia angani Kwa manufaa yenu
CCM imekuwa ikishinda chaguzi zote kwa ubora wa sera zako na siyo kwasababu ya Gia za dkt Slaa. Hata Slaa Mwenyewe tulimshinda katika sanduku la kura alipogombea Urais.
 
CCM imekuwa ikishinda chaguzi zote kwa ubora wa sera zako na siyo kwasababu ya Gia za dkt Slaa. Hata Slaa Mwenyewe tulimshinda katika sanduku la kura alipogombea Urais.

Kama hujui mambo basi tulia Tu,
Uliza ma komredi wakwambie kitu gani kilifanyanyika mpaka lipumba na Slaa waliacha vyeo vyao na Hilo tukio lilisaidia nini chama cha ccm kushinda
 
Kuna seminari mbili junior na senior labda ungesma senior lazima kila padre apitie huko lakini siyo lazima junior na junior ndo vichwa sana. Senior asilimia kubwa ni vilaza ambao walikuwa low sana junior
Siyo kweli unayoyasema. Kama hukusoma junior seminary, ukataka kujounga senior seminary ukitokea sekondari za kawaida, utaratibu ni kwamba uwe umepata ufaulu wa daraja la kwanza au la pili (Division 1 or 2). Kwa sababu maalum zitakazoweza kuthibitila, wa division 3 iliyoegemea kwenye 2 anaweza kuchukuliwa. Nje ya hapo huwezi kukubaliwa. Unaweza kukubalika kwenye madaraja mengine matakatifu kama watawa wa kiume au wa kike lakini siyo kuwa padre.
 
Licas unahemka sana bila ya kuwa na tafakari.

IGA haisemi kuwa hakuna mwingine atakayruhusiwa kuwekeza kwenye bandari bali inasema kuwa Serikali ikitaka kumwingiza mwekezaji yeyote kwaajili ya bandari yoyote ni lazima kabla ya kufanya hivyo, Serikali impe taarifa kwanza DPW. Hii ina maana DPW ndiye anayeruhusu kuwa mleteni mwekezaji mwingine au acheni, atawekeza yeye. Wewe huoni kama hapo kuna shida?

Kama yeye amepewa awekeze kwenye bandari fulani, kwa nini sisi kama nchi huru mpaka tumwulize yeye ikiwa tumeamua kumtafuta mwekezaji mwingine kwaajili ya bandari nyingine? Kama huoni tatizo hapo, basi jisikitikie sana.
 
Mzee Kazeeka sana yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…