Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu muhimu na kufanya hayo unayonishauri kufanya. Pili sina mamlaka ya kumuita mbaguzi kwa sababu kama siyo nitaenda kujibu nini kwa Mungu ndugu yangu. Tupunguze pressure na jaziba sababu ya vyama na siasa. Pengine ana document zenye udhibitisho toka kwa watu wenu wenyewe.
 
Hatutaki habari za Ramli hapa.tinataka ushahidi na siyo uzushi na uchonganisha unaosukumwa na kuchochewa na Udini na chuki binafsi
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Utumwa ni mbaya sana.
 
Hawezi kubadilika maana akili kiduchu aliyopewa na Mungu lkn bahati mbaya akanyang'anywa na ccm
Tunahitaji mtu anapotoka hadharani kuongea jambo basi awe na ushahidi na nyaraka kuthibitisha jambo hilo. Na siyo mtu anatoka tu huko atokako na ajenda zake za siri analeta taharuki kwa kuongea vitu vya uongo visivyo na ushahidi.
 
Wewe ni umbwa tu
 
Umbwaaaa wewe
 
Mshaurini dkt Slaa aache Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais. Embu nikuulize swali hilo. Je umewahi kumsikia Dkt Slaa akikosoa chochote kile katika utawala uliopita?

Comment from disabledl brain.
 
Sijawahi kumsikia Dr Silaa akiongea kwa miezi kadhaa sasa; Pengine ni kwa sababu simfuatilii
Unaonaje ukaweka kauli zake mbili hivi zenye muelekeo wa Udini ili upate uungwaji mkono wa hoja yako uliyoleta hapa jukwaani ?
 
Nimekwambia wazi wazi katika andiko langu kuwa mfuatilie dkt Slaa wa wakati wa Dkt Kikwete,wakati wa Hayati Dkt Magufuli pamoja na sasa wakati wa Mheshimiwa Dkt Samia. Utangunduwa wazi kuwa ni mtu mwenye Udini na chuki binafsi sana kila inapokuwa serikali inaongozwa na Rais muislam. Nikauliza na nakuuliza na wewe pia je umewahi kumuona au kumsikia Dkt Slaa akikosoa jambo lolote lile katika utawala uliopita?
 
Mshaurini dkt Slaa aache Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais. Embu nikuulize swali hilo. Je umewahi kumsikia Dkt Slaa akikosoa chochote kile katika utawala uliopita?
Slaa ambae alimkataa Lowasa Mkristo mwenzie ndiye mdini? Ambae alimbananisha Kalamagi na Sumaye? Au Slaa yupi mdini?
 
Kwanini hajaweka hizo nyaraka hadharani kuthibitisha madai yake? Kwanini hajaonesha ushahidi wake?
 
Slaa ambae alimkataa Lowasa Mkristo mwenzie ndiye mdini? Ambae alimbananisha Kalamagi na Sumaye? Au Slaa yupi mdini?
Unafahamu dkt Slaa kazi aliyokuwa anafanya swali kabla ya kuingia katika siasa? Unafahamu cheo alichokuwa nacho huko kanisani?
 
Slaa kiitikadi ana mlengo sawa na Hayati Magufuli! Kwani wale mnaosema kuwa hawakutaka Mamaenu aapishwe si Waislamu? Ila kiitikadi wale wana mlengo sawa na JPM na wana mlengo sawa Dkt Slaa!
 
Kuna ukweli hapa,nakumbuka kipindi Lisu aliposhambuliwa Silaa alitia pamba masikioni hata ule utu wa kukemea tu ulimshind,zaidi alikuwa akikandia.. Noma sana ila raisi angekuwa Ana Tibaijuka tusingemuona na huu uchungu na mapenzi ya nchi .
 
Kwahiyo MAFIA iuzwe yeye akae tu kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…