Kuna msemo huu '' The burden of proof lies with the prosecution. Kwa kiswahili kisicho rasmi, '' Jukumu la kuthibitisha tuhuma lipo kwa mwendesha mashtaka''. Kwa mantiki hiyo ni wewe unayepaswa kuthibitisha uzushi wake.
The burden of proof lies with the prosecution. Na hapa prosecutor ni wewe, ushahidi upo wapi?
Kumbuka Dr Slaa alichosema kinaweza kuwa '' uongo au kinaweza kuwa kweli'' na yeye ndiye anajua na amelala salama salimini nyumbani kwake. Wewe uliyekereka na 'kumshtaki' mbele ya umma ndiye mwendesha mashtaka na una jukumu la kuthibitisha tuhuma dhidi ya Slaa.
Njia rahisi ya kumlazimisha atoe ushahidi ni kumpeleka mahakamani. Sisi kumwambia haitoshi anaweza kukataa
JokaKuu