Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Kwa hiyo ujinga wa kutetea uzushi na uongo mnaofanya ndio Taifa hilo? Au umeamka na vimiminika vyako .
Tuambie ni Rais wa nchi gani anateua akiwa nje ya nchi kama huyu? uteuzi ni dharura? DP World tuliambiwa wakiingia bei zitashuka zimeshuka au zimepanda?
 
Tuambie ni Rais wa nchi gani anateua akiwa nje ya nchi kama huyu? uteuzi ni dharura? DP World tuliambiwa wakiingia bei zitashuka zimeshuka au zimepanda?
Ndio maana nimekwambia Rais anaweza fanya uteuzi hata Wiki moja kabla na ukaja ukatangazwa baadaye akiwa hata nje ya nchi.uteuzi haufanyiki siku hiyo hiyo kama unavyofikiria wewe na akili yako hiyo ndogo na mgando.
 
Huna akili, kwahiyo hajui hata anaowateua kama wapo hai ama la?
 
Tuambie ni Rais wa nchi gani anateua akiwa nje ya nchi kama huyu? uteuzi ni dharura? DP World tuliambiwa wakiingia bei zitashuka zimeshuka au zimepanda?
Mkuu Mimi naamini this country has already been handed over to Satan,ni uongo tu unaotembea,mauaji ajalini and destruction of the nation everywhere.In Education,Agriculture,Moral values,Health,Economy etc.etc.So painful.
 
Uongozi wa JF umekuwa wa Kijinga sana tangu max achaguliwe kwenye tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, mara kadhaa mmekuwa mkifuta michango ya wadau mfano mimi hapa, maoni yangu yalikuwa na ubaya gani????!!! ama ndio maelekezo toka juu??? Shenzi sanaaaa
 
Au hizi nyuzi za machawa msiwe mnaziwekea comment section, maana hamko tayari kupokea maoni tofauti
 
Udini? Hujasiki Ally Hapi kule singida kaingia msikiti mkuu wa Taqwa na kuongea siasa za kibaguzi akitumia dini yake na kutoa kitita cha hela ili samia aombewe dua na aungwe mkono na dini yake kwa kuwa ni muumini wa dini hiyo? We kijana mpiga zumari wa chama chako hebu acha kuchochea udini kwenye siasa hatutaki upuuzi huo
 
Mimi sichochei Udini bali nimekuwa nikipinga sana mawazo ya kibaguzi kwa misingi ya Udini , ukabila,ukanda ,ujinsia n.k.
 
Wewe inatakiwa ufungiwe kabisa kushiriki mijadala humu jukwaani. mpaka utakapo kuwa na nidhamu na kutumia lugha za staha, heshima na adabu na siyo haya matusi unayotukana bila sababu yoyote ile.
 
Mkuu Mimi naamini this country has already been handed over to Satan,ni uongo tu unaotembea,mauaji ajalini and destruction of the nation everywhere.In Education,Agriculture,Moral values,Health,Economy etc.etc.So painful.
Wewe ndiye umejikabizi kwa shetani na kumtumikia shetani. Lakini Taifa letu linaendelea kulindwa na mkono wa Mungu.ndio maana ya kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu hapa Nchini
 
Mkuu Mimi naamini this country has already been handed over to Satan,ni uongo tu unaotembea,mauaji ajalini and destruction of the nation everywhere.In Education,Agriculture,Moral values,Health,Economy etc.etc.So painful.

Mkuu kwa hayo uliyo sema, nina hakika kabisa ni kweli, huyu mzee Claus siyo mtu wa mchezo kabisa. Effects zake ni kubwa sana kwani WEF ni kiungo muhimu kuelekea NWO
 
Mimi sichochei Udini bali nimekuwa nikipinga sana mawazo ya kibaguzi kwa misingi ya Udini , ukabila,ukanda ,ujinsia n.k.
uwe unafanya hivyo hata na kwa wanasiasa wa chama chako. Ondoeni kibanzi machoni penu, kemeeni udini, ukanda, ukabila na mengine ya kipuuzi. Kama wanasiasa wenu wapuuzi msipowakemea sisi waumini wakija kwenye nyumba zetu za ibada tutawakemea
 
Luca sisiemu ni wakuwahurumueni mno,hata kichaa hawezi mwonea wivu wala kuwa na chuki na sisiemu kwani ni wakuwahurumieni tu,zaidi zaidi mnahitaji msaada angalao mweze kuendelea kujibeba🫠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…