Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

Ni mpotoshaji, hazijui dini zote mbili ameleta porojo tu hapa, ajabu wapo wanaomuona anajua, wakati hajui kitu.
Nafarijika kuona watu wachache wenye mawazo mapana kama wewe bado mpo nimeona mleta mada kawaokota makondoo wengi wanamsapoti bila kusoma na kumuuliza maswali muhimu ndio maana hapa inaashiria kabisa kuna kundi la wajinga wengi mno hawachunguzi kama kuna upotoshaji au la nasi wanamsapoti kiupofi na kufuata hisia .
 

1. Huna hoja mkuu .

2. Sihubiri ufuate imani yangu. Naona umenishusha HADI kwenye level za uislamu na ukristo ambao KILA kukicha kila dini huubiri watu wa dini nyingine wabadili dini. I can't go that low.

Wala sipo hapa KWA ajili ya kubishana.

Theme ya uzi wangu ime eleweka.
 
Mjinga utakosa kuwa wewe ambae bado una amini katika dini mkuu!!

Dini inayo kuambia wewe muislamu ndugu zako ni waislamu tu na wasio waislamu sio ndugu zake. U follow that religion and still think ur smart?
 
Pamoja sana mkuu.ktk vitu ambavyo huwa siogopi nihivo majini,mapepo sijui na wanga.ila juzi niliweweseka sana kuna jini lilikuja usiku likawa limekaa kitandani wakati huo mm nimelala chali nilikemea kwa sauti mpk wadogo wakaamka likasepa.
Usilale chali
 
Dah basi mkuu hapo unajiona ndo utaenda peponi KWA sababu umetoa dahwa KWA alie potoka🤣🤣🤣🤣 usicho kijua ni kwamba maisha YAKO yangekuwa bora zaidi kama unge fikiri na kutafakari kuhusu maisha YAKO na uhusiano wako na Mungu nje Kitabu chako.
 
Ndo maana walisema religion is an opium of poor people.
Waliosema religion is an opium of poor people ni mabwege wenzio wafuasi wa ukomunisti wakiongozwa na bwege lenzenu lililokubuhu marehemu Karl Marx

Na fikra zao za ukomunisti zilikufa kifo cha mende dunia nzima imebakia nchi moja tu duniani ambayo inaendekeza huo ubwege ambayo ni Korea kaskazini na kwenyewe huo ukomunisti unapumlia machine uko ICU
 
Wewe umekalia mipasho mimi nakuuliza maswali na kuleta hoja unakimbia elewe sio wote humu wajinga wa kuwaokota ..

Tuachana na hayo sasa nakuuliza swali kutokana na maneno yako mwenyewe Ktk uzi huu naomba ujibu hapo chini.

1.
Hapo umesema kabisa kwamba Mungu anataka kitu fulani je unaweza kutoa ushahidi uliokutana wapi na Mungu mpaka akakupa hayo maneno kama yeye anataka hivyo ? kama hauna ushahidi hujioninkama wewe ni mjinga na umesema uwongo na uzushi kitu ambacho mtu yeyote hata kichaa anaweza kudai Mungu anataka hivi ? Weka ushahidi kuwa Mungu amesema anataka hivyo na kupitia njia gani na mahali gani amesema..

2.
Hapa sio kweli Bakhresa ni mfanya biashara mwenye mafanikio lakini ni Muislamu safi ingekuwa hivyo angefeli vibaya mno wapo matajiri wengi lakini wafia dini ya kikirsto na sijaona andiko lolote Ktk dini hizo mbili zikitaka hivyo hayo mawazo na dhana za mtu .


denooJ
 
Mnaobishia mleta mada;
Someni vitabu vya Metaphysics... hasa Neville Goddard.
Yes, sisi ni Gods, hakuna Mungu mawinguni watching over us!hahaa
 
Yesu alifundisha kuomba sio kuvuta bangi
Kwenye hilo andiko ulilo li quote Yesu alikuwa ana wa address watu wenye mindset kama YAKO. Lazima ujue watu wenye mindset kama YAKO wapo toka zamani.

Ni Yesu huyo huyo kwenye Kitabu cha cha JOHN 10:34-35 aliwaambia watu kwamba ninyi ni miungu. Hapo alikuwa ana wa address watu ambao wapo open minded kama mimi.

Hiyo sala ya Bwana uliyo I quote kuna sehemu inasema " Ufalme wako uje" right?

Yesu huyo huyo aliulizwa Ufalme wa Mungu unapatikana wapi akawajibu " Ufalme wa Mungu unapatikana ndani yenu" KWA hiyo hiyo sala anaposema " Baba yetu uliye mbinguni he is not talking about someone in the sky" he is talking about that power that is within you. Mbingu zimo ndani YAKO. Ufalme wa Mungu upo ndani YAKO.

Is it not in ur Bible that " our bodies are the temple of the Holy Ghost" ?

The spirit of God which is nothing but God himself lives within us.

Nitaongea na Max aweke kipengele cha bakora ILI next time mtu akija na swali la kitoto kama wewe nabonyeza kitufe cha bakora.
 
Mnaobishia mleta mada;
Someni vitabu vya Metaphysics... hasa Neville Goddard.
Yes, sisi ni Gods, hakuna Mungu mawinguni watching over us!hahaa
Barikiwa sana . Cc to adriz
 
Uislam ni mfumo wa maisha ya mwanadamu na majini uliotoka kwa Mungu. Una sheria na taratibu jinsi gani mtu anayetaka kupata salama mara baada ya kufa kwake aishi ama kwa wale ambao wamejitungia mifumo yao kama wewe LIKUD basi ishini mpendavyo kwasababu hakuna kulazimishana katika dini...anayetaka aamini na asiyetaka asiamini..ila majibu mimi na wewd tutayapata pindi macho yatakapofumba, moyo kusimamisha mapigo yake na mwili ukashindwa kabisa kufanya kazi.Hapo ndipo tutakapojua nani alifaulu katika maisha haya na nani alifeli.

Kuleni na kunyweni, furahini iwazuge tamaa lakini karibu mtakuja kujua.
 
Mnaobishia mleta mada;
Someni vitabu vya Metaphysics... hasa Neville Goddard.
Yes, sisi ni Gods, hakuna Mungu mawinguni watching over us!hahaa
Vp utushawishi kusoma na kuamini vitabu vilivyotungwa kwa fikira za mwanadamu asiyejua hata kesho yake?? Yaani nimuamini mwanadamu anayesema kuwa mimi ni Mungu??? Inaingia akilini kweli??
 
Hapa napo nimekukamata.

Unatoa mfano wa Mungu, halafu unamlinganisha na Mkapa [mwanadamu]!

Unakiri Mungu ni mfalme, kwamba mpaka sasa Mungu bado ni mfalme, ndie mkuu, sasa unaposema alitupa uwezo wa kiasili ili tujitawale maana yake nini?

Unataka tujione tuko sawa na Mungu? hii haiwezekani kwa akili ya kawaida, Mungu atoe amri ya kuumbwa mwanadamu, halafu eti huyu mwanadamu aje kuachwa ajitawale atakavyo huku Mungu akimuangalia tu!

Dhumuni la Mungu kumuumba mwanadamh ni ili tumjue, tumpende, na TUMTUMIKIE ili tuweze kufika kwake.
 
Maswali ya msingi akiulizwa hajibu, anaruka ruka tu, anajidanganya bora abaki na msimamo wake usioeleweka.
 
Vp utushawishi kusoma na kuamini vitabu vilivyotungwa kwa fikira za mwanadamu asiyejua hata kesho yake?? Yaani nimuamini mwanadamu anayesema kuwa mimi ni Mungu??? Inaingia akilini kweli??
Kwani bible na quran zimetungwa na Mungu?
 
Sasa huku ndiko kutotafakari vizuri maandiko.

Musa kumwambia Mungu wanataka maji, maana yake Musa alirudi kwa mfalme, mkuu kama ulivyoandika pale juu kuomba msaada.

Na msaada Musa aliopewa, ni kuambiwa gonga mwamba utapata maji, huu ni msaada alioupata baada ya kuuomba kwa Mungu.

Ukweli ni kwamba, kama Musa asingeomba kwa Mungu, basi asingepata hayo maji, bila Mungu sisi si kitu, yeye ndie njia yetu.

Kwasababu umeshaleta uzi hapa, ni lazima uutetee kwa kila njia, sikushangai tena LIKUD.

Kuna andiko linasema; ombeni mtapewa, bisheni mtafunguliwa, ndicho alichofanya Musa hapo kwa Mungu.
 
 

Before that Mussa alikuwa bado "mtoto" kama wewe . Alikuwa na mindset kama YAKO ndio maana akaenda kumuomba Mungu, Mungu akamrefer to himself. Hata mimi zamani nilikuwaga kama Mussa lakini baadae nilipo ujua ukweli nikaacha kuwa kama Mussa.





Ndio maana nasema wewe jamaa bado mtoto mchanga kwenye hiki ambacho nimekiandika. Wewe unatakiwa kunyweshwa maziwa na sio Ugali mgumu kama huu ambao nimeupika.

Ni hivi hata Mussa alikuwaga "mchanga kiroho" kama wewe ulivyo SASA.

So wakati anaenda kumuomba Mungu alikuwa bado hajaujua ukweli kuhusu nguvu iliyomo ndani yake ndio maana Mungu akamfundisha ukweli huo KWA mara ya KWANZA ili iwe fundisho kwake na kwa wengine ambao tutapata bahati ya kusoma habari za Mussa.


Mussa baada ya kuujua huo ukweli alifanya vitu vikubwa sana. Ilifikia hatua Mussa akaanza kumpa Mungu ushauri na Mungu akafuata ushauri wa Mussa.

Soma Kitabu cha kutoka 32 uone kitu gani kilipelekea Mussa kumpa Mungu ushauri. Jikite kwenye Kitabu hicho hicho cha KUTOKA 32 kuanzia mstari wa 11 HADI wa 14 uone Mungu aliupokea vipi ushauri wa Mussa.

Hapo ndio utajua mwanadamu ni nani mbele ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…