Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Kweli mkuu kuanzisha familia nje ya Tanzania ni ngumu kwasababu Tamaduni ni tofauti na Marengo ni tofauti kati ya Watanzania na Raia wa nchi hizi ambazo siyo za Kijamaa, hapa Tanzania kuanzusha familia ni rahisi kuliko Ulaya. Hapa nchi unaweza ukawa unaingiza kipato cha laki tatu na Ukapata Mke mkaanzisha maisha pamoja, Sasa uende Ulaya na Africa kusini utampata Mwanamke gani wa kuanzisha nae Maisha wakati huo bado unajitafutaMwaka 2010 niliwahi ishi Greece kwa miezi 6..
Kipindi hicho nipo under 30 ..
Athens nilikuta watanzania wengi sn,,wenye maisha mazuri na maisha ya kutubu.
Mimi nilikuwa miongoni mwa vijana ambao walikuwa na maisha magumu sn pale Athens.
Ndipo mzee wng mmoja mtanzania akaniweka chini akanishauri.
Mwandende"wewe bado mdogo sn,,
hapa Greece hapakufai,,utapoteza muda wako bure..
Mimi nina umri wa miaka 50 now,nipo hapa tangu 1998 , najuta kuwa hapa hadi sasa,,
Sina pesa na pia sina family zaidi ya ile niliyoacha Tanzania.
Tanzania nimeacha mke na mtoto mmoja tu,,,
sipendi na wewe yakukute.. natamani kurudi nyumbani Nashindwa.
Nakushauri tafuta maisha pia tafuta na family .
watu wengi wanaoishi ulaya hawana family .
Rudi nyumbani kajipange upya,
Tafuta maisha na tafuta family pia,
Ukikosa maisha unaweza ukapata maisha mazuri kupitia watoto wako hapo baadae...ukiwa hapa hutotengeneza family,.watu wengi hapa wanaishi kisela tu.
Nilimsikiliza yule mzee na kuamua kurudi Tanzania..
Nilichojifunza kwa watanzania wengi wanaoishi Africa kusini,na baadhi ya inchi za ulaya na America kusini zenye maisha magumu.
Wengi hawana maisha na family pia hawana..
Wamekosa vyote...
Mtu yupo south miaka 30 hana mke wala mtoto na ameshakuwa mtu mzima...
Mtu una over 55 umeishi nje zaidi ya miaka 30 hata ukirudshwa Tanzania now utafanya nn?...
Huna maisha na family pia huna.
Mkuu watu wanasema Ulaya ni Ulaya tu hata kama anaishi Slovenia, Sisi Watanzania tunajua Ulaya ni Germani. Marekani, France, Belgium, Italy, Denmark, Norway, Canada, Sweden, Switzerland, hizi nchi ndiyo Watanzania tinazipenda na tumezoeshwa na Viongozi wetu.acha uongo wewe
wewe unaishi ulaya ?
Basi haujui kitu, mzee wake alikuwa na mawe kishenzi.Wazazi wa nani mkuu Elon au maana kama Elon walitengana aliamua kuishi kwa baba yake kisa alikua na Computer na yeye alikua anapenda hizo mambo akiwa bado mtoto..
Mkuu lazima uelewe kwamba majuto ya maisha ya mwanaume yanaanza ukiwa na miaka 55.
Hapo ndy utaelewa nn namaanisha..
Kwa sasa huweziona umuhimu wa kuwa na family,,
Muda utaongea
Kweli mkuu waache wajidanganye kuishi bila kuwa na familia. Au kuwa na watoto ambao hawana muda nao, kwa umri huo watakosa hata wa kumuuguza.
Majuto ya nini?
Kuna wanaume wengi tu wametelekezwa na wake na watoto wao na wana survive wenyewe uzeeni.
Una uhakika huyo mkeo atafika uzeeni na wewe?
Una uhakika hao wanao watakuja kukutunza uzeeni?
Mimi kweli sijui kitu ila mimi naishi na kaburu huku kazi ulizozema sio za mawe kishenzi Mkuu..Basi haujui kitu, mzee wake alikuwa na mawe kishenzi.
Baba yake, Errol Musk, alikuwa mhandisi wa umeme na mitambo (electromechanical engineer), rubani, na baharia. Pia alifanya biashara ya mali isiyohamishika (property developer) na alikuwa mmiliki mwenza wa mgodi wa zumaridi (emerald) nchini Zambia, ambao ulileta utajiri mkubwa katika familia wakati wa utoto wa Elon.
Nimekwambia angalia background! Hiyo nayo imempush kwa kiwango kikubwa angwlikuwa na wazazi wasio na elimu kubwa na mawe asingetoboa.Mimi kweli sijui kitu ila mimi naishi na kaburu huku kazi ulizozema sio za mawe kishenzi Mkuu..
Elon kasoma hapo Pretoria boys kwa kaburu kuwa na miradi ni kawaida ila sio ya kusema hiyo ndio imemfanya awe tajiri utajiri wa Elon ni akili yake ndio kafika pale SA ina matajiri wangapi na hakuna mtoto kawa tajiri mazee yule ni talented..
Sio kweli mpe credit jamaa kwa kuwa na akili hapa mzungu Elimu bure mpaka anamaliza anakota wangapi wamefika huko hapa mzungu maisha unayoyawaza wao walishapita kitambo mpaka kesho.Nimekwambia angalia background! Hiyo nayo imempush kwa kiwango kikubwa angwlikuwa na wazazi wasio na elimu kubwa na mawe asingetoboa.
Kwa hiyo hata hujui kuwa jamaa alitema masomo? Na yeye mwenyewe anakwambia hakuna haja ya kwenda chuo ili ufanikiwe?Sio kweli mpe credit jamaa kwa kuwa na akili hapa mzungu Elimu bure mpaka anamaliza anakota wangapi wamefika huko hapa mzungu maisha unayoyawaza wao walishapita kitambo mpaka kesho.
Mkuu nipo busy nafatilia mambo ya Logistics kuleta bidhaa Nchi za East Afrika huko ukipata kichaka tusambaze bidhaa za kutoka hapa itakua muhimu hayo mambo ya watu tuwaachie wasizwa..Kwa hiyo hata hujui kuwa jamaa alitema masomo? Na yeye mwenyewe anakwambia hakuna haja ya kwenda chuo ili ufanikiwe?
Jamaa kapewa shingapi kwenye kuinvest kwenye issue zake binafsi? Mkuu fstilia vizuri
That has nothing to do with me or the topic at hand. Unajua namna ya kufanya kama mzoefu.Mkuu nipo busy nafatilia mambo ya Logistics kuleta bidhaa Nchi za East Afrika huko ukipata kichaka tusambaze bidhaa za kutoka hapa itakua muhimu hayo mambo ya watu tuwaachie wasizwa..
Kwa hiyo mimi sijadili utajiri wa watu ni moja ya tabia watu masikini.That has nothing to do with me or the topic at hand. Unajua namna ya kufanya kama mzoefu.
Umefanya hivyo baada ya kugundua ukweli sasa unaleta pigo hizo. Mkuu jifunze kuwa mwerevu na kutokupindisha mambo..Kwa hiyo mimi sijadili utajiri wa watu ni moja ya tabia watu masikini.
Umekosea kusema nimfatilie history yake aisee ili iweje.Umefanya hivyo baada ya kugundua ukweli sasa unaleta pigo hizo. Mkuu jifunze kuwa mwerevu na kutokupindisha mambo..
Hilo ndy jambo la msingi sn mkuu,Kweli mkuu kuanzisha familia nje ya Tanzania ni ngumu kwasababu Tamaduni ni tofauti na Marengo ni tofauti kati ya Watanzania na Raia wa nchi hizi ambazo siyo za Kijamaa, hapa Tanzania kuanzusha familia ni rahisi kuliko Ulaya. Hapa nchi unaweza ukawa unaingiza kipato cha laki tatu na Ukapata Mke mkaanzisha maisha pamoja, Sasa uende Ulaya na Africa kusini utampata Mwanamke gani wa kuanzisha nae Maisha wakati huo bado unajitafuta
Hakika mkuuNa hii ipo kisaikolojia. Utake usitake.
Kuuguzwa sio tatizo. Wanaweza wasiumwe. Ila tatizo ni kuishi maisha ya upweke ambayo ni magumu sana