Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.

Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?

Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?

Karibuni[emoji120]
Mzee unamkejeli Konda, siyo? atimuliwe tu kuliko kuhangaisha vichwa vyenu. Si nasikia kuna mpango huo, tangazeni hadharani mnasubiri nini?
 
Hajamtaja lakini!!
 
Ndugu wanajf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Leo nachukua fursa hii kupongeza kauli ya Mzee Kinana, ila pia naomba kutana naye.

Ni kweli mimi sio MwanaCCM, ila pale amefanya vizuri lazima kupongezwa, mzee ametoa kauli ambayo hakumtaja yeyote ila ujumbe wake upo wazi na mafunzo makubwa ndani yake.

Nakushukuru sana Mzee kinana ila kura yangu CCM sitowapa.

Thanks
Utawapaje kura CCM, chama kinaongozwa mpaka na wauaji!! Kama hujampata wa kumpa kura yako, si afadhali uache kupiga kura kuliko ikipe chama ambacho sera yake kuu ni uovu.
 
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.

Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?

Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?

Karibuni[emoji120]
Kukataa kupitisha rasimu ya Katiba ya Warioba Ili tupate katiba mpya siyo tabia mbaya!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ile meli yake iliyokamatwa na meno ya tembo huko Malaysia sijui Taiwan, sio ushahidi?
Alikiri meli ni yake, ila Mzigo Si wake.

Ukimiliki fuso ukamkabidhi dere Abebe mahindi, likikamatwa limebeba bangi, mmiliki wa fuso hatatuhumiwa direct kuhusika.

Tusubiri baadae, labda itakuja kufufuliwa.
 
Hili mbona bila kupepesa macho ni Mtu Wakolomije anaongelewa aka Bashite
 
Alikiri meli ni yake, ila Mzigo Si wake.

Ukimiliki fuso ukamkabidhi dere, likikamatwa limebeba bangi, mmiliki wa fuso hatatuhumiwa direct kuhusika.

Tusubiri baadae, labda itakuja kufufuliwa.
Ni kweli, ila muuza bucha akikutwa na nyama ya wizi kwenye nyumba yake aliyompangisha mpangaji hiyi ni ishu nyingine kabisa
 
Ni Kweli kabisa hapo dere ndo mhusika.

Ingawa Kwa akili ya kawaida Mzee hawezi kusajili meli na kupata vibali kusafirisha meno ya .... Pekee.

Yaani meli spesho kubebea Mzigo huo, haiingii akilini.
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mzee Kinana ni msema kweli na anajua maisha. achilia mbali tuhuma za wildlife, ukiweka pembeni, huyu ni mtu mwenye akili na diplomasia ya hali ya juu. na wengi huwa wanamtukana kwasababu tu ana asili ya somalia, bila kujua kuwa ametumikia taifa hili kwa ubora kuliko wao. hapa Tanzania ukizaliwa hapa kabla ya 1961 katiba inasema wewe ni Mtanzania mzawa hata kama ungekuwa mzungu au mhindi. yeye ni Mtanzania Mzawa, ameshashika vyeo jeshini hadi kuwa kanali kama sikosei. na hata kipindi cha magufuli, jamaa alikuwa anasema vitu vya maana kama hivi akikemea vijana kuwa na kiburi, ila hawakumsikia. hao kina sabaya na makonda walishaonywa ila hawakusikia zaidi sana walimshughulikia. makonda ni chukizo la uharibifu kabisa hapa Tanzania na uwepo wake kwenye uongozi wowote ni dhihaka kwa watanzania.
 
Sio tuhums na wala sio msemakweli huyo na wenzake ndio wanaoidumaza hii nchi kwa kugoma kustaafu
 
Kweli kabisa,

Kuutangazia umma kwamba unastaafu, Kisha baadae unarudi tena ofisini,

Hiyo nayo ni TABIA mbaya.
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mzee Kinana ni msema kweli na anajua maisha. achilia mbali tuhuma za wildlife, ukiweka pembeni, huyu ni mtu mwenye akili na diplomasia ya hali ya juu. na wengi huwa wanamtukana kwasababu tu ana asili ya somalia, bila kujua kuwa ametumikia taifa hili kwa ubora kuliko wao. hapa Tanzania ukizaliwa hapa kabla ya 1961 katiba inasema wewe ni Mtanzania mzawa hata kama ungekuwa mzungu au mhindi. yeye ni Mtanzania Mzawa, ameshashika vyeo jeshini hadi kuwa kanali kama sikosei. na hata kipindi cha magufuli, jamaa alikuwa anasema vitu vya maana kama hivi akikemea vijana kuwa na kiburi, ila hawakumsikia. hao kina sabaya na makonda walishaonywa ila hawakusikia zaidi sana walimshughulikia. makonda ni chukizo la uharibifu kabisa hapa Tanzania na uwepo wake kwenye uongozi wowote ni dhihaka kwa watanzania.
Hahhahaha Makonda mwaka huu atawatoa Roho!
 
Back
Top Bottom