Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Kuna mambo wala hayana haja ya kujadili sana, sometimes tuwe serious maisha kukomboa familia na kuondoa umasikini, kila kauli za wanasiasa watu mnataka kufanya mada ili ilete faida gani sasa
Kwamba unatushauri tupuuze kauli za viongozi wetu wa chama na Serikali?

Hiyo pia ni TABIA mbaya!!
 
Ndugu wanajf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Leo nachukua fursa hii kupongeza kauli ya Mzee Kinana, ila pia naomba kutana naye.

Ni kweli mimi sio MwanaCCM, ila pale amefanya vizuri lazima kupongezwa, mzee ametoa kauli ambayo hakumtaja yeyote ila ujumbe wake upo wazi na mafunzo makubwa ndani yake.

Nakushukuru sana Mzee kinana ila kura yangu CCM sitowapa.

Thanks
Pana urafiki Gani kati ya Giza na Nuru?

Ukienda huko, Baki huko huko!!
 
Ujinga ni tatizo sana katika hii Nchi,mto mada anaakisi ujinga wa Watanzania wengi-hivi unaletaje habari as if kila moja amesikia alicho kisema huyo Kinana.
 
mleta mada nadhani , ingekaa vzr Kama ungeweka , na nukuu ya comrade hapo chini .
Amesema Kuna viongozi ndani ya chama na Serikali wenye vyeo vikubwa ila hawaheshimiwi sababu Wana TABIA mbaya.
 
Ujinga ni tatizo sana katika hii Nchi,mto mada anaakisi ujinga wa Watanzania wengi-hivi unaletaje habari as if kila moja amesikia alicho kisema huyo Kinana.
Amesema ndani ya chama na Serikali yake, Kuna viongozi Wana vyeo vikubwa hawaheshimiwi sababu Wana TABIA mbovu!!
 
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.

Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?

Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?

Karibuni🙏
Haya ndiyo maajabu huko ccm makamba alisema watu wema hawafi.
 
Back
Top Bottom