4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kubwa mnoNasikia tu kuwa karusha jiwe mahali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubwa mnoNasikia tu kuwa karusha jiwe mahali.
Kwahio hutaki kutuambia kile amesema?Ndio wanajuana ila binfsi maneno ametoa mzee , ni ya kiutu uzima sana
Sikia ,peleka upumbavu wako kwa familia yako , sio leta apa jf,Ukipata akili utaacha kumsifia aliyekufanya uwe mjinga.
Unachangia nini kama hujasikia nini amesema? Nenda you tube tafuta ,then njoo,Kwahio hutaki kutuambia kile amesema?
Ukikua utaacha utotoSikia ,peleka upumbavu wako kwa familia yako , sio leta apa jf,
Kwa mafumbo ika maneno mazito mnoKinana amefanya nini tena? Au kaongea kwa mafumbo kama kawaida ya CCM?
Wewe mbona umekua na utoto umekujaa ,pumbavuUkikua utaacha utoto
Ni TABIA mbaya, ingawa hakuna ushahidi.Kuuza wanyama na meno ya tembo ni tabia nzuri?
Pumbavu ,akili ndogo sanaNini sana
Mbona kama unajiongelesha
Ukikua utaacha utotoWewe mbona umekua na utoto umekujaa ,pumbavu
Kwamba unatushauri tupuuze kauli za viongozi wetu wa chama na Serikali?Kuna mambo wala hayana haja ya kujadili sana, sometimes tuwe serious maisha kukomboa familia na kuondoa umasikini, kila kauli za wanasiasa watu mnataka kufanya mada ili ilete faida gani sasa
Pana urafiki Gani kati ya Giza na Nuru?Ndugu wanajf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Leo nachukua fursa hii kupongeza kauli ya Mzee Kinana, ila pia naomba kutana naye.
Ni kweli mimi sio MwanaCCM, ila pale amefanya vizuri lazima kupongezwa, mzee ametoa kauli ambayo hakumtaja yeyote ila ujumbe wake upo wazi na mafunzo makubwa ndani yake.
Nakushukuru sana Mzee kinana ila kura yangu CCM sitowapa.
Thanks
Sasa ndugu yangu , kumpongeza mzee kwa kauli yake shida ipo wapi ?Pana urafiki Gani kati ya Giza na Nuru?
Ukienda huko, Baki huko huko!!
Amesema Kuna viongozi ndani ya chama na Serikali wenye vyeo vikubwa ila hawaheshimiwi sababu Wana TABIA mbaya.mleta mada nadhani , ingekaa vzr Kama ungeweka , na nukuu ya comrade hapo chini .
Amesema ndani ya chama na Serikali yake, Kuna viongozi Wana vyeo vikubwa hawaheshimiwi sababu Wana TABIA mbovu!!Ujinga ni tatizo sana katika hii Nchi,mto mada anaakisi ujinga wa Watanzania wengi-hivi unaletaje habari as if kila moja amesikia alicho kisema huyo Kinana.
Haya ndiyo maajabu huko ccm makamba alisema watu wema hawafi.Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.
Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?
Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?
Karibuni🙏
Kiongozi mkuu mmoja muhuni wa kimataifa kila akiliwa vizuri anakabidhi raslimali za nchi!Mbowe na Lissu
Na hapo alikuwa akimzika mmoja wa wazuri waliokufa.Haya ndiyo maajabu huko ccm makamba alisema watu wema hawafi.
CCM walisema watu wøema hawafi, mara hii kasahau?Amesema ndani ya chama na Serikali yake, Kuna viongozi Wana vyeo vikubwa hawaheshimiwi sababu Wana TABIA mbovu!!