Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
๐๐๐Naona kaamua kujisema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Naona kaamua kujisema
Mzee unamkejeli Konda, siyo? atimuliwe tu kuliko kuhangaisha vichwa vyenu. Si nasikia kuna mpango huo, tangazeni hadharani mnasubiri nini?Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.
Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?
Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?
Karibuni[emoji120]
Hajamtaja lakini!!Mzee unamkejeli Konda, siyo? atimuliwe tu kuliko kuhangaisha vichwa vyenu. Si nasikia kuna mpango huo, tangazeni hadharani mnasubiri nini?
๐๐๐๐๐๐๐Naona kaamua kujisema
Utawapaje kura CCM, chama kinaongozwa mpaka na wauaji!! Kama hujampata wa kumpa kura yako, si afadhali uache kupiga kura kuliko ikipe chama ambacho sera yake kuu ni uovu.Ndugu wanajf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Leo nachukua fursa hii kupongeza kauli ya Mzee Kinana, ila pia naomba kutana naye.
Ni kweli mimi sio MwanaCCM, ila pale amefanya vizuri lazima kupongezwa, mzee ametoa kauli ambayo hakumtaja yeyote ila ujumbe wake upo wazi na mafunzo makubwa ndani yake.
Nakushukuru sana Mzee kinana ila kura yangu CCM sitowapa.
Thanks
Ile meli yake iliyokamatwa na meno ya tembo huko Malaysia sijui Taiwan, sio ushahidi?Ni TABIA mbaya, ingawa hakuna ushahidi.
Kukataa kupitisha rasimu ya Katiba ya Warioba Ili tupate katiba mpya siyo tabia mbaya!Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.
Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?
Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?
Karibuni[emoji120]
Alikiri meli ni yake, ila Mzigo Si wake.Ile meli yake iliyokamatwa na meno ya tembo huko Malaysia sijui Taiwan, sio ushahidi?
Hiyo ni TABIA mbaya,Kukataa kupitisha rasimu ya Katiba ya Warioba Ili tupate katiba mpya siyo tabia mbaya!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ni kweli, ila muuza bucha akikutwa na nyama ya wizi kwenye nyumba yake aliyompangisha mpangaji hiyi ni ishu nyingine kabisaAlikiri meli ni yake, ila Mzigo Si wake.
Ukimiliki fuso ukamkabidhi dere, likikamatwa limebeba bangi, mmiliki wa fuso hatatuhumiwa direct kuhusika.
Tusubiri baadae, labda itakuja kufufuliwa.
Ni Kweli kabisa hapo dere ndo mhusika.Ni kweli, ila muuza bucha akikutwa na nyama ya wizi kwenye nyumba yake aliyompangisha mpangaji hiyi ni ishu nyingine kabisa
Kila la kheri zake mleta mada...
Sio tuhums na wala sio msemakweli huyo na wenzake ndio wanaoidumaza hii nchi kwa kugoma kustaafumnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mzee Kinana ni msema kweli na anajua maisha. achilia mbali tuhuma za wildlife, ukiweka pembeni, huyu ni mtu mwenye akili na diplomasia ya hali ya juu. na wengi huwa wanamtukana kwasababu tu ana asili ya somalia, bila kujua kuwa ametumikia taifa hili kwa ubora kuliko wao. hapa Tanzania ukizaliwa hapa kabla ya 1961 katiba inasema wewe ni Mtanzania mzawa hata kama ungekuwa mzungu au mhindi. yeye ni Mtanzania Mzawa, ameshashika vyeo jeshini hadi kuwa kanali kama sikosei. na hata kipindi cha magufuli, jamaa alikuwa anasema vitu vya maana kama hivi akikemea vijana kuwa na kiburi, ila hawakumsikia. hao kina sabaya na makonda walishaonywa ila hawakusikia zaidi sana walimshughulikia. makonda ni chukizo la uharibifu kabisa hapa Tanzania na uwepo wake kwenye uongozi wowote ni dhihaka kwa watanzania.
Kweli kabisa,Sio tuhums na wala sio msemakweli huyo na wenzake ndio wanaoidumaza hii nchi kwa kugoma kustaafu
Hahhahaha Makonda mwaka huu atawatoa Roho!mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mzee Kinana ni msema kweli na anajua maisha. achilia mbali tuhuma za wildlife, ukiweka pembeni, huyu ni mtu mwenye akili na diplomasia ya hali ya juu. na wengi huwa wanamtukana kwasababu tu ana asili ya somalia, bila kujua kuwa ametumikia taifa hili kwa ubora kuliko wao. hapa Tanzania ukizaliwa hapa kabla ya 1961 katiba inasema wewe ni Mtanzania mzawa hata kama ungekuwa mzungu au mhindi. yeye ni Mtanzania Mzawa, ameshashika vyeo jeshini hadi kuwa kanali kama sikosei. na hata kipindi cha magufuli, jamaa alikuwa anasema vitu vya maana kama hivi akikemea vijana kuwa na kiburi, ila hawakumsikia. hao kina sabaya na makonda walishaonywa ila hawakusikia zaidi sana walimshughulikia. makonda ni chukizo la uharibifu kabisa hapa Tanzania na uwepo wake kwenye uongozi wowote ni dhihaka kwa watanzania.