Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Acha hizo,

Angekuwa na HEKIMA, Msemakweli, angekishauri chama chake kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya kuingia uchaguzi 2025!!
 
anamsema Bashite aka Makonda
 
Makonda...huyu anajulikana kwa atrocities a million alizozifanya), Kitila (tabia ya usaliti), Nchemba...kujikomba, uchawa), Kabudi ...uroho wa madaraka na kujidhalilisha eti yeye ni jalala).....wengi hata na huyu MKUBWA KABISA she is suffering from the same syndrome
 
Tuwaache wabunge walichopanda.

Karma is real.
 
Kinana ni Makamu Mwenyekiti wa CCM alienda kuwadanganya Mbowe na Chadema yake kuhusu maridhiano. Uwongo siyo tabia mbaya? Mtu kama huyo unaweza kumheshimu? Huyu jamaa anajifanya msafi lakini mchafu kama CCM wenzake.
 
Acha hizo,

Angekuwa na HEKIMA, Msemakweli, angekishauri chama chake kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya kuingia uchaguzi 2025!!
Tuna watu wajinga sana , hapa tunazungumzia kauli yake, tuhuma zaingine sio hoja hapa,
 
Kinana ni Makamu Mwenyekiti wa CCM alienda kuwadanganya Mbowe na Chadema yake kuhusu maridhiano. Uwongo siyo tabia mbaya? Mtu kama huyo unaweza kumheshimu? Huyu jamaa anajifanya msafi lakini mchafu kama CCM wenzake.
Amewapotezea sana muda.
 
Ningemuomba Mzee Kinana ajiangalie kwenye Kioo..., lakini huenda yeye na tabia zake zenye walakini bado anaheshimika kutokana na power ya Mlungula (Na hio inasababishwa na Wapambe Bin Machawa)
 
Ni Kweli kabisa hapo dere ndo mhusika.

Ingawa Kwa akili ya kawaida Mzee hawezi kusajili meli na kupata vibali kusafirisha meno ya .... Pekee.

Yaani meli spesho kubebea Mzigo huo, haiingii akilini.
Anafanya biashara hiyo, aache
 
Kuna mwingine keshaita wenzie VYURA huko,

Ndo zile TABIA mbaya ulizokemea Juzi.
 
Mzee kawa kimya sana baada ya kauli Ile.
 
Je, anamsema nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…