Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mzee Kinana ni msema kweli na anajua maisha. achilia mbali tuhuma za wildlife, ukiweka pembeni, huyu ni mtu mwenye akili na diplomasia ya hali ya juu. na wengi huwa wanamtukana kwasababu tu ana asili ya somalia, bila kujua kuwa ametumikia taifa hili kwa ubora kuliko wao. hapa Tanzania ukizaliwa hapa kabla ya 1961 katiba inasema wewe ni Mtanzania mzawa hata kama ungekuwa mzungu au mhindi. yeye ni Mtanzania Mzawa, ameshashika vyeo jeshini hadi kuwa kanali kama sikosei. na hata kipindi cha magufuli, jamaa alikuwa anasema vitu vya maana kama hivi akikemea vijana kuwa na kiburi, ila hawakumsikia. hao kina sabaya na makonda walishaonywa ila hawakusikia zaidi sana walimshughulikia. makonda ni chukizo la uharibifu kabisa hapa Tanzania na uwepo wake kwenye uongozi wowote ni dhihaka kwa watanzania.
Acha hizo,

Angekuwa na HEKIMA, Msemakweli, angekishauri chama chake kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya kuingia uchaguzi 2025!!
 
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.

Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?

Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?

Karibuni🙏
anamsema Bashite aka Makonda
 
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.

Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?

Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?

Karibuni🙏
Makonda...huyu anajulikana kwa atrocities a million alizozifanya), Kitila (tabia ya usaliti), Nchemba...kujikomba, uchawa), Kabudi ...uroho wa madaraka na kujidhalilisha eti yeye ni jalala).....wengi hata na huyu MKUBWA KABISA she is suffering from the same syndrome
 
Tuwaache wabunge walichopanda.

Karma is real.
 
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.

Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?

Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?

Karibuni🙏
Kinana ni Makamu Mwenyekiti wa CCM alienda kuwadanganya Mbowe na Chadema yake kuhusu maridhiano. Uwongo siyo tabia mbaya? Mtu kama huyo unaweza kumheshimu? Huyu jamaa anajifanya msafi lakini mchafu kama CCM wenzake.
 
Acha hizo,

Angekuwa na HEKIMA, Msemakweli, angekishauri chama chake kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya kuingia uchaguzi 2025!!
Tuna watu wajinga sana , hapa tunazungumzia kauli yake, tuhuma zaingine sio hoja hapa,
 
Kinana ni Makamu Mwenyekiti wa CCM alienda kuwadanganya Mbowe na Chadema yake kuhusu maridhiano. Uwongo siyo tabia mbaya? Mtu kama huyo unaweza kumheshimu? Huyu jamaa anajifanya msafi lakini mchafu kama CCM wenzake.
Amewapotezea sana muda.
 
Ningemuomba Mzee Kinana ajiangalie kwenye Kioo..., lakini huenda yeye na tabia zake zenye walakini bado anaheshimika kutokana na power ya Mlungula (Na hio inasababishwa na Wapambe Bin Machawa)
 
Ni Kweli kabisa hapo dere ndo mhusika.

Ingawa Kwa akili ya kawaida Mzee hawezi kusajili meli na kupata vibali kusafirisha meno ya .... Pekee.

Yaani meli spesho kubebea Mzigo huo, haiingii akilini.
Anafanya biashara hiyo, aache
 
Kuna mwingine keshaita wenzie VYURA huko,

Ndo zile TABIA mbaya ulizokemea Juzi.
 
Mzee kawa kimya sana baada ya kauli Ile.
 
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.

Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?

Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?

Karibuni🙏

Source: Kusaga.v TV na IPC Mkombozi.v tv.
Je, anamsema nani??
 
Back
Top Bottom